Search results

  1. Mother Confessor

    Maajabu ya Dunia

    Fanya urudi aisee, huwezi kutacha na majonzi hivi...
  2. Mother Confessor

    Kati mamba, simba na chatu yupi mrahisi kuokoka tukikutana naye?

    Hapo kwenye Simba, una maanisha Simba Simba au Simba huyu ninaemjua Mimi hapa msimbazi???! 🤔
  3. Mother Confessor

    Sitaki habari za simba na yanga: Jiheshimu uheshimiwe

    U-Tanzania mwingi unaharibia wengine mood zao,.
  4. Mother Confessor

    Mliyeoa/kuolewa utakuwa tayari kurudiana na baby wako

    Hata mbingu na dunia zikiumbwa tena, nitamchagua yeye tuu.. 😋😉
  5. Mother Confessor

    Yanga ataishangaza dunia

    Kutuonaje kwani bebii...!?
  6. Mother Confessor

    Ma-jobless thread

    Ila nyie jamani bora jobless mwanamke kuliko mwanaume, yaani wanatia huruma sana sanaaaa[emoji17]daah!!!
  7. Mother Confessor

    Ma-jobless thread

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]ndo life jombaaa
  8. Mother Confessor

    Ma-jobless thread

    "Una mia ya karibu hapo?"
  9. Mother Confessor

    Wake zetu kutunyima, hii ina maana gani?

    Ni kweli mwaya, ukiwa na uhakika wa mahitaji yako yote ya muhimu na ya ziada ile raha tuu hata bila ya dudu unakojoa...yaani anaweza kukushika nywele tuu ukafika peponi na kurudi, owwh!!
  10. Mother Confessor

    Hali ikoje huko uliko na mvua hii iliyonyesha siku nzima?

    Nimeishia kula kitimoto tuu na afiya nyeusi...
  11. Mother Confessor

    Naona vitisho vinazidi Kwa siye wadada na hiyo Midori(Robots)

    Hivi hilo robocop nalo lafika kileleni,yani lakojoa kabisaaa, au sio kazi yake..?
  12. Mother Confessor

    Tanesco, namba yenu ni kwa ajili ya matumizi gani?

    Hapana, nashindwa kuingiza token mita haiwaki
  13. Mother Confessor

    Tanesco, namba yenu ni kwa ajili ya matumizi gani?

    Tena kichefuchefu kile cha mimba changa,. Wana maudhi sana jamani yaani waziiiiitoo,. [emoji57]
  14. Mother Confessor

    Tanesco, namba yenu ni kwa ajili ya matumizi gani?

    Ntawasalimu baadae maana niko hoves,[emoji31] Tanesco hii namba yenu ni kwa ajili ya matumizi yapi, 0748550000? Mnakwaza uuwii, ngoja kwanza ninywe maji!!!
  15. Mother Confessor

    Maisha yamefanya Vijana wanaokaa vijiweni kupotea

    [emoji23][emoji23][emoji23]kama wa mtaani kwetu daah!!! Kiufupi huku kwetu wanaume ndio wambea kuliko wanawake, yaani ukitaka umbea we mguse tuu kijana wa kiume, utashangaa!!!
  16. Mother Confessor

    Maisha yamefanya Vijana wanaokaa vijiweni kupotea

    Inasikitisha aisee, maana ndio wanaume hao ambao ndio "kichwa" cha familia... Yaani nikiwaza hivyo nasema wanawake/wake kazi tunayo na watoto wetu[emoji56]
  17. Mother Confessor

    Maisha yamefanya Vijana wanaokaa vijiweni kupotea

    Labda mtaani kwenu mkuu, huku kwetu npaka tumeamua kukopa mageti ili tu kuepuka kero zao,. Yaani asubuhi ukiamka wao wapo mpaka unajiuliza hawa jamaa hawana makwao jamani hawalali?? Ni masaa 24 siku 7 za wiki mwaka mzima,uuwwii wanatia kinyaa aisee chaaa!!!!
Back
Top Bottom