Search results

  1. S

    Ushauri kwa CDM MPs Bungeni

    I like that. Wabunge wetu wa chadema kumbukeni kua taifa linawaangalia tena linategemea sana michango yenu ili kuweka taifa letu mahali tunapopataka. Japo mpo wachache ila watanzania tupo wengi muamin kua sauti zenu ndio sauti za watanzania.
  2. S

    Natafuta kadi ya CHADEMA

    Ina maana we hapo udom huonagi watu wanavaa magwanda ya chadema? Siamini km ni kweli unataka kadi au umeamua kutuchora sio! U better be.
  3. S

    Je, bado kuna umuhimu wa kuhamisha makao makuu ya nchi Dodoma?

    Kaka dodoma sio makao makuu ya nchi ila ni makao makuu ya CCM.
  4. S

    Lowassa: Wakimwaga mboga namwaga ugali

    Kiukweli... Nchi inahitaji kichwa cha Dr.slaa peke yake. Tusiendelee kuwapamba hawa wala nchi eti walifanya ya msingi, hebu jiulize kwanini walijilimbikizia mali za walipa kodi wenye kipato cha chini na kusahau maslahi ya taifa? Lowasa hatufai hata kwa chumvi,wala sukari... Na wanatakiwa...
  5. S

    Tupende, tusipende: Tanzania inanyemelewa na udini!

    Mataka kwanini usikilize kelele zinazoumiza kichwa. Mkiendelea kushabikia sana haya mambo mm ntawaita ndo waasisi. JK Aliropoka cc cha kufanya ilikua ni kupga kmya na kumuona mpuuzi tu. No need of dat debate tena. Let em go
  6. S

    CCM wamejivua Gamba: Je CCM siyo Nyoka tena bali sasa ni mjusi tu?

    kwa ufupi kabisa ccm hawakua na GAMBA bali ule ni UKURUTU ambao uliletwa na matendo yao machafu yalokua yakifugwa tangu ccm imechukua nchi. M nadhan kwa uchafu huo ulokithiri suluhu haikua kujivua gamba bali kunywa sumu wapotee kabisa kwny ramani then wasubiri kuzaliwa upya na jina jipya...
  7. S

    Uchaguzi wa Rais CBE Dodoma ni ccm na chadema

    Ni hali ambayo imemuacha kila mtu domo likiwa wazi baada ya kugundua kwamba CCM ilipandikiza wagombea wake 4 ambao katika hao wawili ndio wamefanikiwa kupitishwa na screening commette ambayo nayo haikua ikiaminiwa kbs na wanachuo kwani nayo iliaminika kuwekwa kwa makusudi ya kuhakiki CCM...
  8. S

    Kilichofanyika jana hapa dodoma ni uhuni mtupu.

    jana wananchi wengi wa dodoma tuliokusanyika nje ya ukumbi wa bunge tukisubiri kuingia ndani ya mjengo kutoa madukuduku yetu juu ya mswada wa kuunda katiba mpya ambao kimsingi unanuka madudu tupu. tuliambulia kupigwa mabomu ya machozi na kukimbizwa kana kwamba sisi ni wageni na sio...
  9. S

    Suala la kukata mishahara ya baadhi ya watumishi wa serikali linatoa maana gani?

    Nimesikitishwa sana,nimekerwa sana,nimeshangazwa sana na serikali kwa suala lake la kukata mishahara ya baadhi ya watumishi wa umma eti kisingizio ni kua walikosea ktk mahesabu yao ya house benefits.... Huo ni urongo tena urongo ulovunja ungo. Sidhan km kuna ukweli wowote hapo zaidi ya kufanya...
  10. S

    Why do you think it is easy to mobilize muslims for a rally than christians!!

    Gosbert ujue kinachofanyaga hadi mtu anaamua kuingia ktk hizi kitu ni uelewa wake na ni kiasi gani hayn mambo yanamgusa. Kwa muslim swala la kudhihaki uislam anahaki ya kukuua na ni thawabu kwa mumgu wake ila kwa christian hata uki2kana dini yake hawezi kuua coz biblia imesema usiue. Hvo to...
  11. S

    Police arusha wajipongeza kwa mauaji

    Yani hata mimi nilijua kabisa lazima hao wendawazimu watajipongeeza kwa upuuzi wao walioufanya ila kwa taarifa yao ni kua harakati ndo kwanza inaanza..... Shame on them.... m''''fck:disapointed:
Back
Top Bottom