Search results

  1. Bonesmen

    Mafundi Wa umeme msaada

    Solved
  2. Bonesmen

    Uzalishaji wa Umeme Tanzania

    Tanzania Tunazalisha wastani wa Megawatts 1745MW Kiwango hicho sio toshelezi sana kwa Watumiaji ila at least kinatupa Umeme wa Kutosha kutumia Kwa baadhi ya Wateja Jirani zetu kenya wao wanafua Megawatts 2300MW, Umeme ni maendeleo, Penye umeme pana maendeleo, Umeme wa Uhakika nchini unapatikana...
  3. Bonesmen

    Wana jukwaa ebu nipeni password

    HUAWEI Y330, IKO LOCKED SIM ONE NA TIGO TU NIPENI CODE WADAU Unlock codes
  4. Bonesmen

    Raisi Wa Uganda kutumia Ndege ya Kenya airways katika kusafiri?

    Hii imekaaje kiusalama wakuu, Raisi ni taasisi kubwa sana yenye mamlaka katika Taifa sasa Mheshimiwa Yowel museven inakuwaje unakosa private jet na kutumia Mashirika ya Nchi tofauti na yako kukusafirisha? Hii imekaaje wana Jamvi?
  5. Bonesmen

    Ni Wasaa wa Idara yetu ya Usalama kufahamika

    Nimeingia Wikipedia Nimejaribu kusearch TISS nilichokiona ni cha kusikisitisha kama sio kustaajibisha. Hakuna sufficient News kuhusu idara yangu hii ya Usalama Yani kuanzia formation, Incumbent Leaders na mengineyo Nikashangaa sana hii imekaaje wakuu? Ukitazama idara ya ndani ya Usalama ya...
  6. Bonesmen

    Nataka kusomea mambo ya Udaktari

    wakuu salama? Mimi ni mwana technology Sasa natamani sana kufahamu sana mambo ya mwili wa binadamu hata kama sio deeply Ila niwe na skills kadhaa za kutibu mtu yani simply nipate basic knowledge ya udaktari, Wapi naweza patiwa mafunzo haya bila kuwa awarded na cheti yani niwe trained practically...
  7. Bonesmen

    Wana Electronics

    wakuu salama humu? Leo naomba hobbylist na wana tech wote tudiscuss kuhusu electronics haswa haswa juu ya sensors je umewah kukutana na sensor ipi ikakuumiza kichwa kufikiria kina namna gani inawake? miaka ya nyuma kabla sijaingia ktk industrial hii nilikuwa nikipita sehemu taa zinawaka...
  8. Bonesmen

    Nianzie wapi Kuelekea Botswana au Rwanda?

    Salama wakuu, Mimi ni mzalendo haswa na naipenda Nchi yangu Tanzania naamini scattered (kutawanyika) kwa raia wa nchi baadhi huitangaza zaidi nchi hio ambayo wakazi wake wako nje, Nilikuwa na mikakati ya kusomea nje bachelor degree yangu ila nafikiri pana ugumu fulani wa hapa na pale kwa file...
  9. Bonesmen

    Unlocking vodafone smart kicka codes

    Wakuu ninaomba msaada wa kutoa network lock ya hii simu ya smartkicka nimemchukulia wife naona kiko locked kutumia voda imei ni 357773065476955 Msaada wa code wakuu
  10. Bonesmen

    Naweza kudeposit hela kwa bank nje

    Wakuu hvi mtu anaweza kuniingizia pesa kupitia Akaunti hzi za bank akiwa nje ya nchi mfano Australia au England mimi nina Equity bank na kadi ni Visa
  11. Bonesmen

    Error 720 A connection to the remote couldn't be established.

    Natumia win 10 modem imesha detect line modem ya Zain nime unlock sasa kila nikiconnect inaleta huo ujumbe nashindwa kupata internet msaada wakuu
  12. Bonesmen

    Modem hii ina shida gani!

    Wakuu nimeweka modem brand ni Zain Huawei E1550 nime install fresh setup yake shida kila nikitaka kuconnect na internet inaandika The device has been disconn disconnected or unavailable sehemu ya mtandao haijapandisha kabisa nifanyaje?
  13. Bonesmen

    no audio hardware

    wakuu nimedownload game ya gta but haina sauti yani pale pa audio setup hapa function je nifanyaje kuliwezesha game hili kuwa na sauti
  14. Bonesmen

    Wakuu msaada tutani

    nimehangaika sana kutafuta setup ya gta vice city msaada pls wa link ya kulidownload direct mana nimehangaika sana net
  15. Bonesmen

    Nashida na Gemu ya GTA vice city

    wakuu nahitaji setup ya hii game au direct link nikadownload Email teslasenior@gmail.com
  16. Bonesmen

    Msaada wa WhatsFapp WhatsApp plus

    Wakuu whatsFapp yangu imepigwa ban ila GB WhatsApp ninayo iko fresh mtu anipe valid link ya kupata Cranked app ingine ya WhatsApp inayopiga mzigo tofauti na GbWhatsapp
  17. Bonesmen

    Wakuu na unlock vipi hii modem ya Zain

    Jina la mtandao wa modem Zain Model E1550 Hspa usb stick iko manufactured na huawei na unlock vipi iingie chip zote
  18. Bonesmen

    Chuo cha Ufundi Arusha kimekuja na Helicopter

    Hello wadau ikiwa ni wazo makini ambalo tayari limeanza utekelezaji Chuo chetu makini kabisa Arusha Technical college alimaarufu kama ATC kimeanza mikakati ya kuunda helicopter kutokea ktk workshop zao,Helicopter hio au chopper itakuwa na capacity ya kubeba watu wawili iko ktk hatua ya mwanzo...
  19. Bonesmen

    Wakuu benk ipi itanifaa kwa inshu za manunuzi online

    Wakuu hii bank ya kimea imekuwa ngumu mpaka sasa kunipa access ya Online transaction sasa je nisogee bank ipi ambayo ita link card yangu easly na online transaction, Equity gharama na taratibu za kujiunga zipoje?
  20. Bonesmen

    Watumia vileo tukutane hapa

    Wakuu mimi ni mdau mzuri wa pombe aina ya Jebel hzi local beers za ngano zinanishida kwa vile tu mtu unamka na hangover sana hebu nijuze vileo vingine tofauti na jebel nitajie ambavyo vina alcohol kubwa kiasi
Back
Top Bottom