Search results

  1. K

    Ombaomba kuna ujumbe wenu huku

    Kwa hiyo kumbe ukimlipia demu kodi unapata faida lukuki, mbona hamjasema mapema? Viumbe mna siri nyieee
  2. K

    Sauti ya umauti masikioni mwangu

    Ila watu mmevurugwa [emoji23][emoji23][emoji23]
  3. K

    Sauti ya umauti masikioni mwangu

    Pole sana kiongozi. Jipe moyo, inuka ujaribu tena. Shirikisha watu wa karibu. Anza upya. Usikate tamaa. Baraka za maulana utakutana nazo huko huko mtaani katika kung'ang'ana. Nami nakuombea heri
  4. K

    Makamu wa Rais aridhishwa na utekelezaji wa mradi wa maji Same - Mwanga - Korogwe

    Nimempenda huyo ustadhati aliyeshika fimbo [emoji7].
  5. K

    Tahasusi za masomo ya A-Level: Kutoka 16 HADI 65, tumpongeze waziri au tumuhoji?

    Je, mfumo wa zamani ulikuwa na mapungufu yapi ambayo mfumo mpya umekuja kuyarekebisha? Mfano elimu za dini kufundishwa/kutolewa zaidi seminarini, masuala ya arts kufundishwa kwenye vyuo mahsusi kama pale Bagamoyo kwa ngazi ya cheti, diploma hadi digrii n.k. utaratibu huo ulikuwa na mapungufu gani?
  6. K

    Tahasusi za masomo ya A-Level: Kutoka 16 HADI 65, tumpongeze waziri au tumuhoji?

    Wadau, Kama mlivyosikia Wizara ya Tamisemi imetangaza ongezeko la tahsusi za kidato cha tano na sita katika michepuo mbalimbali ikiwemo sayansi, lugha, michezo, sanaa, biashara na dini. Kwa tafakari ya haraka naona haya ni maendeleo katika kuruhusu wigo mpana zaidi wa kujifunza mambo ambayo...
  7. K

    Je, kuna kiongozi yeyeto wa Taifa jirani aliehudhuria msiba wa marehemu mwinyi?

    Dhana ipi unaongelea? Binafsi nimemuona na kumsikia Makamu wa rais wa Namibia akiwa msibani Zanzibar
  8. K

    2024 Mwaka Mgumu Kwa Nyumba za Ibada Afrika

    Kichwa cha habari kipana, maelezo finyu. Nyumba za ibada sio kwa ajili ya ndoa na mahusiano pekee. Waamini wake wanajua wanachokipata huko.
  9. K

    Natafuta mtu wa kuzaa nae watoto watatu bila ndoa

    Umesema una hela? Kwa nini usitafute surrogate, or else opt for test tube babies.? Waheshimu mama na dada zetu tafadhali. Naamini, haipo nafsi iliyokosa kujithamini kiasi cha kutimiza hivyo vigezo vyako vya kishenzi eti ili alipiwe kodi ya chumba na kupewa mtaji etc..ili akuzalie watoto.
  10. K

    TANZIA MwanaJF mwenzetu, Rubawa amefariki dunia

    Bora mods mlivyoiboresha hiyo heading. Maana ingeweza kuleta taharuki
  11. K

    Je, unaweza kuwa na Bank Account ya Tanzania ikatumika Ulaya kwenye kutoa na kuweka

    MasterCard, Visa cards n.k. zinafanya kazi kwenye ATM za nje kama kawaida
  12. K

    Msaada: Nahitaji majina ya watoto wa Kike na Kiume ya Kiafrika, yasiwe ya Kizungu, Kiarabu wala Kiswahili

    Kingunge, Ngombale, Mwiru, Mwigulu, Nchemba. Lolote katika hayo matano ukilipenda maana yake tunaweza kutafuta
  13. K

    Sifa za husband material

    17. Ha-exist
  14. K

    Anayekutawala amekuzidi Akili

    [QUOTE="Robert Heriel Mtibeli, post: 48243606, Kushindwa kujinasua individually kwenye situation fulani kwa kukosa nyenzo au sapoti ya society, hakumaanishi wewe hauna akili. Yafaa nini uki-demonstrate akili zako ukaishia kupotea mazima? Ushahidi wa hizo akili utatoka wapi?
  15. K

    Stay single until you’ve met someone who has experienced these 9 things in life

    Ongezea maelezo, mtu wa mtindo huu na mwenye vigezo hivi vyote unadhani anapatikana wapi kwenye ulimwengu wa leo? Nashauri tuishi tu
  16. K

    Anayekutawala amekuzidi Akili

    Pengine una maanisha "ujasiri" = Being brave enough to...., na sio "Akili" = inteligence/cleverness. Kwa baadhi ya mambo neno FATE = Majaliwa, linaweza kufit zaidi maelezo yaliyotolewa (mf. Historia ya Chifu Mkwawa). Neno akili lina ukomo kwa vile baadhi ya mifano iliyotolewa haifui dafu kwa...
Back
Top Bottom