Search results

  1. P

    Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (CPA) 21(1,2) na Kamanda Kamuhanda

    Tuwasubirie washitaki maarufu kama C Mtikila kuja kumshitaki huyu bwana Kamuhanda Vinginevyo huwa nakubali vifungu vya hotuba ya The former South African president , alisema hivi "Bynow every one of us has seen it practically that the Blacks cannot rulethemselves. Give them guns and they will...
  2. P

    Nape: Huoni tofauti kati ya kauli yako na Dr. Slaa?

    Sababu ya kushitaki ipo,nafikiri na wewe mjadala haujakuingia sawa sawa
  3. P

    Nimrod Mkono aitisha CCM

    Huyu jamaa CHADEMA hawezi kwenda kwa sab walimtaja kwenye list of shame
  4. P

    Jaji Mkuu Kushiriki Hukumu ya Lema

    Historia inaonyesha kwamba kwenye shauri ambalo jaji mkuu ni mwanajopo hukumu itafurahisha upande wa serikali Kama ilivyokuwa kwenye shauri la mgombea binafsi lililofunguliwa na Mtikila
  5. P

    Mtatiro afichua kilichomfanya ajiunge na CUF

    Kujifanya unarudisha kadi ya SISIEM na kuchukua kadi ya SISIEM B kuna tofauti gani
  6. P

    CHADEMA yasitisha oparesheni M4C na kuitisha kikao cha Kamati Kuu

    Ni mkakati mzuri wa pamoja utakaotusaidia kujua njia nzuri zaidi ya kusonga mbele Elimu ya uraia lazima iendelee kupitia M4C Ushindi kwa njia ya elimu ya uraia ni lazima
  7. P

    Tanzia: Mama Hawa Ngulume afariki dunia!

    Wengine tulienda wilaya ya Ilala baada ya mama Ngulume(RIP) kuwa mkali kupitiliza,yule wa Ilala alitusaidia
  8. P

    Elections 2015 Kuelekea 2015: Kama CCM Itamsimamisha Edward Lowassa...

    Kama una ushawishi kwa ccm basi washauri wamsimamishe Hoja namba tatu ni kama unatania,lets wait and see!
  9. P

    Mkutano wa Chadema M4C-Iringa wasitishwa!

    Hizo njia mbadala za kuingia ikulu tunazijua na tutazidhibiti
  10. P

    Bernard Membe: Nina maadui 11, ikifika 2016 watakimbilia Kenya!

    Hayumo kati ya watu niaowapa credits za kuwa rais wa tanzania,achilia mbali ndani si si em Dawa yake ni kutafutiwa mgombea mbadala mwenye ushawishi abwagwe na arrogance zisizo na mashiko
  11. P

    Mheshimiwa rais waeleze ukweli hawa madaktari, ni kweli wana skills za kutosha?

    Nakei Watu wenye majina haya sio wachovu wa kuelewa mambo,hilo tu ndio limenisikitisha
  12. P

    Dr. Ulimboka apelekwa nje kwa matibabu zaidi...

    Sijajua elimu yako na ufahamu wako Imesemwa mara zote hakuna vifaa tiba MNH na hospitali karibu zote nchini, ndiyo maana inalazimka kumpeleka nje
  13. P

    Membe - Chadema walikuja kwangu wakiwa na njaa

    Alisema hivi Wakati wanajiandaa kula mlinzi wake alikuja kumwambia kuna vijana wa CHADEMA walikuwa wanagonga mlangoni, yeye akamwambia awakaribishe akasema pia na "walikuwa na njaa" mwisho wa kunukuu
  14. P

    Nawaunga mkono madaktari na wafanyakazi wengine wa sekta ya afya

    Mzee MM Wale watetezi wa serikali watakushambulia, ukweli ni kwamba serikali haikuwa na nia ya kuatatua matatizo ya msingi Kila wanapoomba mazungumzo ya mezani wanafanya hivo si kwa nia njema ndiyo maana mikutano sita kati kamati ya madakatri na serikali hawakufikia suluhu hata moja Hata...
  15. P

    Mgomo wa Madaktari uungwe mkono na wote wenye akili. Tuachane na kuwaamini wanasiasa. Soma haya.

    Si rahis kama unavyofikiri ndugu Halafu nakushauri ukaombe kazi ya kutibu kama JK atafanikiwa kufanya unavyotaka
  16. P

    kuokoa maisha (25000) vs kuchunguza maiti(100000))

    Ilikuwa janja tu hiyo, imepachikwa makusudi Kwanza postmortem zinafanyika chache sana Ni sawa na kumpa mchuzi aliyeagiza nyama rosti
  17. P

    SIMBACHAWENE: Sikufumaniwa

    Tukio limetokea Mhusika siyo Simba.......... Hakuna mwanaume atakayekubali kwamba kafumaniwa,labda kama alipigwa picha Clinton aligoma kukubali mpaka dakika za mwisho, baadaye alikubali alipoona tukio halifichiki tena
  18. P

    Tutaendelea kutayarisha Bajeti Mbadala, Ndio Upinzani Makini

    Zitto Heko kwa kukiri makosa na kuwajibika, ndio uongozi
Back
Top Bottom