Search results

  1. mkanyikivega

    Vita na Iran inahitaji akili za mwendawazimu

    🤣🤣🤣🤣🤣 nyinyi ndo mnafanya hackers tuonekane mafala ..... anyway umenikumbusha ile movie ambayo dogo anahack NASA kwa HTML...
  2. mkanyikivega

    Mwanafunzi avaa mabango na kukaa barabarani akipinga kuchaguliwa masomo ya ECA ambayo hajayasomea

    UCHAGUZI WA WANAFAUNZI KIDATO CHA TANO NA VYUO NI KILIO KWA WAZAZI MASIKINI na Mwl Matete Siku tatu zilizopita serikali ilitoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano na vyuo mbalimbali, kilichowastua wengi ni namna uchaguzi huo ulivyofanywa. Wazazi wengi wanalia hasa...
  3. mkanyikivega

    Ni movie gani ulishawahi kuiona ambayo Starring anakufa?

    Ragnar Rothbrok, the vikings
  4. mkanyikivega

    Taja jina la shule ya msingi uliyosoma enzi hizoo

    mimi pengine mwanao maana nimemaliza 2008
  5. mkanyikivega

    Njombe: Hivi yale mashamba makubwa ya chai yanamilikiwa na nani au kampuni gani?

    Kuna Unilever ambayo ni private na madogo madogo ni ya binafsi ambao wanakua na ushirika wenyewe kwa wenyewe na pia hawa binafsi wanakua na kiwanda cha kuchakata cha binafsi ...... Aaafu naskia hao Unilever wanataka kuuza kampuni kwa Kanjibhai
  6. mkanyikivega

    Hadithi ya kweli ya maisha yangu

    Si ndio huyo ambae alielezea kua yeye Holy alimpa huyo manzi godoro lake ambalo alinunua aanze life lake, lakini badae uyo manzi akawa ana mambo ya kiwaki holy akamwambia kua anaenda fata godoro lake manzi akasema njoo fata kimalika chako ..... holy akafata manzi alijua utani ................
  7. mkanyikivega

    Ni zipi mbinu za kudhibiti wizi kwenye duka la jumla?

    Hizi mifumo nyingi ambayo imetajwa hapa wala sio suluhu maana bado kujaza record inakua ni option .... the only system ambayo unaeza ku assure safety hata kama sio kwa kuongeza layers nyingine za uaminifu basi inabidi iwe inafanya kazi kama ATM vile unaweka card inatoa items as requested. NB...
  8. mkanyikivega

    Ukumbi wa Papa: Ndiyo Utambulisho wa yule Nyoka wa Eden?

    Hapa TZ ntalipata wapi? nataka kwenda kujifunza
  9. mkanyikivega

    Ukumbi wa Papa: Ndiyo Utambulisho wa yule Nyoka wa Eden?

    Sawa sio dhehebu sahihi, lipi ni dhehebu sahihi?
  10. mkanyikivega

    Vijana Mnaotafuta Ajira jifunzeni kuwadanganya walinzi!!

    NImereply sababu ya mfanano wa simu
  11. mkanyikivega

    Kukopi Files kutoka HDD/SSD moja kwenda nyingine kwa gharama nafuu sana

    Yap, unaweza kupiga maujanja kidogo then kama ilizimia itazinduka otherwise itakua ngumu
  12. mkanyikivega

    Kukopi Files kutoka HDD/SSD moja kwenda nyingine kwa gharama nafuu sana

    Angalia scenarios zifuatazo 👇: Una Hard disk (HDD) ambayo unatumia kwenye computer lakini unataka ubadilishe utumie Solid state drive (SSD) kwa sababu mbalimbali kama performance, lakini unataka uhamishe kila kitu kilichomo kwenye HDD ya zamani kuanzia OS yenyewe, programu zote na files au...
  13. mkanyikivega

    Mwanaume Bora anipige kwa 'dyudyu' kuliko ngumi

    Kazi ya dyudyu ni kukuna na sio kuchapa... kazi ya kuchapa ni ya ngumi
  14. mkanyikivega

    Mchepuko umenizalia ka 'beautifu girl'

    Kwani na wewe ni beautiful? Kama wewe sio beautiful na katoto ni beautiful basi ujue kuna beautiful kamkula mchepuko wako na kamzalisha
  15. mkanyikivega

    Fahamu jinsi ya kuondoa 'bablishi' kwenye nguo (how to remove bubble gum on clothes)

    MIMI HUWA NATUMIA MAJI YA BETRI. INATOKA CHAP HARAKA SANA YAANI.
  16. mkanyikivega

    Huyu member wa mm bado yupo hai!?

    :mad::mad::mad::mad::mad: MAREHEMU INA SURF JF??????
Back
Top Bottom