Search results

  1. K

    Posho za wabunge zapanda kimyakimya!

    am fedup na hili li-gvt letu. jamani can u imagine posho inapanda kwa 130,000/= wakati profesional teachers hadi leo hawajalipwa malimbikizo yao kwa madai kuwa serikali haina pesa. jamani hivi kweli inaingia akilini. Eti maisha ya dodoma yapo juu! ina maana yapo juu kwa hao waheshimiwa tu...
  2. K

    Kikwete apunguza maofisa anaosafiri nao nje

    hapa hakijapungua kitu chochote. mwacheni ****** wa watu akatalii. ndicho alichokua anagombea. kwani huko aendako kunakua hakuna ulinzi adi aende na maofisa 34. kawa obama kwa umaarufu adi adhuriwe. si ajabu huko anakoendaga hata hakuna anayemfahamu, sasa walinzi mia wa nini. ukute wanaomuona ka...
  3. K

    waliobakwa na polisi UDOM ni 9!

    kweleakwelea ama kweli wewe ni kweleakwelea haswaaaa maaana unafanania na hizo post zako unazoandika. huu ni uzushi hakuna hiyo kitu.
  4. K

    waliobakwa na polisi UDOM ni 9!

    kweleakwelea, this is too much! jamani hizi ishu niza uwongo sio za kweli kabisaaaa. hakuna hata mmoja aliyefanyiwa kitendo hicho.
  5. K

    Shabani mlacha aondolewe udom

    anasema yeye hawezi kutolewa labda kwa ncha ya upinde kwani yeye hakutafuta wala kuomba kazi. yeye kateuliwa na Presidaaa! hivyo wengine wote ni vidampa tu.
Back
Top Bottom