Search results

  1. mwanaharakati m

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Dr Wille Slaa
  2. mwanaharakati m

    Sijavuliwa uanachama wa CHADEMA, Mimi ni mwanachama halali!

    Mchange sikiliza mdogo wangu, hata kama utaratibu haukufuatwa lakini mi nadhani umepoteza legitimacy kutoka kwa majority ya wanachama wenzako.Nasema hivi kwasababu practicaly (no theoretically) Chama imara hujangwa na watu wanaoaminiana, wanaoshirikiana, wenye maono (focus) moja. Najua utakuja...
  3. mwanaharakati m

    Maalim Seif: Tunataka Zanzibar yetu!

    Ka vp tuwaache waende....
  4. mwanaharakati m

    Hakuna ubishi kuwa mapambano ya Nape yamezima nguvu ya soda ya CHADEMA

    Acha kudanganya watu wewe MW-NG-MA-G- ......Njaa zitakuua, utakaa kusifia mafisadi
  5. mwanaharakati m

    Jenerali Ulimwengu amfananisha Pinda na mbwa wa PAVLOV

    Tafakari, chukua hatua...........
  6. mwanaharakati m

    Hivi ''Rais'' yuko nchini au vipi?

    'mwacheni akapumzike'
  7. mwanaharakati m

    Mbowe arejesha Shangingi la Kiongozi wa Upinzani Bungeni

    KWETU SISI WANANCHI WA KAWAIDA NDO TUNAAMINI KUWA chadema WANAMANISHA WANACHOKISEMA. ENDELEENI NA SPEED HIYO HIYO SISI TUPO NYUMA YENU. ALUTA....................................
  8. mwanaharakati m

    Hatimaye Mbowe apewa dhamana

    wananchi wa Tanzania wanataka kuona MAPACHA watatu wanakamatwa, wanafikishwa mahakamani, ushahidi unatolewa(upo) na mapacha watatu wanahukumiwa. wananchi hawako tayari kuona mtu anaye wapigania(Mbowe), anakamatwa huku mafisadi wakidunda vifua mbele na kuendelea kutoa maneno ya kashfa mbele ya...
  9. mwanaharakati m

    Ngawaiya: CHADEMA wanapewa pesa na Marekani kuchochea fujo

    acha kuwa muoga kwenye nchi ya ko wewe, cha msingi fight ili nchi yako itoke mikononi mwa mafisadi..........YOU ARE TOO COWARD
  10. mwanaharakati m

    Hata kama Mbowe na Slaa wangekuwa Vibaka, CCM bado ni nyoka hatari kwa Uhai Wa Watanzania

    Kipimo cha gamba walilovua ni watz, hivo tunaomba ccm waende kwa watz ili tuone km watz wanaweza kuwapokea km wanavopokea cdm. Laana ya watz inawatafuna ccm, na ss wanatapatapa, tuwaache watapetape mwisho ni muda si mrefu ccm itazikwa, maana imeshakufa.
  11. mwanaharakati m

    Spika wa wanafunzi ahamia CCM amekihama CHADEMA; Asema kwa sasa CHADEMA hakina dira

    mwangomangoooooooooooo.................njaa itakuuwa mdogo wangu.
  12. mwanaharakati m

    Rostam, Bashe watangaza vita na JK, wamuita naye fisadi

    Nyie tulieni tu....watatafunana wenyewe,sisi tutakusanya manyoya
  13. mwanaharakati m

    Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba?

    Sisi yetu macho, muda utatwambia.
  14. mwanaharakati m

    UVCCM wataka mafisadi wafukuzwe uanachama

    UVCCM imechoka, haiuziki kama kofia za polisi
  15. mwanaharakati m

    Babu wa Loliondo afungiwa kwa muda kutoa huduma...

    mbona unamtetea sana Lowassa,upo kwenye timu ya kumsafisha cyo?
  16. mwanaharakati m

    Dr. Azaveli Lwaitama, Prof. Seith Chachage (RIP) vs Dr. Bana & Prof Mukandala et al

    acha majungu, Dr Lwaitama anaishi vizuri tu, nafahamu mpaka kwake. he is just a normal person na maisha ya kati kama mfanyakazi wa umma
  17. mwanaharakati m

    Lowassa au Mwandosya kuwa Rais wa Tanzania 2015?

    DAH.bora Mungu amchukue tu.........
  18. mwanaharakati m

    Mbowe ahusishwa na UFISADI wa kuimaliza NSSF

    Mzushi, mzandiki, mchochezi, mchonganishi..........waliokutuma waambie wajibu hoja zinazowatafuna kanda ya ziwa.
  19. mwanaharakati m

    Pinda amfunika Dr Slaa Kagera

    `Mbavu za mbwa` kama nyumba za utawala wa CCM
  20. mwanaharakati m

    CHADEMA na tishio la Tendwa kukifuta Chama kisa Maandamano/M4C

    Kujitumbukiza kwa TENDWA katika vita dhidi ya CDM hakutasaidia kuiponya CCM mahututi kama hii bali ni kupunguza siku za uhai wake.......kama anaipenda CCM heri akae pembeni
Back
Top Bottom