Search results

  1. R

    Makambako: Mwandishi wa Raia Mwema avamiwa na kukamatwa na Polisi nyumbani kwake saa 9 alfajiri. Polisi wakana kumkamata

    Nampongeza Mrs Emmanuel kwa juhudi alizofanya kuwasiliana na waandishi wa habari hata asiofahamiana nao. Mimi hatufahamiani, lakini alinipigia simu saa 9.05 usiku wa manane tarehe 22 Februari 2018, mara tu baada ya mumewe kubebwa na watu hao. Jitihada zake nadhani zimezaa matunda chanya. She has...
  2. R

    Aliye karibu na Mange Kimambi anisaidie kunifikishia Kwake huu ujumbe maridhawa

    Ushauri mzuri sana. kwa data anazokuwa nazo nguvu ya hoja inatosha. Kuna wakati anakuwa na data relevant, timely, credible and compelling kuliko hata makachero wetu...
  3. R

    Kuna Lawama kwa Rais, Kuna Lawama Rahisi, na Lawama Halisi

    . Mwanakijiji, leo umeandika kwa mafumbo. Funguka. Nyoosha sentensi hizi: "Sidhani kama tunaelewa uzito wa kuwabebesha lawama sahihi watu sahihi ili wawajibike au wawajibishwe kwa usahihi. Magufuli ana lawama zake, lakini kuna wanaobeba lawama zaidi." Fafanua haya: -Lawama sahihi ni zipi? -Watu...
  4. R

    DC wako anatekeleza majukumu yake ipasavyo?

    . Huo ndio ukweli. DC ni mkono wa RC
  5. R

    DC wako anatekeleza majukumu yake ipasavyo?

    Baada ya kuona mambo kadhaa yanayotia mashaka nimejiuliza swali: Hivi Ma-DC wanatekeleza majukumu yao ipasavyo? Tusaidiane kuwapima kwa kutumia Hati ya Majukumu inayowahusu. Hii hapa..... ===========MAJUKUMU YA MKUU WA WILAYA================= (i) Kumweka mtu kizuizini kwa muda wa saa 48...
  6. R

    Mbunge Assumpter N. Mshama

    . Pia sio "nshungu" bali "nshunju"
  7. R

    Mbunge Assumpter N. Mshama

    Acheni maneno yenu, huyu mama kaenda shule kweli. Kama mnabisha peruzi CV yake hapa chini.....
  8. R

    Kuna tofauti gani kati ya 'tendo la ndoa' na 'tendo la ngono'?

    . Hapana. Download kitabu nilicho-attach ujipige msasa All the best.
  9. R

    Kuna tofauti gani kati ya 'tendo la ndoa' na 'tendo la ngono'?

    . Msomaji mmoja amefupisha hiyo makala hiivi.... On Greta Christina’s “Are We Having Sex Now Or What?” No matter how many people are doing it (or aren’t doing it), why they’re doing it, who they’re doing it with, how many people they’re doing it with, and how they get off from it, sex is still...
  10. R

    Kuna tofauti gani kati ya 'tendo la ndoa' na 'tendo la ngono'?

    Je, uliwahi kujiuliza swali, "Kuna tofauti gani kati ya 'tendo la ndoa' na 'tendo la ngono'?" Kama bado anza kujiuliza sasa. Andika jawabu lako kwa sentensi moja. Halafu, soma makala ya Greta Christina, “Are we Having Sex Now or What?” iliyoambatanishwa hapa chini. Makala inayo maneno 2000 tu...
  11. R

    Mtatiro: Hatua za Bunge, Lipumba na msimamo wangu! Na maajabu ya Bunge na serikali ya CCM

    . Uwe unabakiza maneno ya akiba.... Vinginevyo unafichua udhaifu wako. Hivi, kama vita ndio hii, ushindi uko upande gani? Asubuhi njema Julius.
  12. R

    Maswali 11 kwa Baba Askofu Dallu

    . Kwa ujumla, mfumo wa sheria una ngazi tano: Sheria asilia ya maadili Sheria za nchi/Bunge Matamko ya watawala. Hivyo basi, vipaumbele vya utii viko hivi: Sheria asilia ya maadili ina nguvu kuliko Sheria za nchi Sheria za nchi/Bunge zina nguvu kuliko Matamko ya watawala
  13. R

    Maswali 11 kwa Baba Askofu Dallu

    . Huu ni mfano hai wa ujambazi wa kifalsafa kwa kutumia silaha ya "slippery slope fallacy"!
  14. R

    60-PLUS SOCIAL NETWORKING SITES IN 2017

    60-PLUS SOCIAL NETWORKING SITES IN 2017 Human nature by default has been programmed to be socially active to a certain extent. Some people are more active, while others are less so! However, people have always been looking for ways to connect and network with each other. And, in this age of...
  15. R

    Maswali 11 kwa Baba Askofu Dallu

    . Neno hilo kali liko wapi? Naona mouse yako iliokota text isiyo yangu. Maneno yangu yote yako shwwari. Hebu cheki tena uone....
  16. R

    Maswali 11 kwa Baba Askofu Dallu

    . Nyundo yako imegonga kwenye utosi wa msumari!
  17. R

    Maswali 11 kwa Baba Askofu Dallu

    . Kama Mkristo, na askofu mstaafu, nayajua hayo yote. Lakini, pia ninayejua majukumu yangu kama "padre mlei," baada ya kustaafu uaskofu. Kwa mujibu wa nyaraka za Mtaguso wa Pili wa Vatican, ninalo jukumu la kumkemea Askofu pale anapopotoka. Hivi hapa natekeleza jukumu langu kama Padre Mlei....
  18. R

    Maswali 11 kwa Baba Askofu Dallu

    . Mcdad, ni hivi: Mosi, hakuna sheria ya Bunge inayomkataza mwanafunzi mwenye rika ya utu uzima kufanya ngono, hata kama yuko shule ya msingi. Mwanafunzi wa aina hiyo anabanwa na sheria za shule tu, sheria ambazo uhai wake unakomea kwenye uzio wa shule. Hata hivyo, kuna sheri ya Bunge...
  19. R

    Maswali 11 kwa Baba Askofu Dallu

    . Hiyo ni silaha nyingine ya ujambazi wa kifalsafa--fallacy of association. Tunaongelea mimba za watoto wa kike unaleta habari ya ushoga. Kwani mashoga wanabeba mimba, kama ilivyo kwa watoto wa kike?
Back
Top Bottom