Vita ni Akili ni mipango ni malengo flani yana tafutwa kufikiwa ,Vita ina mambo mengi sisi kama watazamaji tutaishia kuona na kusikia wanayo hitaji kusikika.
Athari ni nyingi sana ,na sidhani kama hawakuwa wakitunza muda ila ilikuwa kizamani sana.Binafsi nnakumbuka kwa sababu ya uduni na hali ya umasikini nilikuwa nikitunza muda kwa kuangalia kimvuli cha Jua na wakati mwingine Jua lenyewe.
Nilijua muda upi ni sahihi kuwahi Shule na muda upi ni...
Wa kale pia walihitaji kufahamu muda/majira kupambana na changamoto zao ,tofauti yao ilikuwa ni njia walizo tumia kufahamu wakati..
Kwa mfano bila ya muda au vipindi flani vya majira inge wezekana vipi kujua wakati sahihi wa kupanda mazao yao !?.
Wakale waliishi kwa mazingira yao na wlaitambua muda na vipindi mbali mbali kama vile kutazama kivuli cha Jua kutambua wakati.
Kwa sasa hivi tunaishi kwenye utandawazi mkubwa ,kwa kifupi utandawazi umekuja kutusaidia kwa kurahisisha mambo mengi.
Muda ume kuwepo kwa sababu Binadamu anao ukomo na vyote vinavyo tokana na Binadamu pia vina ukomo ,mfumo mzima wa Maisha ya Binadamu una tegemea muda.Nyakati ni matokeo ya muda sasa ukiutoa muda hapo utabaki na nini Mkuu ?
Tuchukulie ni kweli je; yale makamera ya kule Bandarini yamesha onesha ufanisi wa namna gani mpaka sasa !?..Wizi ni jadi ya wana CCM labda itokee apatikane Mtawala apitishe adhabu ya kunyongwa hadharani na iwe ina tekelezwa ,kinyume na hapo Serikali (Mfumo) wata endelea kuwaibia Raia kodi zao...
Kila kitu kwa kipimo hata Vyakula vinaweza kugeuka kuwa Sumu kama havito tumiwa kwa mpangilio , Bangi ni ulevi unapo anza kuvuta hii kitu na ukapoteza umakini ni rahisi kuingia ktk unga.
Walau wenzetu wana jitahidi kuvuta kwa kipimo na mifumo ya Maisha yao ni tofauti na ya kwetu ,siwa shauri...
Ile ni gear tu ya kumuibia Mtu na huwa wanakuwa zaidi ya mmoja ,wana kusachi na kukuacha mweupe.Maeneo kama hayo ustaarabu hamna ni Wizi tu wakati wote hasa kwa Walevi.
Asante kwa Majibu mazuri na Ushauri unao eleweka Mkuu,ila mimi ni Mtu nnae fanya Mazoezi mchanganyiko na magumu daily hope wengi watakuwa wame jifunza jambo hapa.
Nyongeza ,hivi moshi wa Bangi hauwezi kuleta athari kwenye Mapafu au ktk mfumo mzima wa upumuaji wa Binadamu!?.
Hapana ,usifanye hivyo maana hauwezijua breki zako zita shikia wapi.Inaweza kukupeleka kwenda next level tukakukosa.
Kuna Watu walikuwa wakitumwa kuwasha Sigara leo ndio zime waua.Achana na hiyo mambo Mkuu.
Mkuu ,hapa panahitaji msaada kwa sababu walio athirika ni wengi.Ipi ni njia sahihi na salama ya kuondoa athari kwa Mtu alie tumia mmea (Bangi) kwa muda mrefu !?.
Msaada mwingine; kwa wale ambao bado wana endelea kutumia hii kitu una wassaidiaje ili kupunguza athari zaidi !?.
Wanasema kinacho...
"Naamini hili la leo litakuwa somo zuri kwetu wapenda mabadiliko, tumezungukwa na wanasiasa wanaojali matumbo yao zaidi ya kumtumikia mwananchi mnyonge wa nchi hii, kuendelea kuwapa support watu wa aina hii ni kujipotezea muda wetu".
Kwa hili tupo wengi tutakao kuwa tumebakia kwa kuamini Nafsi...
Hili la maslahi ya Zanzibar alilizungumzia katika uungwaji mkono kwenye masuala ya kupiga kura tu na sio katika mambo ya Muungano kama Nchi na uendeshwaji wake.
Swala la Amsterdam Lissu alishasema yule ni Wakili wake na hakuna Kosa kisheria yeye kuwa na Wakili katika kumsimamia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.