Search results

  1. Kichuguu

    Billionaire Trump Cannot Post a $454m Bond !

    NEW YORK (AP) — Donald Trump’s lawyers told a New York appellate court Monday that it’s impossible for him to post a bond covering the full amount of a $454 million civil fraud judgment while he appeals, suggesting the former president’s legal losses have put him in a serious cash crunch...
  2. Kichuguu

    Hajawahi kutokea kama Jay Jay Okocha hapa Afrika

    Hata mimi nilikuwa napenda sana jinsi alivyokuwa analisakata pira.
  3. Kichuguu

    Hatimaye nimepata gono, kumbe ndo inauma namna hii?

    Nilidhani kuwa Gon yalikuwa magonjwa ya vijana wa zamani kabla ya Ukimwi na nilitegemea yalifutika kuanzia mwishoni mwa miaka ya 80. Enzi hizo vijana wanakuwa wanabeba akiba ya tetracycline (red+yellow) capsules kabla ya condom. Kumbe bado ipo>
  4. Kichuguu

    Hizi fedha za kuendesha makongamano, warsha na matukio mbalimbali ya kuadhimisha miaka mitatu ya Rais Samia zinatoka wapi? Au sekta binafsi?

    Halafu tija ya makongamano, warsha na matukio hayo mbalimbali ni ipi ilihali nchi imechoka hivi.
  5. Kichuguu

    Kuijumuisha Al Hilal ya Sudan kwenye ratiba ya ligi ya NBC ni jambo la kupongeza

    Hivi wale madaktri wa kike walioletwa kumalizia masomo yao hapo Muhimbili bado wapo?
  6. Kichuguu

    Nimekaa Dsm Miaka Mingi Dafu tamu uuziwa kwenye TENGA wewe ulie uzia kwenye Creti Mungu anakuona

    Nadhani Nyerere alikuwa mnunuzi wa madafu sana mpaka akafikia kuamini kuwa pesa yoyote aliyokuwa nayo ilikuwa ya madafu tu.
  7. Kichuguu

    Orodha ya magonjwa ambayo ukiyapata hayatibiki kwa hapa Tanzania

    Umesoma vizuri post hiyo uliyokwoti na ukaamini kuwa kweli umeijibu au umekurupukia tu?
  8. Kichuguu

    Suala la mchele imeonesha wazi kuwa nchi yetu ina hazina kubwa ya watu wenye akili ndogo

    duniani kote idadi ya watu wasiokuwa na akili ni kubwa mara nne zaidi ya watu wenye akili.
  9. Kichuguu

    Rais Samia, tusifukie Mahindi na Maharage ya Marekani, naomba tuyapeleke Haiti

    Aliyeshiba hajui mwenye njaa.
  10. Kichuguu

    Kati ya Nyerere aliyetulisha unga wa njano, mahindi ya mifugo Marekani na Michele wa virutubisho yupi bora?

    Ulisema tuliletewa chakula cha mifugo - yaani uliunderate sana chakula kilicholetwa mwaka ule bila hata kuweka relative scale kuwa food technology ya wakati huo ilikuwa katika kiwango gani. Unasema tulikuwa treated kama wanyama wasiokuwa na thamani ya utu. Hilo ndilo tamko kubwa lililoko kwenye...
  11. Kichuguu

    Pesa mtaani zimepotelea wapi? Je, biashara yako inaendaje?

    Ukitaka kunyoosha chuma kilichopinda lazima ukipashe joto. Magufuli alikuwa anayoosha kwa kupasha joto.
  12. Kichuguu

    Pesa mtaani zimepotelea wapi? Je, biashara yako inaendaje?

    Mkapa alijenga nchi vizuri ikawa kwenye direction sahihi, akaja Kikwete na kuivuruga vuruga, kiasi kuwa Magufuli alipojaribu kuinyoosha tena ikawa tatizo kubwa, na mama huyu ndiye imekuwa taabu kabisa. Uongozi wa nchi huhitaji uthabiti na maono imara, siyo blah blah za kujaza pesa kwenye...
  13. Kichuguu

    Dhiki waliyonayo Watanzania inatisha, Waacheni wapewe msaada wa Chakula kuondoa Utapiamlo

    Huenda thamani ya shilingi imetelemka sana kwa hiyo purchasing power ya watu imepungua.
  14. Kichuguu

    Nimempiga mfanyakazi mwenzangu baada ya kula mbele yangu na akijua mie nimefunga

    Kwa hiyo ni kweli kuwa dini yako inafundisha fujo na ughaidi dhidi ya watu wasiokuwa dini yako?
  15. Kichuguu

    Kati ya Nyerere aliyetulisha unga wa njano, mahindi ya mifugo Marekani na Michele wa virutubisho yupi bora?

    1. Inawezekana nimekopi picha tofauti ila njaa ywa mwaka 1974/75 ilkuwa imeikumba Afrika yote. Ni wakati ambapo elimu ya el-nino ilikuwa haijafahamika sawasawa, na ikajirudia tena mwaka 1984/85 bya ya cycle ya miaka kumi. Picj zilzooonyesha watu na mifugo ikifa njaa ilisambaa sana na kuelekea...
  16. Kichuguu

    Nimempiga mfanyakazi mwenzangu baada ya kula mbele yangu na akijua mie nimefunga

    Kwa kumpiga, umefanya dhambi na kupoteza thawabu yoyote itokanayo na mfungo wako.
  17. Kichuguu

    Orodha ya magonjwa ambayo ukiyapata hayatibiki kwa hapa Tanzania

    Saratani inatibiwa; inategemea imeshambulia sehemu gani ya mwili na imegnduliwa ikiwa katika ngazi gani. Nadhani saratani ngumu kutibiwa ni ile ya Ubongo, Mapafu na ya kongosho (pancreatic -kama sikukosea). Nyingine zote zinatibika zikingundulika mapema katika stage 1 au stage 2. Halafu pia...
  18. Kichuguu

    Orodha ya magonjwa ambayo ukiyapata hayatibiki kwa hapa Tanzania

    Tatizo kubwa kwetu ni kwamba tiba huanza baada ya ugonjwa kuwa umeshakomaa sana. Bado uwezo wetu wa kutambua magonjwa na kuyatibu yangali hayajakomaa hauridhishi. Halafu tatizo jingine nadhani vipimo vyetu vingi havijitoshelezi. Yaani dakatari anaweza kukupa dawa ya ugonjwa fulani kutokana na...
  19. Kichuguu

    Kati ya Nyerere aliyetulisha unga wa njano, mahindi ya mifugo Marekani na Michele wa virutubisho yupi bora?

    Njaa ya mwaka 1973/74 ilikuwa kali sana Afrika yote, siyo Tanzania tu; kwa hiyo Nyerere kufanya jitihada za kuwapatia raia wake chakula ulikuwa umauzi mzuri. Halafu mahindi (ya aina yote) ni sehemu ya chakuka cha mifugo wakati wa Masika kwa wafugaji wa Marekani. Kwa hiyo siyo kuwa Ungawa wa...
Back
Top Bottom