Search results

  1. Bosco Robert

    Mbeya: Mlima Kawetele wameguka, nyumba zaidi ya 20 zadaiwa kufunikwa

    Taarifa yaijaeleza Kama Kuna Kanisa lolote ambalo limekubwa na maporomoko ya udongo???
  2. Bosco Robert

    Tetesi: Yawezekana hiki ndio kilichopelekea Kinana alalamikie Traffic

    Kwani Hao traffic wakiondolewa au kupunguzwa road kuna kazi gani nyingine wanaweza kufanya ukiondoa ile ya ukaguzi wa mabasi alfajiri wakati yanaondoka stand?
  3. Bosco Robert

    Nafurahia mapenzi nikiwa na binamu yangu kuliko mume wangu

    hakuna chenye mwanzo kisicho na mwisho
  4. Bosco Robert

    Singida: Tundu Lissu(MB) akamatwa na Jeshi la Polisi, Kusafirishwa kupelekwa Dar haraka!

    saiv ukivaiwa kwako wambie polisi kwamba UKAWA wapo huku watakuja haraka kuliko ukiwaambia majambaz
  5. Bosco Robert

    Naomba msaada wa ufafanuzi wa neno "KAA VIZURI" kwa jinsi ya kike

    sawa mkuu.nadhan hiyo ni kwa usiku lkn mchana ukimwambia kaa vzr anabana miguu
  6. Bosco Robert

    Naomba msaada wa ufafanuzi wa neno "KAA VIZURI" kwa jinsi ya kike

    bado maana wananichanganya kinyama mcha na usiku stlye tofauti
  7. Bosco Robert

    Ushauri: Rafiki yangu anafanya mapenzi ya jinsia moja

    sycologicaly tayari no mwathirika wa hali ya juu japo cjajua since when he is startng to run with dat game, but watu wa hivo kiukweli ni ngumu sana kuacha japo anaweza kupunguza na wanashauriwa kufanya mazoez ya viungo ambayo yatarudisha yatampa ukakamavu kwa maumbile ambayo tayar yalkuwa...
  8. Bosco Robert

    Naomba msaada wa ufafanuzi wa neno "KAA VIZURI" kwa jinsi ya kike

    mbona mchan ukwambia kaa vzr hapanui icpokuwa kubana mkuu
  9. Bosco Robert

    Naomba msaada wa ufafanuzi wa neno "KAA VIZURI" kwa jinsi ya kike

    Hivii, hili neno "KAA VIZURI" kwa mwanamke lina maana gani? Wakati wa mchana Mwanamke akiwa nje ukimwambia "KAA VIZURI" anabana miguu, Lakini wakati wa usiku akiwa kitandani ukimwambia "KAA VIZURI" anapanua miguu, Hebu nisaidie mtaalamu wa mambo haya? KAA VIZURI ni Kubana miguu au Kupanua miguu?..
  10. Bosco Robert

    Rais Magufuli yashamshinda?

    ndio maana anasisitiz kila akipata kipaza sauti kuwa mumuombee
  11. Bosco Robert

    Je, UKUTA wa Mbowe utahimili mikiki-mikiki ya JPM

    wap hapo tena mkuu walipo danja
  12. Bosco Robert

    Rais Magufuli kung'ang'aniwa na watu namna hii huko Gaita imekaaje?

    wanawake wenyewe ni kila mtu hukuona hata kwa JK alafu mbona wanaume hawamng'ang'anii au hawakumchagua
  13. Bosco Robert

    Demokrasia: Maana, misingi yake na faida kwa jamii

    Demokrasia Duni ni aina ya demokrasia inayotokana na makundi ya watu na kisha kupitia makundi hayo watu kuunda serikali mfano: chama - serikali Demokrasia Endelevu ni aina ya demokrasia inayotoa fursa ya usawa na kupinga ma tabaka katika jamii. Demokrasia Shirikishi katika aina hii ya...
  14. Bosco Robert

    Ushauri: Aliniambia ana msichana wake, nikaridhia, sasa kanipa ujauzito

    kwahiyo umeamua kumpindua mke mwenzio? wanawake nyie Mungu awasaidie na wew ndo uliingilia mapnz yao wew ni mchepuko waache watize ahad yao kama kuzaa we zaa kla mtu achukue 50 zake sas umeng'ang'ani mchumba wa mtu c utafute wako
  15. Bosco Robert

    Tumpe Rais Magufuli nafasi ya kutawala atimize ahadi zake

    Umesema vyema Tz tunachagua viongozi cyo watawala
  16. Bosco Robert

    Ushauri: Nimemkuta mpenzi wangu live ananisaliti

    hoja nzuri, kwanz nikupongeze licha na kuwa na hali mbaya kama ulivosema lkn umeandk vyema, sas tatz swala la mapnz huwa ctaki kushaur sana kwan moyo wa mtu ni kichaka. lakin sas nasem Fanya ambacho moyo wako unataka.
  17. Bosco Robert

    CHADEMA kanda ya Ziwa yatangaza maandamano hadi Nyumbani kwa Rais Magufuli (Chato)

    huwa nafurahishwa na mikakati mizur ya wapinzan ya kutaka usawa, lkn sas hawa wanaoandama huwa wahataki kupishana na gari la WASHA WASHA tabu iko hapo
Back
Top Bottom