Search results

  1. S

    Mifumo ya matokeo ya wanafunzi n.k

    Kama kuna shule au taasisi au mtu binafsi anahitaji mfumo wa kwa ajili ya ofisi tuwasiliane kupitia contact zilizopo kenye website http://www.mjimpya.epizy.com Kwa demo jinsi mfumo huo unavyo fanya kazi ingia, username= visitor password=visitor Baadhi ya masomo page zake nimezificha na kuna...
  2. S

    Naomba ushauri wa dhati.

    Wanajamii, mimi nimesoma degree ya kwanza bsc education (math).nimepata nafasi ya kusoma masters ya computer science. Napenda sana maswala ya computer sasa naomba mnishauri thamani ya coz hii katika maisha yangu ya baadaye.nashukuru
  3. S

    wewe ni msichana miaka 24-27? UNAHITAJI KUOLEWA MWAKA HUU?ELIMU F4 NAKUENDELEA

    hallow kwa umri huo utakuwa umeshaanza kugeuka jinsia im afraid.
  4. S

    wewe ni msichana miaka 24-27? UNAHITAJI KUOLEWA MWAKA HUU?ELIMU F4 NAKUENDELEA

    Kama wewe ni msichana wa umri tajwa hapo juu tuwasiliane kama unataka kuolewa mwaka huu lakini uwe mwenyeji wasingida au tabora kabisa,uwe tayari kupima,uwe tayari kutumia muda wako kujua ukweli wa mahusiano yetu na mambo mengine kama haya.uwe mrembo ili watoto wetu wasije wakachelewa...
  5. S

    Engineers tuchakachue key VODA MODEM IMEI 356517032175203 ,model k3565-z, voda phone

    Engineers tuchakachue key VODA MODEM IMEI 356517032175203 ,model k3565-z, voda phone zte bado sijasaidiwa mpaka sasa
  6. S

    Urgent! jamani nahitaji msaada wa project proposal nitafweli chou mazee.

    muda umeniishia kabisa na ninatakiwa kupeleka proposal kwa wakuu sasa nisaidieni. mfano wa problem ni kama vile Student perception toward mathematics at university level.ikiwa ni msaada nitafurahi na kushukuru sana aatakaye saidia, akitaka chochote pia twaweza ongea lakini nimefulia mbaya mazee...
  7. S

    Engineers tuchakachue key VODA MODEM IMEI 356517032175203 ,model k3565-z, voda phone

    ndugu zangu nisaidieni key VODA MODEM IMEI 356517032175203 ,model k3565-z, voda phone mobile connect.ZTE corparation.(nawashukuru sana DANSEL,AMBILI,na Drphone kwa ushauri wenu)
  8. S

    ndugu zangu nisaidieni key VODA MODEM IMEI 356517032175203

    naomba mtaalamu anisaidie kunipa key itakayo saidia mimi kutumia modem yangu ya voda kwa laini zote ku access internet.IMEI 356517032175203
Back
Top Bottom