Search results

  1. pangalashaba

    Kumewahi kuwepo au kuna vyoo vya shule za sekondari ukiingia lazima uvue nguo nje

    Kuna choo tulikuwa tunakiita mabati Shinyanga moja hiyo. Jina la shule sitaji coz naiheshimu sana shule yangu. Waliopita hapo hususani boys kama wapo humu watanielewa. Prodees....
  2. pangalashaba

    Haya maneno ya Waziri wa Fedha yamenifanya nitafakari sana na kujiuliza hivi hili Taifa letu lipo serious kweli kwa tathimini za kiuchumi Kama hizi?

    Inasikitisha sana kuwa na viongozi kama hawa. Hajui hata azungumzie vipi ugumu wa maisha ya wananchi wake, halafu eti ndiyo waziri wa fedha na uchumi wa nchi.
  3. pangalashaba

    Ewe mwanaume mwenzangu usitoe msaada wa pesa kwa ndugu yako au mtu yeyote mbele ya mke wako

    Inategemea na ndugu unayemsaidia hapa. Kwa mfano wapo ndugu ambao hutusaidia katika vipindi vigumu na hata mke anajua fulani ndiyo katoa msaada au mkopo. So hata siku akishuhudia unamsaidia ndugu kama huyo mke hawezi kuwa na roho kubwa. Ikitokea akawa na roho kubwa katika situation kama hiyo...
  4. pangalashaba

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Sorry, inaendelea. Mimi: Pole sana. Nipo mkoa X, nimekuja leo. Binti: Karibu sana Baba, nikipata nafasi baadae nitakutafuta nije nikusalimie. Mimi. Sawa haina shida. Mpaka hapa nilikuwa sijawaza chochote kuhusu kumla huyu binti maana tunaheshimiana naye sana, na nimeanza kumla mama yake...
  5. pangalashaba

  6. pangalashaba

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Wakuu salama humu ndani? Nimekula kimasikhara mtoto wa mchepuko wangu, mpaka muda huu siamini kinachoendelea. Rikiboy ametusababishia dhambi kubwa sana kupitia huu uzi. Ipo hivi, nimesafiri kuja mkoa X jana ambako ndipo binti huyu anasoma chuo first year. Baada ya kufika na kutafuta malazi...
  7. pangalashaba

    Kuna umuhimu gani wa kusali kabla ya Kula?

    Kama vile unavyosali ili Mungu akupatie mafanikio katika maisha na kazi yako. Basi chakula ni moja ya sehemu unazopata kupitia mafanikio yako ya kazi na utafutaji wako. So mshukuru Mungu kwa kufanikisha umepata chakula ili kiendelee kukujenga kimwili na kiroho.
  8. pangalashaba

  9. pangalashaba

    Siungi Mkono Kujengea makaburi

    Ni mjinga pekee anayeona kujengea makaburi ni ujinga.
  10. pangalashaba

    Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania, kuna shida gani kwenye Website yenu kipengele cha careers?

    Moderators nisaidieni kwenye tittle, ni Benki na siyo Beni.
  11. pangalashaba

    Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania, kuna shida gani kwenye Website yenu kipengele cha careers?

    Habari za majukumu great thinkers? Kuna hii shida kwenye website ya TADB ambayo ni zaidi ya mwezi mzima sasa, kila nikijaribu kuingia upande wa careers inaleta majibu kwamba kuna critical error kwenye website. Ila cha ajabu ni kwamba vipengele vingine vyote vipo sawa na hakuna shida yoyote...
  12. pangalashaba

    TANZIA Pumzika kwa Amani Vicky Shoma Mahinga

    Nadhani hujaelewa vizuri. Shoma ndiyo jina lake maarufu, ni sister ambaye namfahamu vizuri sana. Tuliishi wote kota za staff wa Mirembe Hospital. Anyway, tuishie hapa.
Back
Top Bottom