Search results

  1. certified mdokozi

    Jana ya Tabora somo zuri sahihi kwa watawala wa leo

    Zama uja na kupotea miji hufa na historia Yake ubaki kitu cha kuhadithiwa vizazi na vizazi kumbukumbu uleta simanzi nyingi sana......1581km kutoka MTWARA, 658km kutoka ARUSHA, 421km kutoka KIGOMA , 1027km kutoka DAR ...649km kutoka BUKOBA ...ilikuwa ikifika Tabora unahisi utofauti na hakika...
  2. certified mdokozi

    Walevi ni kundi linalonyanyasika

    Nimejibanza kona hapa Bar mmoja huku kwetu kwa mama zakaria kwa Taarifa tu ya kimbea meza nyingi zinapendezeshwa na mzinga wa konyagi mmoja glass na viroba vya kutosha wajengaji wa Taifa hili tunapata burudaan na kukata mafuta kwa vinywaji hivi pendwa ila week kadhaa zinazofata hii hali...
  3. certified mdokozi

    TUIGE HILI LA TIM COOK

    Apple inc CEO Tim Cook mshahara wake umeshuka kwa 15% kulinganisha ule aliopata mwaka juzi kwa taarifa zilizopo Tim Cook ame earn $8.75 mil kwa mwaka 2016..sababu kubwa Ya kupunguzwa kwa mshahara wake ni kitendo cha TurnOver za Apple inc kushuka kwa mwaka 2016 kitu kilichopelekea apple inc...
  4. certified mdokozi

    Mwanasiasa akikuahidi bembea

  5. certified mdokozi

    Vijana kuweni Makini na siasa za Maofisini

    Naandika haya baada Ya kauli ya RC wa jiji la Dar kusema anaona mchango wa watu wa 4 tu kati ya 120 ndo wamuhimu sana pale ofisini kwake ..... Makonda ana reflects vijana wengi sana hususan fresh graduates maofisini huja na mbinu hizi hizi (sina hakika kama ndo znazofundishwa kwenye...
  6. certified mdokozi

    Msaada kwa kina 'David'

    Michael David Rosenberg kwa jina la jukwaani maarufu kama PASSENGER wengi tukimfahamu kwa kibao chake kikali cha LET HER GO ila huyu mwamba ni fundi sana anakibao chake kingine kinaitwa DAVID mara kwa mara huwa nakisikiliza hiki anamuelezea mtu wa makamo kidogo around 50s hivi ambae kwa kauli za...
  7. certified mdokozi

    Kwenu walevi wenzangu

    Natumain sisi sote ni wazima na tupo juu ya viti virefu tukihakikisha watoto wanapata elimu iliyo bora, barabara zikijengwa kwa viwango na dada, wake na mama zetu wanapoenda hospitali wanapata huduma nzuri, na wale wadogo zetu wanapata fedha zao za kujikimu huko hospitalini achiliaa wale wenye...
  8. certified mdokozi

    Pongezi zangu za dhati kwa wale ndugu zangu katika chupa

    Tuna nafasi kubwa sana ya kulijenga ili Taifa kwa kuendelea kugida kiraji achilia mbali kuinua maisha ya mmoja mmoja wale madada zetu wanao tuhudumia unaagiza 3 bili inakuja ya 4 moja anadai alikunywa yy na unatoa tu pasipo kinyongo
  9. certified mdokozi

    TANROAD NI SAFI KIASI GANI ?

    Nakupongeza mhe rais kwa kazi unayoenda nayo kutumbua the so called majipu naona umegusa karibuni kila sekta na shirika ambalo kinamna wajanja walikuwa wanapiga jasho letu sisi madereva maguta na watanzania wengine ambao kila siku wanaamka na kwenda kulijenga Taifa ila kuna hiz kelele kwamba...
Back
Top Bottom