Search results

  1. B

    Wananchi wa jimbo la Sengerema wamlilia Ngelejas

    shetani akizeeka anakuwa malaika!!!!!
  2. B

    Majangili yaitungua helikopta na kumuua rubani huko Maswa

    duh! hao majangili wamejipanga vyema Inaitajika nguvu ya ziada kuwadhibiti sio matamko majukwaani.Tuwaombee wote walio poteza maisha wapumzike kwa amani.
  3. B

    Watendaji 7 wa Halmashauri ya wilaya Bukoba watumbuliwa jipu kwa kufisadi milioni 851

    mk Mkuu huko sio kwa lwakatare,lwakatare ni bukoba mjin,hii ni bukoba vi u
  4. B

    Watendaji 7 wa Halmashauri ya wilaya Bukoba watumbuliwa jipu kwa kufisadi milioni 851

    Duh! patamu hapo,na zoezi la kupiga "X" nyumba za watu Kyebitembe linaendelea kweli hii serikali ya Jpm!
  5. B

    Historia Ya Vita Vya majimaji

    Hata wenye chokochoko zenu na huku mpo? Udini mpaka lin???
  6. B

    Pemba imeikataa CCM, inakataa kurudiwa kwa uchaguzi Zanzibar

    Tuombe mwisho mwema kwa wenzetu wa zanzibar
  7. B

    Waziri Nape Nnauye hajui maana ya TFF

    Kutoka msemaji wa chama hadi............
  8. B

    Arusha: Waliokimbilia CCM waomba kurudi CHADEMA

    Wataisoma namba ccm ni ile ile...........
  9. B

    Arusha: Waliokimbilia CCM waomba kurudi CHADEMA

    Wataisoma namba ccm ni ile ile...........
  10. B

    Bunge kuwaka moto, wabunge wa CCM wala yamini, hoja zote za UKAWA kudhibitiwa

    Yuko wapi Werema aliyeita wenzake Tumbili? Maccm Kuban hoja za wapinzani si kwamba wameanza Leo,watabana lkn penye ukweli wataachia.Na jimbon tumewasubilia
  11. B

    Rais Magufuli awarudisha nyumbani mabalozi 6, amtimua Mkurugenzi NIDA. Madeni Kipande afukuzwa kazi!

    jamaa ni noma,anataka kutokomeza kizazi chote cha Bb riz1.duh!!
  12. B

    Rais Magufuli awarudisha nyumbani mabalozi 6, amtimua Mkurugenzi NIDA. Madeni Kipande afukuzwa kazi!

    jamaa ni noma,anataka kutokomeza kizazi chote cha Bb riz1.duh!!
  13. B

    Padri huyu analidhalilisha kanisa Katoliki parokia ya Kirumba

    duuuh! hii nayo ni balaa,mwenyez mungu atujalie hekima kwenye kujadili hili.
  14. B

    Mfumo wa GPA wafutwa na Waziri Ndalichako

    Kila waziri na utashi wake kwenye Elimu,Yale yale ya hakina mungai-nafuta michezo,Kawambwa-GPA,Ndalichako-Division.kweli hii ni Tanzania!!
  15. B

    Mwanahali nalo kwenye hati hati

    NEC wameigusa panapo,kama wanachukia maovu mbona hawajawai kujitokeza kulaani walichofanya wenzao ZEC huko Zanzibar? nao NEC ni jipu...
  16. B

    Marafiki wa Lowassa waivuruga chadema. Kikao cha Moshi chamalizika bila muafaka

    Duh! haraka ya nn? taarifa yenyewe haijakamilika!
Back
Top Bottom