Acheni dharau kwa Lindi.
MRADI WA LNG unaotarajia kuanza muda si mrefu ndio unakwenda kubadilisha kila kitu.
Rais kaamrisha Airport iboreshwe
Chuo cha masuala ya Gas kitajengwa
UDSM nao washachukua eneo na soon wanajenga
Chuo cha Masuala ya Mahakama
Open University
Eneo la viwanda Kutokana na...
Kwenye hii kesi alichofanya Halima na wenzake ni "to buy time" wanajua kuwa watavuliwa ubunge but sio kwa kuondolewa bungeni kipindi cha budget, walisoma nyakati wakaona bunge la budget linakaribia kuisha hivyo wakate rufaa kimakosa, hukumu itolewe kisha wakate tena rufaa, na hapo muda utakuwa...
Muda mwingine hata kama unakuwa na chuki na mtu, fikiria kabla ya kuandika. January kateuliwa September 2021 na hadi sasa ni miezi 9 tu! Niambie sasa, nani amekaa muda mrefu kati ya January na Medadi?
Hii nchi ivumilie tu, ukweli ni kuwa Viongozi wa dini wamepandikiza chuki mbaya sana za udini...
Mleta hoja unachanganya mambo kidogo, kuna wanaooga na wale ambao wanajimwagia maji.
Mvuto wa bafu
Mazingira mazuri na safi bafuni ndio chanzo kikuu watu kuoga mara kwa mara.
Mfano: Kuna watu bafuni kuna miundombinu yote ya kisasa kama SAUNA, jacuz, mfumo wa maji ya vuguvugu, n.k why asioge na...
Hiyo kitu imenikuta aisee! Nilienda kununua bidhaa kwa duka ya mama fulani hapo kwao, ni mgeni mtaani but kwa kuwa alikuwa bize akaniambia subiri kidogo nihudumie hawa kwani wewe ni jirani nitakuhudumia. Nikasepa home, Muda naona bidhaa inaletwa na binti. Siku ya pili na kuendelea nikaona salamu...
Nikiwa kama father house, ndugu wafuatao ndio nitawavumilia kwani hao ni damu halisi kwangu na Mke wangu:
Mama na Baba Mzazi - Both wife and I
Kaka / Dada wa baba / mama Mmoja - Both
Hawa watu hata wakila chakula changu gunia Zima nafurahia maana ndio ndugu halisi ambao hata litokee watahusika...
Angalia usijekuta wewe ndio umetolewa bikra kwa kupatiwa HIV+ maana watoto wengi siku hizi wanazaliwa wakiwa HIV+. BAADA YA MUDA KAPIME NGOMA.
BIKRA NI KAMA KULA NDOGO TU! KONDOM HAIHUSIKI
Umesahau pia road ya Liwale to Mahenge kisha unatoboa hadi Njombe kama ulivyoandika. Watu wa nyanda za juu kusini hawakupaswa kuzunguka Songea wala Dar kwenda Lindi, Masasi, Liwale au Mtwara na ndio itakuwa the best road kwani itafungua sana eneo Zima la Malinyi, Ifakara, Mahenge, Liwale na...
Na siku utakapopatwa na majanga na huyo mwanamke utaenda kwao akakumalize kabisa. Mke hukuzaliwa nae na wala watoto wasiwe sababu ya kumdharau kaka au dada yako. Utanishukuru siku moja
Tatizo la Wanawake wanapoolewa wanahisi kuwa wao ndio wamemzaa huyo mume na siku mume akifariki wanataka na hao ndugu wa mume kusaidiwa malezi ya watoto. Hakika watoto wa mitaani hawatoisha katika jamii kwani matendo ya Wanawake husababisha visasi baadae.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.