Search results

  1. MR KUO

    Mwanamke ni sura nzuri, umbo zuri na haiba za kike tu basi

    Mambo ya tabia na mazoea mbofu mbofu utapigwa na mumeo mpaka ujirekebishe. Habari ndio hiyo.
  2. MR KUO

    Ukosefu wa hedhi tangu kipindi cha balehe

    Basi ndugu zangu nisiwachoshe na tusichoshane.iko hivi baada ya kataa ndoa kijipatia point tatu kwangu maana sijui nielezeje ila ndoa yangu ishajifia, nikafanya harakati za kutafuta mahusiano mapya yatakayokuwa rasim huko siku za mbele ila bila ndoa. Nikamtokea binti fulani baada ya mazungumzo...
  3. MR KUO

    Samahani Daktari, naomba muda wako wa dakika mbili tatu tu

    Mwezi mmoja nyuma nilipatwa na hali ya kuumwa kwa, kuchoka mwili na homa ile ya watu wazima mwili hauchemki ila kwa mbali unajisikia hovyo, nikaenda maabala, nikapima mkojo, tyiphoid na malaria mara nyingi ndo magonjwa yanayonisumbua sana haya nikakutwa na typhoid na mkojo mchafu malaria haipo...
  4. MR KUO

    Naweza kufanyaje hapa kurudisha namba yangu kwenye mfumo?

    Naweza kufanyaje hapa kurudisha namba yangu kwenye mfumo? Nimepoteza groups,na kumbukumbu nyingi tu, kubwa zaidi namba hiyo ndo namba yenye mambo mengi Sana ya muhimu.
  5. MR KUO

    Naombeni mbinu za kumkamata huyu mwanamke kwa furaha ya familia yangu

    Ndugu wadau, ndugu wana jf. Majuzi hapa kijana mwenzenu nilikuwa nimelala na familia yangu kwenye usiku wa saa saba hivi nikapigiwa simu na namba ngeni, kwa kuwa nilikuwa nimezidiwa na usingizi sikuweza kuisikia wala kuipokea ila shemeji yenu aliisikia ikaita, alichofanya kwa ujinga wake...
  6. MR KUO

    Maana halisi ya siri za nchi ni nini na ni zipi?

    Kwa kuwa sijui Kama nimeamka vibaya au vizuri naomba niende moja kwa moja kwenye kilichonituma niulize swali hapo juu. Kumekuwa utaratibu uliozoeleka hapa bongo unaoitwa Siri za nchi na kwanini kuwepo na usiri katika baadhi ya mambo yanayolihusu taifa? Sasa Leo naomba wajuzi mniambie hizi...
  7. MR KUO

    Mwenye uelewa kuhusu sheria za Vita vya Silaha za Moto

    Kama kawaida JF ndo kisima changu pekee cha kuchota maarifa elimu na Mambo mengine mengi mno ya msingi, hivyo mniwie radhi kwa swali langu lingine hili.leo nataka kujua sheria za Vita zikoje maana Kuna mahali nilisoma sikumbuki Ni wapi mdau alikuwa anasema kwamba Vita havipiganwi kiholela Kuna...
  8. MR KUO

    Watunzi na waandishi wa story/simulizi na riwaya wa hapa JF leo nina povu lenu

    Nahisi hata kupasuka kwa hasira hapa. najiona kabisa ile roho ya MAGUFULI. Ya kutotaka utani na sumbufu kaniridhisha Mimi. Yaani Niko disappointed na hii Tabia ya story, simulizi na riwaya za JF kujaa mizengwe na mazingaombwe. Kwanza huku mtaani maisha ni magumu balaa, mtu unashinda kutwa...
  9. MR KUO

    Wapi naweza kupata hotuba za Rais Magufuli kwa pamoja tangu anapishwa kuwa Rais hadi mauti yanamkuta

    Wakuu poleni Sana kwa msiba huu mkubwa. Kabla sijaenda mbali naomba nichukue wasaa mchache kumtakia Safari njema yenye kheri huko aendapo aliyekuwa rais wetu mpendwa JOHN POMBE MAGUFULI. Baada ya hapo naenda moja kwa moja kwenye ombi kwamba wapi naweza kupata mjumuisho wa hotuba zake tangu...
  10. MR KUO

    Nimelala usiku kitandani nikaota nafukuzwa na mtu kuja kustukia alfajiri najikuta kwenye kochi

    Wakuu.... Mwenzenu Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu nimejikuta naamka na maswali mengi kichwani yasiyo na majibu. Usiku wa kuamkia leo, kwenye saa nne hivi baada ya kupitia mitandao ya kijamii Kama kawaida yangu, usingizi ukawa umenizonga, nikaweka simu kwenye chaji na kuvuta shuka ili...
  11. MR KUO

    Naomba ushauri wa kisheria katika jambo hili

    Wakuu mniwie radhi kwa uandishi mbovu, Mwaka 2013 huko nilinunua viwanja vitatu, kimoja karibu na mji viwili nje kidogo ya mji,..kwenye hiki kiwanja Cha karibu nikajenga nyumba na ikafika wenye lenta nikashindwa kuimaliza kutokana na ghalama za uezekaji kuwa kubwa nikaiacha hivyo hivyo mpaka...
  12. MR KUO

    George Iron Mosenye katika ubora wake. Jamaa kwa ujumbe huu anafaa kuwa Katibu Mkuu wa mabaharia Tanzania

    HABARI za asubuhi marafiki! Ni siku ya jumanne ya tarehe nne…. Na hakuna kingine ukishaona maandishi haya asubuhi basi ni kipengele adhimu na bora kabisa cha YA-WALIMWENGU. Leo nina haraka sana, ngoja niwapeleke moja kwa moja katika chakula chetu cha leo. Na leo nipo kuwachambua wanaume...
  13. MR KUO

    Ndugu wanataka tuuze nyumba yenye Hati ya jina langu baada ya mzee kufariki

    Ndugu wadau Poleni na majukumu ya ujenzi wa Taifa. Naomba niende moja kwa moja kwenye shida yangu, tarehe 24/2/2020 Kama familia tulipata msiba wa kuondokewa na MZEE wetu aliyetangulia mbele za haki kwa kifo Cha ghalfa. Sasa kilichonifanya nije hapa mbele yenu kuomba msaada wa ushauri ni...
  14. MR KUO

    Changamoto za kunywea home

    Haya mambo ya kuwaambia watu wanywee nyumbani, ukilewa unaweza kumshika beki tatu tako mkeo akiuliza unafanya nini? Unajibu kwani we ndo meneja wa hii bar? tunaokunywa Kisha pombe zikakimbilia kichwa Cha chini safari hii tumepatikana nawaambia. [emoji855][emoji855] Sent using Jamii Forums...
  15. MR KUO

    Ogopa sana kufulia huku ukiwa na mwanamke mjamzito ndani kwako

    Kiburi, dharau, kauli chafu, ugomvi, ubishi na kero nyingine nyingi saaaaana vyote vya kwao. Nasubiri ajifungue huyu akirudia kufanya mawili au matatu kati ya hayo niliyotaja namrudisha nilipomtoa.
  16. MR KUO

    February hainaga mambo mengi imeanza tu weekend tayari

    Naiona February ya mwaka huu iliyosheheni neema kwa upande mmoja huku ikiwa imejaa sintofahamu kuuubwa kwa upande mwingine. Ok tuangalie upande wa mema na tumshukuru Mungu muumba wa vyote wakati huo huo tuangalie kwa tahadhari na upande mwingine uliojaa sintofahamu, mishangao, hamaki, na...
  17. MR KUO

    Huyu Kasimili Simba Kyule ni nani?

    Kwenye hotuba ya Prof. Kabudi ameelezea kuwa baada ya kutumwa kazi Canada na ikaonekana kumshinda aliandika barua ya kujiuzulu ila kabla haijafika sehemu husika akatokea huyu Kasimili Simba Kyule akamnyanganya na kuichana. Ukisoma body language ya Kabudi ni kama vile analalamika/hana ubavu wa...
  18. MR KUO

    Tukumbushane tabia ambazo hazifai kwenda nazo 2020

    Wakuu. Heri ya mwaka mpya 2020. Pamoja na kwamba bado dakika chache tuingie mwaka mpya 2020 nimeona sisi Kama binadamu wenye mapungufu tufahamishane/tukumbushane tabia ambazo mtu hutakiwi kuvuka nazo toka mwaka mmoja kwenda mwingine, kwa lugha nyepesi namaanisha tabia ambazo lazima zifanyiwe...
  19. MR KUO

    Naomba ushauri wa kisheria: anatumia jina na saini yangu kujipatia fedha

    Wadau naombeni ushauri nimchukulie hatua gani za kisheria mtu huyu anayetumia jina langu na sain kwenye nyaraka zake za kuombea pesa kwa wafadhili? Iko hivi mwaka 2016 nikiwa mwanachama hai wa ngo's fulani hapa mjini tulifukuzwa uanachama kutokana na kulalamikia makosa ya uongozi uliokuwepo...
  20. MR KUO

    Sauti kuzidi kufifia tatizo ni nini na tiba yake

    Ndugu wanajukwaa. Naomba niende moja kwa moja kwenye jambo husika lililonileta kwenu. Ni kwamba mwanzoni mwa mwaka Jana kuna ndugu yangu aliungua ugonjwa wa uti wa mgongo tukampeleka hosipitali akapona lakini akawa hasikii vizuri, tukapewa dawa za kutumia nyumbani, cha ajabu siku zinavyoenda...
Back
Top Bottom