Search results

  1. bank

    Kutoa harufu mbaya puani

    Kama bado hujapata majibu soma link hapa Bad smell in nose: Causes, treatments, and prevention Muhtasari Sinusitis, maambukizo ya kinywa, na vyakula fulani, vinywaji, na tabia ya maisha kawaida huwa nyuma ya harufu mbaya puani. Kwa kawaida watu wanaweza kuondoa harufu mbaya puani kwa kutumia...
  2. bank

    Pima afya yako uishi kwa amani

    "AFYA KWANZA" ACHA KUTESEKA NJOO UPIME AFYA UPATE MATIBABU, USISUBIRI HADI UZIDIWE GHAFLA, TUNAPENDA UISHI -WATAALAM WA AFYA WAKISHIRIKIANA NA MADAKTARI BINGWA WAPO HAPA NCHINI (KARIAKOO DSM) WANAWATANGAZIA WANANCHI WOTE WAJE KUPIMA NA KUJUA AFYA NA KUPATA TIBA, WANATOA HUDUMA ZIFUATAZO...
  3. bank

    Hizi ni dalili za mtoto wa kiume?

    Asante kwa mrejesho. si mchezo,kweli ni ya zamani ila nimejifunza hizo dalili kumbe sio lazima ziwe za jinsia fulani
  4. bank

    Hizi ni dalili za mtoto wa kiume?

    Mkuu Adilu tunaomba mrejesho basi, ulipata jinsia gani ili na wengine wajifunze
  5. bank

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Na je kingamuzi cha dish kwa local chanel nazo ni bure au lazima ulipie ndio uzione
  6. bank

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Habari, Mimi nipo kimara kilungule natumia kingamuzibcha antena ya nje tena nimeweka pole ndefu lakini honeshi chanel yeyote kwa muda mrefu pamoja na kujaribu kulipia lakini karibu inaexpire lakini nimeshindwa kuona chochote. Nimejaribu kugeuzia antena sijui kisarawe, mara makongo lakini...
  7. bank

    Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Biashara ya matunda kama machungwa na mengineyo kama eneo limechangamka itakutoa fasta pia
  8. bank

    Machine ya max malipo inauzwa Dsm

    Asanteni mashine Ishauzwa tayari. Nilisahau kujulisha mapema.
  9. bank

    Machine ya max malipo inauzwa Dsm

    NB Hapo nimeelezea bidhaa chache tu zipo nyingi zaidi ya hizo
  10. bank

    Machine ya max malipo inauzwa Dsm

    Hii ni achine ya fanya miamala yamalipo ya vitu mbalimbali kama bili za maji awasco,LUKU,STAR TIMES,TRA,SMRT TFF,KUUZA VOCHA,MPESA Nakadhalika. Biashara hii ninzrikwani inampa yule anayefanya kipato kupita kamisheni UKIUZA:NA KAMISHENI ZAKE AINA KAMISHENI LUKU......2.5% DAWASCO..3% SMART...
  11. bank

    Machine ya max malipo inauzwa Dsm

    Habari zenu ndugu, Machine ya max malipo imetumika miezi minne inauzwa shillingi laki 450,000/=. Mwenye kuhitaji tuwasiliane Kwa wakazi wa DSM Asante
  12. bank

    Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

    Mimi naifanya biashara hii hapa Dsm, mahitaji ya kupata laini za kazi TIN NO, LESENI YA BIASHARA NA ENEO LA KUFANYIA HIYO BIASGARA pamoja na mtaji.Ili uweze kufanya kazi bila kurudisha wateja wengi kwa kutokuwa na salio unanatakiwa uwe na mtaji usiopungua milioni mbili, na hapa mzunguko wa hela...
  13. bank

    TFDA - Food Registration Officer Interview

    Hivi interview ya Accountant ni lini tafadhali. samahani nilikuwa kwenye daladala sikusikia vizuri kama ni Jmos ya ya tarehe 17 au ya tarehe 24
  14. bank

    Mafunzo ya kutengeneza mkaa wa kisasa

    Asante biashara, Hayo maelezo yenyewe nimeayakopi kama yalivyo mahali kwa hata mwenyewe sijui kama ni ya kweli au vipi Maana wao inaonekana hiyo net ndio ya kufunika kibanda kizima na na hakuna ultraviolent plastic Nashauri tuendelee na topic ya mkaa tusejeharibu tread yako na vitu vingine...
  15. bank

    Mafunzo ya kutengeneza mkaa wa kisasa

    Mkuu Biashara kwa kuwa Topic yako ya green katika video hatuwezi tena kukomenti pale naomba niulize swali la green house hapaKuna teknolojia nyingine nimeisoma mahali inahusu AGRO NET ambayo ni bei nafuu kuliko hata green houseJe hii wewe unaizungumziaje kama unajua tafadhali isije kuwa rahisi...
  16. bank

    Msaada: Biashara ya Nanasi Dar es salaam

    Habarini wadau,Mimi nataka nianze biashara ya kuuza nanasi hapa dar kwani naona kama ndio msimu umeanza maana nimeona kuna maeneo washaanza kumwaga Naombeni mwenye kujua zinakopatikana kirahisi kwa bei ya jumla na nafuu kwani nataka nichue mfano canter moja na kuja kuzimwaga eneo lenye wapitaji...
  17. bank

    Mafunzo ya kutengeneza mkaa wa kisasa

    Mkuu asante sana nipo Dar ndio. Nitafunga safari kwenda pale.Japo sijui ukifika pale unamuulizia nani maana kwenda kimguu mguu bila no ya simu ya huyo mtu unaweza usimkute aua ukakuta kasafiri
  18. bank

    Mafunzo ya kutengeneza mkaa wa kisasa

    Mkuu ndio hizo za nyama ila inabidi uchukue kubwa ya mwisho no 22 ndio itafaa zaidi
  19. bank

    Mafunzo ya kutengeneza mkaa wa kisasa

    Hivi Mkuu hakuna fundi anayeweza kumodify hiyo mashine ya 75000 akaweka kamota kadogo kakuendesha? Kama kuna mtu namjua fundi anayeweza kufanya hicho kitu anijuze tafadhali
Back
Top Bottom