Search results

  1. R

    MBINU YA BIASHARA NI MATANGAZO

    Habari wa JF, Katika harakati za kukuza biashara yako kujitangaza ( matangazo ) ni jambo lisilokwepeka. Extrem_Marketing tunakufahamisha jinsi ya kutumia mitandao ya kijamii ( Facebook na Instagram ) kukuza biashara yako. Tunakusaidia kutangaza kupitia hii mitandao kwa kuyalipia matangazo yako...
  2. R

    Chinese scholarship 2016-2015 information

    Asante sana mkuu kwa taarifa.
  3. R

    Chinese scholarship 2016-2015 information

    Una uwezo wa kujaza na kudownload CSC zaidi ya mara moja, lakini hii ya 2 ubadilishe agency number either ubalozi au hicho chuo kingine. Fanya yote kama yapo ndani ya uwezo wako.
  4. R

    Chinese scholarship 2016-2015 information

    Jaribu kutumia internet explorer
  5. R

    Chinese scholarship 2016-2015 information

    Kuna jamaa mmoja amenimbia kuwa yeye alikusanya vitu vyoote vilivyoitajika ( akajaza online form CSC ila agency number akaandika ya ubalozi wa china) chini kule akaandika vyuo 3 angependa kusoma, then akapeleka pale ubalozini, na amepata udhamini.
  6. R

    Chinese scholarship 2016-2015 information

    Mkuu...ukishamaliza kujaza na kuwa na mambo yote yanayoitajika ni kuzituma tu, kwenda chuo (agency husika) kupitia DHL . Ila kama una rafiki yoyote huku unaweza ukamtumia kwy email then yeye akaziprint na kutuma chuo maana kukwepa gharama za DHL.
  7. R

    Chinese scholarship 2016-2015 information

    Safi sana...nakuunga mkono 100%
  8. R

    Chinese scholarship 2016-2015 information

    Wakikuzigua sana design mwenyewe...nilifanya ivyo zamani mambo yalivyokuwa magumu kuipata.
  9. R

    Chinese scholarship 2016-2015 information

    Unapata mkuu....ukienda chuoni kwako unawaambia....unataka barua inayoonyesha masomo ulisomo kwa lugha ya kiingereza.
  10. R

    Chinese scholarship 2016-2015 information

    Good...thanx for the information.
  11. R

    Chinese scholarship 2016-2015 information

    Sikupati....+8615554240279
  12. R

    Chinese scholarship 2016-2015 information

    Tumia "internet explorer" sio "google chrome" wala "mozilla fire fox"
  13. R

    Chinese Scholarship Application procedure

    Kila chuo kina agency number ambayo inatambuliwa na CSC ( china scholarship council) hivyo ni lazima ujue chuo unachotaka kusoma na namba yake. Utapata information kwy mtandao ya namba ya chuo utakacho.
  14. R

    Chinese Scholarship Application procedure

    The deadline for this kind of scholarship is early April, 2016. Remember you need to have passport in hand before the start of filling the online forms. Regards, agent_china@yahoo.com
  15. R

    Mwenye uwezo wa kutengeneza website

    Asanteni.nimepata mtu tayari.
  16. R

    Chinese scholarship 2016-2015 information

    Habari wana JF. Mimi ni mtanzania ambaye nimepata bahati tu ya kusoma china. Kitu kinachonisikitisha ni kwamba watanzania wengi tunakosa habari ( information) za mambo mbalimbali. Watu wa mataifa mbali mbali wanachangamkia sana fursa za elimu zinazotolewa huku kuliko sisi watanzania. Nisiseme...
  17. R

    Mwenye uwezo wa kutengeneza website

    Asanteni. wamejitokeza tayari.
  18. R

    Mwenye uwezo wa kutengeneza website

    Wandugu...natafuta mtu mwenye uwezo wa kutengeneza website. Tafadhali tuwasiliane : kbongole@yahoo.com au inbox huku kwy Jf.
Back
Top Bottom