Search results

  1. McAnton

    Tunauza Viwanja sehemu mbalimbali Dar es Salaam na maeneo ya Jirani

    Viwanja vipo Mapinga Mjini -Kilometa 2 toka Bagamoyo Rd -Kilometa 6 toka Bunju -Vimepimwa na utapata hatimiliki -Eneo limeendelea sana -Kuna majumba ya kifahari -Kuna mahotel -Si mbali toka baharini -Mandhari nzuri sana BEI: TSH 22,000 KWA SQM Kuanzia sqm 717 hadi 1,541 BEI ZA MAPINGA Bei...
  2. McAnton

    Tunauza Viwanja sehemu mbalimbali Dar es Salaam na maeneo ya Jirani

    Kampuni ya Makazi Investment Ltd inauza; Viwanja Fukayosi mjini Viko Fukayosi Bagamoyo Kilometa 30 toka Bagamoyo mjini kuelekea Msata Mita 500 toka kwenye lami Jirani na mnada wa Fukayosi Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa namba: 0713565999 / 0767565999
  3. McAnton

    Natafuta kazi za ndani Dar es Salaam

    Umeshapata kazi?
  4. McAnton

    CHADEMA yaingiza magari mapya kwa ajili ya shughuli za uenezi wa chama

    Plate number DNB ilikuwepo 2014?
  5. McAnton

    CHADEMA yaingiza magari mapya kwa ajili ya shughuli za uenezi wa chama

    Kwani hayo mambo si yako kwenye bajeti?Sasa kwa nini wajenge wakati vilishatengewa fungu?
  6. McAnton

    Mahojiano ya Msigwa na Lema KTN: Serikali iongeze msisitizo kwenye somo la Kiingereza

    Nashangaa sana mnapomhukumu Lema mchaga wa Machame au Msigwa Mnyalu wa Iringa ambao wanaishi Tanzania ya waswahili ilhali mnashindwa kumshangaa Wenger,Mourinho na wengine wengi wanaoishi pale pale Uingereza tena kwa muda mrefu tu na bado kiingereza hawakiwezi...kwani kuzungumza kiingereza kwa...
  7. McAnton

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Na hiyo laki 2 ya mkeka wa pili yaani huo mpya unaitoa hapo hapo kwenye huo mkeka ambao bado unasubiriwa kuiva au unaitoa mfukoni?
  8. McAnton

    Tunauza Viwanja sehemu mbalimbali Dar es Salaam na maeneo ya Jirani

    Hivi neno bei nafuu ni la kukera?...Basi samahani labda kwa kutokujua kiswahili vizuri sikulitambua hilo...umenielimisha na nimekubali...kuanzia sasa nitalitumia kwa wale tu ambao haliwakeri...pole sana kiongozi
  9. McAnton

    Tunauza Viwanja sehemu mbalimbali Dar es Salaam na maeneo ya Jirani

    Ni sawa kwa kumaanisha kuwa urefu wa miguu ni makadirio hivyo miguu 20 kwa 20 ni makadirio but vipimo halisi ni mita 16 kwa 16,16 kwa 32,32 kwa 32,32 kwa 48,32 kwa 64 nk
  10. McAnton

    Tunauza Viwanja sehemu mbalimbali Dar es Salaam na maeneo ya Jirani

    Ni miguu 20 kwa 20...sawa na mita 16 kwa 16 ...hicho ndiyo cha chini kabisa na size zinakwenda hadi mita 16 kwa 32, 32 kwa 32,32 kwa 48 na 32 kwa 64
  11. McAnton

    Tunauza Viwanja sehemu mbalimbali Dar es Salaam na maeneo ya Jirani

    Mkuu unataka picha ya eneo au ramani?...pia ni rahisi zaidi kukutumia kwa whatsapp...naomba unitumie namba yako kwa pm
  12. McAnton

    Tunauza Viwanja sehemu mbalimbali Dar es Salaam na maeneo ya Jirani

    Mkuu nafikiri wewe una yako mengine...mimi nimeweka bango la biashara yangu sasa ni jukumu lako kuangalia umeguswa vipi...ukiona ni bei kubwa sawa ukiona ni affordable karibu...na hata mimi nikiona vile viwanja vya Mbweni vinavyouzwa milioni 300 huwa nakaa kimya tu kama vile havinihusu...sina...
  13. McAnton

    Tunauza Viwanja sehemu mbalimbali Dar es Salaam na maeneo ya Jirani

    Kutokana na eneo husika...na ndiyo maana hata sisi kwa eneo kama Mvuti tunauza sqm 1 kwa Tsh.4,000...kumbuka kuwa viwanja vyetu haviko maporini kama mlivyozoea kuuziwa...viko swhemu ambazo tayari zilishaendelea
  14. McAnton

    Tunauza Viwanja sehemu mbalimbali Dar es Salaam na maeneo ya Jirani

    Karibu sana...nitumie namba yako ili nikuweke kwenye list ya kwenda site ..0713565999
  15. McAnton

    Tunauza Viwanja sehemu mbalimbali Dar es Salaam na maeneo ya Jirani

    Ndiyo...0713565999 / 0767565999
  16. McAnton

    Tunauza Viwanja sehemu mbalimbali Dar es Salaam na maeneo ya Jirani

    Hesabu ya ukubwa gani Mkuu?
Back
Top Bottom