Search results

  1. yello masai

    Msaada, nimefungiwa kutumia WhatsApp

    Wakuu nilikuwa natumia yo whatsapp, nimepigwa ban kama inavyoonekana hapa chini. Namba hii ni muhimu sana kuwa whatsapp. Nitumie ujanja gani kuifungua?
  2. yello masai

    Mwalimu wa Biology and Agricultural Science

    Mimi ni mwalimu wa masomo ya Biology na Agricultural Science. Jinsia yangu ni F. Nina Bachelor of Science with Education in Agricultural Science and Biology kutoa Sokoine University of Agriculture (SUA). Nina uzoefu wa kufundisha masomo tajwa hapo juu japokuwa nina uwezo wa kufundisha...
  3. yello masai

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kibamba shule

    Wakuu Kiwanja kinauzwa. Kipo Kibamba Shule kituo kinaitwa Bwawani kama unaelekea Kibwegele. Ukitembea kwa mguu ni mwendo wa dakika 3 hadi 4 kutoka barabara kubwa. Ukubwa ni 20 × 20. Bei ni 5.5M. Haipungui hata mia. Kiwanja ni cha kwangu mwenyewe, mi sio dalal. Kama unahitaji, comment hapa...
  4. yello masai

    Clinical Medicine / Clinical Officer.

    Habari wakuu! Naomba kufahamu kama hizi kozi mbili zina tofauti au ni sawa ( Clinical medicine na Clinical Officer). Je ni nzuri kusomea kwa level ya Diploma?
  5. yello masai

    Shule zipi nzuri kwa PCB?

    Salaam wakuu! Naomba kujua ni shule zipi bora kwa masomo ya Physics, Chemistry na Biology (PCB) kwa A-level. Mwanafunzi ni wa kike, kwahiyo shule inaweza kuwa mchanganyiko au girls tu. NB: Nahitaji shule za binafsi (private).
  6. yello masai

    Kikuu App ni ya kweli?

    Salaam wakuu! Hii app ya kikuu ina ukweli au uaminifu kwa kiwango gani? Kwa sababu nimeona bei ya simu samsung S23 ultra plus nimeshindwa kuelewa. Hii ni bei halisi au namna gani hapa??
  7. yello masai

    Kioo cha Redmi 8.

    Wakuu ninahitaji kioo cha simu Redmi 8. Kama unacho tuwasiliane.
  8. yello masai

    Tangazo la kazi za MDAs & LGAs.

    Wakuu naomba mwenye tangazo la hizi kazi za MDAs & LGAs anisaidie. Hizi nafasi za kazi usaili wake wa written ulishafanyika na tangazo lake lilitoka mwaka jana. Naomba ambaye analo anipe wakuu. Natanguliza shukrani.
  9. yello masai

    Mtoto wa Kike kwa matokeo haya akasome nini?

    Salaam wakuu. Huyu ni mtoto wa kike, amehitimu kidato cha nne. Naomba ushauri asome course gani au fani gani inayoendana na ufaulu wake na ambayo hatokwama kupata kazi baada ya kuhitimu. Sitaki aende A- level ( form 5 & 6). CIV - C. HIS - C. GEO - C. KISW - C. ENGL - B. PHYS - D. CHEM...
  10. yello masai

    Charger Nzuri za Simu

    Habari wakuu! Ninafanya biashara za kuchaji simu, lakini bahati mbaya sijabahatika kupata charger nzuri zinazovumilia na kuchaji haraka (heavy duty). Naombeni ushauri ninunue charger brand ipi na nizipate sehemu gani hapa Dar? Shukrani.
  11. yello masai

    Ujenzi Chumba, Sebule na Dinning

    Salaam wakuu! Naomba kufahamishwa hii sehemu ya nyumba ambayo haijafutwa (chumba na choo chake, sebule na dinning) inaweza kuhitaji tofali ngapi kwa ajili ya msingi tu. Tuchukulie eneo la ujenzi ni flat. Natanguliza shukrani.
  12. yello masai

    INAUZWA Ninauza Freezer used nzuri sana

    Ni freezer aina ya Syinix. Lita 263 Ni used lakini kama mpya. Haijawahi kuwa na tatizo wala kutengenezwa. Inapatikana Dar es Salaam. Nauza tsh. 500,000 au kama una friji ya kioo (show case) exchange inakubalika.
  13. yello masai

    Nahitaji banda la chuma

    Wakuu nahitaji banda la chuma / bati. Kuanzia ukubwa wa ft 6. Kama unalo nicheck tuyajenge. Dar es Salaam tu.
  14. yello masai

    Child / Kids mode kwenye simu.

    Nawasalimu wanajukwaa. Simu aina ya Vivo imeingia kwenye Child Mode, nikijaribu kuitoa inataka niweke screen lock password wakati sijawahi kulock kwa password na wala sina hiyo password. Nikienda "Forgot Password" inaleta niweke nitoe jibu la security question wakati sijawahi kuset hiyo...
  15. yello masai

    Ninahitaji Kiti used, kama hiki

    Wakuu mwenye kiti cha kukunja cha dizaini kama hii, nakihitaji.
  16. yello masai

    Nahitaji waya wa fensi au Seng'enge Wire.

    Kama unao waya wa fensi au Seng'enge wire uliotumika (used) nicheck. Uwe na urefu mita 80 au 160. Location: Dar es Salaam. Karibu.
  17. yello masai

    TV4Sale Nauza TV, Leta Offer yako mwenyewe

    Ndugu zangu nauza TV mbili. 1. Boss 32". Hii imetumika kama miezi miwili. Iko vizuri kwa kila kitu lakini tatizo lake iliungua taa, mara ya kwanza nilitengeneza ikakaa sawa lakini ikaungua mara ya pili nikaachana nayo nikanunua nyingine. Kwahiyo tunaweza kusema inaongea ila haioneshi sabau taa...
  18. yello masai

    Unaitambuaje TV feki?

    Nawasalimu ndugu zangu. Nilinunua TV aina ya Boss lakini sasa imenichosha, kila siku inaungua taa. Nataka sasa kununua ya kampuni moja wapo kati ya Samsung, Sony au TCL. Sasa je kuna TV feki? Nitazitambuaje?
  19. yello masai

    Waungwana, ninatafuta ajira / kazi

    Mficha maradhi kifo humuumbua. Hivyo ndivyo navyoweza kusema kwa sasa. Mwenzenu ni mwaka wa pili sina ajira tangu mkataba ulipokoma kule kwenye kampuni niliyokuwa nafanyia kazi. Mimi ni mwanaume mwenye shahada ya kwanza (Degree). Nina uzoefu wa muda mrefu katika kufanya kazi mbali mbali...
  20. yello masai

    Naomba maoni yako kuhusu ramani hii

    Ndugu mwana Jukwaa hili, ninajaribu kujenga picha kichwani ya kamjengo hata nikikajenga miaka mitatu ijayo. Picha niliyonayo kichwani inaendana na ramani hii niliyojaribu kuchora hapa, japo roughly. Naomba maoni yako, wapi parekebishwe, kipi kikae vipi. Kutakuwa na choo cha nje pia. Pia...
Back
Top Bottom