Search results

  1. MR KUO

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Kuna mmoja kashindwa kuuelewa uzi kaishia kulalamika ni mrefu sana kumbe kazoea simulizi za kimalaya malaya. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
  2. MR KUO

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Mwandishi nakushukuru sana sina mengi ya kuongea kuonyesha namna niliyofurahia simulizi yako ila pokea hizo shukran. Naenda kwenye uzi wa shetani na mke wake sasa
  3. MR KUO

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Watu wamezoea simulizi za kimalaya malaya zisizo na faida yoyote. Hii simulizi ukiisoma vema utagundua mambo mengi sana yanayozunguka maisha ya binadamu katika picha isiyoonekana. Bahati mbaya kuna watu mnasoma kama burudani na kina mini tunasoma kama kuongeza maarifa ya mambo fulani fulani na...
  4. MR KUO

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Tunashukuru kwa matusi yako. Ubarikiwe.
  5. MR KUO

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Mkuu Hades wa visiwa vya jf, tunaomba ikikupendeza leo tupe kurasa kama tano za andiko la hii riwaya ili tupate kuvuna nishati ya kutosha ya mbingu na roho zetu. 🤲🙏
  6. MR KUO

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    SHUNIE ulizingua sana we mbinti.
  7. MR KUO

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    Tushakubari ndo maana unaona tumekuwa wapole
  8. MR KUO

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    Hii mechi tumeidharau mapema tunakamilisha ratiba tu mimi hata roho haiumi
  9. MR KUO

    Natafuta mwanamke wa kuoa

    UKo sahihi mia.
  10. MR KUO

    Orodha ya watu wanaojiona wameyapatia maisha

    Namba 15 nimeangua bonge la kicheko [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
  11. MR KUO

    Kumekuwepo na promotion inayoitwa UNICEF FOUNDATION hawa siyo wezi mtandao kweli?

    Wanachofanya ni kihodhi umiliki wa account husika kisha wanafanya yao, mhusika anakuwa hata hajui pia access ya kuingia kwenye account yake anakuwa hana mnamjulisha kwa sms za kawaida kuwa kuna picha za unyevu kapost viungo vimechomekeana
  12. MR KUO

    Wanaotoka kazini wanapitia Bar inawahusu

    Msamaha umepokelewa endelea kuutafuta ukweli na uzoefu huku ukijifunza. Kwenye maisha ya ndoa ni watu 2 tu kati ya 100 wanaoweza kukwambia wanaishi kwa amani Hata hawa kataa ndoa kama ushawakwaza kwa namna moja au nyingine watumie chochote kama ishara ya kuungama.
  13. MR KUO

    Natafuta mwanamke wa kuoa

    Kati ya jambo ambalo.mimi naona haliwezi kunishinda kiasi cha kutafuta mteremko ni kupata mwanamke wa kuoa au kubanjuana nae. Inashangaza sana kuona umekosa sasa unataka wajilete wenyewe
  14. MR KUO

    Si niliwaambia msioe? Hebu tujiulize haya juu ya DED Mafia na Mkewe

    Kwa ushahidi gani? kesi hii hata mimi nachomoa.
  15. MR KUO

    CAF kweli mmekosa siku Maalum ya Matches za CAF Champions League? Hadi Leo Matches zenu zinagongana na Moja ya Derby kubwa Afrika.

    Hatuna derby na nyie acheni kujikomba. 😁😁😁😁😁😁
  16. MR KUO

    Si niliwaambia msioe? Hebu tujiulize haya juu ya DED Mafia na Mkewe

    DED unaishi na binti wa miaka 16 kama mfanyakazi wako sio umri wa kuwa shule huu?? Swali langu la kwanza hili mimi kujiuliza. La pili wawe na mahusiano yaani hata miaka 18 bado binti awe na mahusiano na boss wake tena mteule wa rais. HAPANA KUNA SHETANI HAPA KATI.
  17. MR KUO

    CAF kweli mmekosa siku Maalum ya Matches za CAF Champions League? Hadi Leo Matches zenu zinagongana na Moja ya Derby kubwa Afrika.

    Utopolo qenye akili wawili tu chief.mtu anaandika maneno mengi kumbe hoja zenyewe hewa.sasa hivi mitaani uto wanajifanya eti wanaiheshimu simba kwa lipi hawa au bangi? 😁😁😁😁😁😁 HAKUNA DERBY YA SIMBA NA YANGA TENA. Ni mechi ya kawaida hii.
Back
Top Bottom