Search results

  1. M

    SoC01 Ukatili na Unyanyasaji wa Kingono kwa watoto na vijana: Madhara na jinsi ya kukabiliana na vitendo

    Ahsante kwa and iko Zuri.. Lakini pia kuna haja ya kuangalia suala la usiri wa taarifa hasa uendeshaji wa mashitaka na kesi mahakamani ili kulinda utu wa mhanga wa vitendo vya ukatili. Ama sivyo kuwe na utaratibu wa kuwa na package ya Counseling kwa wahanga wote ili kuwaweka sawa kiakili.
  2. M

    Kwacha ya Zambia inaipiku shilingi ya Tanzania kwa mbali

    Ndugu yangu mtoa Post, Mpaka mwaka 2010 Wazambia walikuwa na sarafu ya 50kwacha ambayo ilikuwa sawa na Tsh. 15(kwacha ikiwa rate ya juu sokoni), 100kwacha ilikuwa Tsh.30, kwacha 1000 ilikuwa Tsh.300, kwacha Kwacha 10000 ilikuwa Tsh.3000 Alipoingia Michael Data Mwaka 2011 aliamua kuondoa sifuri...
  3. M

    Lini Lowassa atarudi Tunduma na Tanga?

    TUNDUMA anarudi leo tarehe 19/10/2015
  4. M

    Mkoa wa Mbeya umulikwe sana na vyombo vya ulinzi na usalama kuanzia wakati huu

    East African Eagle... Chunga mdomo wako, Magufuli alitaka kutuletea dhahama kwa kusema Sadam Hussein aliuliwa na Walibya, then na wewe unataka kutufarakanisha na majirani zetu kwamba wanaweza kutuvurugia Uchaguzi wetu. Hizo nchi jirani ulizozitaja raia wao baadhi wamo humu JF na wasingependa...
  5. M

    Vyama vyote vya upinzani katika nchi za kiafrika siyo vya kuaminika

    Kuna wakati mwingine inalazimu ku-log in ili kusahihisha uwongo na udhandiki. snn usemapo wazambia walifanya makosa kuchagua upinzani una uhakika na hilo? Nimeizunguka Zambia na niko kwao sasa, kasi yao ya maendeleo ni kubwa ukilinganisha na Tanzania. Kwa mfano, mshahara wa mwalimu wa shule ya...
  6. M

    Rushwa yatawala kura za maoni Jimbo la Bahi

    Omary Badwel ameendeleza tabia yake ya "Rushwa" wakati huu akiwa mtoaji wa rushwa kwa wanachama wa CCM ili wampigie kura katika mchakato wa kura za maoni ndani ya chama, usiku wa kuamkia jumamosi zaidi ya 40Mil. Ziligawiwa kwa wanachama ili wampigie kura. Tunaomba kamati ya maadili(CCM)...
  7. M

    Msaada: Quantam magnetic resonance analyizer

    Wana Jf. Naomba mwenye idea ya wapi hizi mashine zinapatikana kwa bei nzuri kwa hapa Tanzania, plz tuwasiliane haraka hapahapa au kwa PM au kwa +260973050218. Msaada wenu tafadhari.
  8. M

    CHADEMA/UKAWA inazindua leo kampeni uchaguzi Serikali za Mitaa hapa Tunduma.

    my hometown, kwa halihalisi ilivyo, CCM wanahitaji nguvu ya ziada kuwezapata hata mtaa mmoja. CDM na UKAWA kwa ujumla wamejizatiti na wananchi wanawaunga mkono.
  9. M

    Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    kama una utayari wa kuvuka mpaka, njoo kwa jirani zetu wazambiani, hiyo fedha zinafunguliwa ofisi mbili ambazo zinaweza kurejesha fedha yako ndani ya mwezi mmoja tu. Zaidi ya hapo ni kutengeneza faida. Ni PM kwa info zaidi
  10. M

    Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    kama uko serious, njoo tufanye partnership kwenye kijimradi. Mtaji wa 5M. Unatosha kutengeneza fedha ya kutosha. Unaweza kuni PM au nitafute kwenye +260973050218
  11. M

    Fursa kwa wanachuo na wenye stationary n.k

    nahitaji memory card 1gb na 2gb unaziuza kwa bei gani?
  12. M

    Julius Mruta amemshinda Dr. Bana kwa hoja makini

    Pole Tanzania kwa kuwa na wasomi aina ya Prof. Bana.
  13. M

    Msaada wa haraka: Vifaranga wangu wanapukutika kwa kifo

    Nimewachunguza kwa making, ni kwamba hawaharishi. ila kuna MTU kanishauri kuwapa Vitalyte kwamba inawezekana wakawa na upungufu wa vitamini, lakini pia nimeshauriwa kuwapatia OTC + na Esb3
  14. M

    Msaada wa haraka: Vifaranga wangu wanapukutika kwa kifo

    Mwana Jf. Nina vifaranga wa wiki tank sasa, wamepatiwa chanjo Tatu mpaka sasa, chakula na Maji wanapewa cha kutosha na joto lipo lauhakika. Kinachonishangaza ni vifaranga kuzubaa ghafura na kuishiwa nguvu kisha kudondoka navkinachofata ni kifo. msaada wa tiba plz, niokoe japo vichache
  15. M

    Dhamira yangu sasa ni kugombea nafasi ya urais mwaka 2015

    Naunga mkono hoja, nitakua mwanamtandao wako
  16. M

    Wanawake wengi wasomi au wenye kipato kizuri hawadumu kwenye mahusiano!

    Huyo sasa ulimbukeni wa kidiploma unamsumbua.
  17. M

    Wanawake wengi wasomi au wenye kipato kizuri hawadumu kwenye mahusiano!

    wana Jf nimeikuta hii toka FB kwa Dennis Mponji Jr. Anasema Wanaume wengi huogopa wanawake wasomi kwa kuamini kwamba wasomi wana dharau na majivuno. Inawezekana jambo hili likawa na ukweli kidogo, kikubwa hapa ni malezi aliyopata mwanamke husika maana wapo wanawake wasio na elimu...
  18. M

    Mayai ya kienyeji /vifaranga wa kienyeji

    .vipi endapo nikinunua vifaranga kuanzia 200, unaweza kunitumia Mkoani(Tunduma Mbeya) kwa njia ya Basi?
Back
Top Bottom