Search results

  1. ndogwila

    Rais Magufuli: Lazima niseme ukweli, "kuna watu wamebinafsisha viwanda kwa mikataba ya ovyo"

    Wewe si ndio mwenye lungu mkuu unalalamika nini kama sisi wa kwenye vijiwe? Take action kama huwezi kaa kimya. Hutaki kuwalaumu huku unawapaka matope.
  2. ndogwila

    Spika Ndugai aagiza Halima Mdee aitwe bungeni ikibidi apelekwe hata kwa Pingu akahojiwe

    Hivi mdee alimkosea ni ni huyu jamaa? Hebu wakae wayaongee wamalizane tumechoshwa na sinema zao hao watu wawili,nahisi wanajuana.
  3. ndogwila

    Zawadi ya Jumapili kwa Mh. Rais John Pombe Magufuli

    Asante kwa andiko zuri Yericko na zawadi hii nzuri kwa mtukufu japo ulitakiwa kwanza uangalie kwa jicho pevu je? Mtukufu anapokea zawadi nono kama hizi? Je aliahidi nini kwa mtu atakayejaribu kumpa zawadi kama hii siku ile akiwa na Daudi Bashite? Nchi imeshakuwa ya 'one man show ' hata wasomi...
  4. ndogwila

    Dk Slaa: Mvumilieni Rais Magufuli. Natafakari kurudi nchini siku yoyote

    Karibu Dr. kwenye nchi ya kusadikika najua wazi mpunga utakuwa umekata. We ni mtu na heshima zako japo umenyea kitanda ambacho jioni unataka ukilalie tena. Jamaa umeshawasaidia kuingia madarakani sijui kama watakutoa tena kwa kifupi umeshakuwa bigijii ilioisha utamu.
  5. ndogwila

    Ukimya wa Waziri wa Nishati katika Mgogoro wa Mchanga wa Dhahabu unatia Mashaka

    Sioni ajabu kwa prof kukaa kimya kwani anajua mihemko ya baba mwenye nyumba. Fanya fyoko ufungashiwe virago dakika sifuri. Japo sio reputation nzuri kwa watu wa aina yake.
  6. ndogwila

    Ukimya wa Waziri wa Nishati katika Mgogoro wa Mchanga wa Dhahabu unatia Mashaka

    Sioni ajabu kwa prof kukaa kimya sababu anaijua vizuri mihemko ya baba mwenye nyumba. Ukileta fyoko dakika sifuri unafungashiwa virago. Japo siyo reputation nzuri kwa watu wa aina yake.
  7. ndogwila

    Hivi CHADEMA kuna Demokrasia kweli? kama hakuna hata Mabadiliko ya Mwenyekiti!!!

    Kukata kata watu kwenye kura za maoni ndio demokrasia hiyo? dada Bhanji tu analia amekatwa bila hata kuwa consulted watu wanaenda na majina ya wagombea wanaowataka wao mfukoni.
  8. ndogwila

    Wasanii kuhamahama vyama kipindi cha uchaguzi ni kutafuta umaarufu au wanatumiwa?

    Nashangazwa na tabia za baadhi ya wasanii kuhama chama na kujitangaza kwenye media.Nisichokielewa hapa ni kweli wanafuatilia siasa kiasi cha kuvutiwa na Sera za chama anachohamia au kutafuta umaarufu zaidi? Au wanatumiwa na baadhi ya wanasiasa kuvuruga misimamo ya watu kwa vile wanavyoviamini...
  9. ndogwila

    Computer & secretarial training at Kondoa!

    FLASHLIGHT TRAINING COLLEGE INAWATANGAZIA NAFASI ZA MASOMO YA COMPUTER NA SECRETARIAL.CHUO KIPO KONDOA MJINI. Mawasiliano: 0688434525, 0755358180. Wote mnakaribishwa.
  10. ndogwila

    Posho, kivuko vyaiweka CCM njia panda

    nafikiri itakuwa ngumu sana dr. kuomba radhi kwa jinsi ninavyomfahamu,issue ya bwana Job na Sumaye inaandaa mazingizira mazuri ya kufanya mabadilko kwani siku fred akijibu tutapata mengi zaid na hizi zote ni rasilimali nzuri za kuingia nazo uchaguzi 2015,tujitahidi tusisahau tu,they're digging...
  11. ndogwila

    Uchaguzi wa 2015, CHADEMA, CCM hali ya hewa si shwari

    kabwe bado sana kwa siasa ya ajabu ya tz,hao wengine wajitahidi kutusafishia tuone.
  12. ndogwila

    Wanyama 130 wakiwemo twiga watoroshwa KIA kwenda Qatar

    huu ndo wakati wa kila mtu kufa na chake mpaka awamu hii iishe rasilimali zetu zitakuwa zimeliwa na wajanja to the extent,hivi serikali inafanya nini....huu ni msiba.
  13. ndogwila

    Nyerere, Mwinyi, Mkapa and Kikwete: Leadership Styles and A Lesson to Learn!

    nafikiri rais mbaya ni yule anayechangia kudidimia kwa maendeleo na kuchangia kwa kiasi kikubwa ugumu wa maisha
  14. ndogwila

    Gbagbo kupasua kwa nini alimkataa Raila..........

    umoja wa africa unafanya nini?kwanini wasimtoe Gbagbo,anyway nimekumbuka,wenyewe wanajua wameingiaje madarakani.siwalaumu sana.
  15. ndogwila

    Wikileaks wakabidhiwa account za marais huko uswiss,nkapa,kikwete kusalimika??

    hii sasa inatisha,sipati picha atakayesimama kwa tiketi ya ccm2015 atawaambia nini wananchi wenye hasira ya kuibiwa rasilimali zao na vigogo wachache,ujio wa wikileaks ni kama ule wa nabii Mungu wabariki wikileaks.
  16. ndogwila

    Usaliti watawala udom

    habari zilizonifikia hivi punde zinaonesha hali kuwa mbaya zaidi ktk mgomo wa wanafunzi udom(coed)pale ambapo wachache wanaojipendekeza kwa wakubwa wa chuo kuingia madarasani huku wengine wakiendelea na mgomo na kusimamia madai yao ya msingi.hali hii inahatarisha maisha ya wanaharakati wa...
  17. ndogwila

    moto mkubwa UDOM{COED}

    Baada ya kile kinachodaiwa kushindwa kwa serikali legelege ya wanafunzi wa kitivo hicho, kusimamia msimamo wao wa wazirl mkuu mh.Pinda kuongea na wanafunzi wote,vilevile hasira kali zimeibuka miongoni mwa wanafunzi hao kwa kudai kudharauliwa na waziri mkuu.wanadai kuwa wamemsubiri kwa takribani...
  18. ndogwila

    habari kwa waungwana woteee

    mimi ni mgeni lakini mwenyeji ktk jukwaa hili.kwanza nilikuwa mfuatiliaji wa nje sasa naomba mnikaribishe ndani.membaz wooote mnikumbuke ktk ufalme wenu.
  19. ndogwila

    Mama Fatma Karume athibitisha Karume hakushiriki Mapinduzi ya Jan, 1964! TBC Live

    kama ni hivyo inaonesha wazi kwamba kuna baadhi ya watu wachache wanaokula jasho na maumivu ya watu wengi zanzibar.je,ki nani hasa wanastahili kufaidi matunda ya mapinduzi hayo?
Back
Top Bottom