Search results

  1. M

    Maswali yangu kwa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) kuhusu Tamko la Mkataba wa Bandari

    Hii ni dharau kubwa sana kwa Waislam. Hivi kwa nini huwa mnawadharau sana Bakwata?!!! Hata kama mtu hukubaliana na bakwata ndo uwadharau kiasi hicho? Hivi kweli mnaiona bakwata haijielewi kiasi hicho eti ije itetee mikataba ya kuuza mali za wananchi (waamini) wake?!!!!! Ili iweje?
  2. M

    Lissu: Dola za Kimarekani Milioni 42 (takribani Tsh. Bilioni 100) zilikutwa nyumbani kwa Magufuli baada ya kufariki

    Hivi nyie wajinga kwa nini mnatujaz8a server kwa maswali ya kipuuzi? Aliyetamka hayo maneno ni lissu, cha ajabu mnakuja kutuuliza ushahidi sisi huku jf!!!! Kwa nini msimhoji huyo aliyesema awape ushahidi? Au mnaogopa kuanikwa zaidi na maufisadi yenyu?
  3. M

    Mpina: Nchi yetu imefilisika hadi inapangisha Bandari? Tusikubali hili

    Ndo mvumilie chuk kutoka kwa watanzania maana alitubague sisi wengine, akutuumiza alivopenda huku akiwapendelea na kusema nyie msiguswe. Hatutakaa tuzisahau chuki zake na manyanyaso dhidi yetu. Hata hii JF alitamani kuiua!!!
  4. M

    Mpina: Nchi yetu imefilisika hadi inapangisha Bandari? Tusikubali hili

    Wasukuma chuki mlijitafutia wenyewe kwa kumshangilia dikteta.
  5. M

    Kila nikiitazama barabara ya lami Kimara - Kibaha natamani kumchapa makofi Lissu

    Lisu lazima angejua, si na yeye alikuwa anamfuatilia mbaya wake?!! We ufukuliwe marisasi yote yale afu ukae kimya tu?!!! Mkuu ukijifanya unujua huu na wenzio wanaujua ule...heshimu watu.
  6. M

    Kila nikiitazama barabara ya lami Kimara - Kibaha natamani kumchapa makofi Lissu

    Wee mchunga ng'ombe huo ubongo wako ni wa matope au kinyesi cha ng'ombe?!!!! Wapinzani ni wachache bungeni ila pamoja na uchache wao wanautumia vizur kushauri bungeni kipi sahihi, na ndiyo kazi yao. Sasa wewe unasema wakatae Wakataa vip wakat mishahara hiyo inapitishwa na masukuma gang kwa...
  7. M

    Kila nikiitazama barabara ya lami Kimara - Kibaha natamani kumchapa makofi Lissu

    Hili ni swali la kijinga ambalo huulizwa na maccm hasa hasa masukuma gang kutaka kuhalalisha wizi na dhulma. Wabunge wa upinzani wakiuliza kwa nini bunge linajilipa mishahara mikubwa wakati waalimu na madaktari wanaugulia utapiamlo wa mishahara utaskia wabunge masukuma gang yanauliza eti kwa...
  8. M

    Kila nikiitazama barabara ya lami Kimara - Kibaha natamani kumchapa makofi Lissu

    Kama unatumia njia kharamu kupata jambo fulani, hata kama hilo jambo linapatikana, na ni nzuri kias gani, bado upatikanaji wa jambo hilo hautahalalisha njia khramu zilizotumika kulipata...the end does not justfy the means.
  9. M

    Kila nikiitazama barabara ya lami Kimara - Kibaha natamani kumchapa makofi Lissu

    Mbona za wasukuma gang wenzake mwanza hakuwabomolea?!!
  10. M

    Kila nikiitazama barabara ya lami Kimara - Kibaha natamani kumchapa makofi Lissu

    Na yeye akaingizwa 19 pambaffuuuu. Ukijifanya una huu wenzio wana ule. Ipo siku Utafiksiwa tu.
  11. M

    Kila nikiitazama barabara ya lami Kimara - Kibaha natamani kumchapa makofi Lissu

    Hata almasi ni nzuri sana, inang'aa sana, lakini hujawahi kusikia kuna almasi za damu?!!! Kumbuka hata pesa pamoja na utam wake lakin kuna pesa za damu pia ambazo kimsingi ukiwa nazo ni laana inayoua vizazi hadi vizazi, hadi kizazi cha nne. Bahati ya dikteta ni kuwa familia yake, akiwemo mama...
  12. M

    TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia

    Membe amepumzika kwa aman ila dikteta alikufa kwa aibu.
  13. M

    TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia

    Nimemjua siku nyingi ila sikumbuki lini aliteka watu, kuvunjavunja watu kwa marisasi, kukatakata watu mapanga, kuchukua hela za watu benki, kutukana watu wakalale na mavi yao nk nk
  14. M

    TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia

    Wazuri wanakufa na uzuri wao na makatili yanakufa na ukatili wao.
  15. M

    Tetesi: Membe awakatalia Kardinali Pengo na Askofu Malasusa kumsamehe Musiba

    Haihusu, hakumdai ili asife na akifa deni halifi. Aliyekuwa anatumwa na katili atalipa tu. Tunashekherekea maisha ya Mzee Membe, moja ya viongoz wema, hakumkatili mtu, katimiza wajibu wake muda umefika kasepa..hiyo kawaida na fresh sana tu.
  16. M

    TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia

    Sisi tulifurahia katili kuondoka, membe fresh tu hiyo, kawaida.
  17. M

    TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia

    Mzee kaondoka fresh, hajakatili maisha ya mtu
  18. M

    TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia

    Hilo haliondoi zambi za muuaji yule, muuaji ni muuaji tu
  19. M

    TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia

    Kwa hiyo kwa sababu ulimboka naye aliteswa ndo maana na yeye alitesa watu?!!! Acha tufurahie bana. Mzee Membe ameishi maisha yake, amefanya yake, muda umefika ameondoka..tatizo lipo kwa katili yule.
Back
Top Bottom