Search results

  1. Mbugi

    Tuitazame demokrasia kwa macho yote mawili

    Wanasiasa hususani Tanzania tunaitazama demokrasia kwa jicho moja, mfano "unapotaka na ukabaniwa utasema hakuna demokrasia, lkn hatukumbuki upande wa pili kuwa unapotakwa na ukabana pia umenyima demokrasia" Demokrasia ni katika kuheshimu uhuru wa mtu mwingine kusema ama kutoa maoni yake bila...
  2. Mbugi

    HALMASHAURI KATIKA KUIMARISHA MAPATO YAKE

    Kwa ushauri wako unadhani halmashauri zetu zifanye nini ili ziweze kuimarisha mapato yake kupitia vyanzo vyake vilivyopo kisheria?
  3. Mbugi

    Mulugo akiongea ktk kumkaribisha Naibu Spika ktk hafla fupi Mbeya

    Katika hafla hiyo mh. Mulugo amewataka wanambeya kumpongeza na kumtumia kikamilifu kwa kumpatia ushirikiano wa kutosha.
  4. Mbugi

    Maamuzi na vigezo vilivyotumika kuwabadilisha/kuwafuta kazi trafiki si sahihi

    Hivi karibuni trafiki kadhaa wamebadilishiwa vitengo ama kufutwa kazi ya utrafiki kwa vigezo visivyo sahihi kwani vilizingatia zaidi kushuka kwa mapato yanayotokana na faini za barabarani. Ki msingi kigezo cha kushuka kwa mapato hayo ni matokeo mazuri ya juhudi iliyofanywa kwa makusudi na jeshi...
  5. Mbugi

    Mgogoro mkubwa baada ya uongozi wa wilaya (CHADEMA) kumteua uswege kata za Iganzo - Mbeya

    Maandamano makubwa yametokea jioni ya leo kata ya iganzo baada ya uongozi wa wilaya kurudisha jina la mgombea udiwani aliyekuwepo mh. Uswege, sintofahamu hiyo imepelekea wapenzi na washabiki wa CHADEMA kwenda office ya wilaya na kumuona mh. SUGU ili kuweka shinikizo la kutaka wilaya ibadili jina...
  6. Mbugi

    Madiwani cdm na ccm wazichapa kavukavu katika kikao cha full council jiji la mbeya 29/11/2013

    Katika sintofahamu inayopelekewa na siasa za kukosa uvumilivu ambayo ndiyo sifa pekee duniani kwa mwanasiasa kuvumiliana na kugombana kwa hoja iliingia doa na hatimae kikao kuvunjika baada ya madiwani wakiongozwa na wahemiwa kutoka mwakibete, ilemi, sinde, na nsalaga (danger coy cdm) na kwa...
  7. Mbugi

    Walinzi wawili wakatwa mapanga na mmoja kufungwa kamba kwa wiki 2 mfululizo - kata iganzo - mbeya

    Katika hali isiyoya kawaida ni mapanga , mapanga yakipita kwa walinzi na kikundi cha watu wasiopungua watatu na wanaokadiriwa kuwa na umri wa miaka 23-30. katika wiki mbili mlinzi akiwa ktk lindo lake alivamiwa na vijana hao na kumkata mapanga vibaya na mpaka leo hii yupo hosptal akiwa bado...
  8. Mbugi

    Vituko vya mabango ya Mei Mosi -Mbeya

    Mabango yaliyosisimua wasomaji katika maandamano ya wafanyakazi mbeya ni kama ifuatavyo; WALIMU WALIKUJKA NA MPYA KWA KUSEMA " FUKAMA KWA MAANA YA " FUNDISHA KADIRI YA MALIPO" PUNGUZA MISHAHARA ONGEZA KODI YA MAPATO MISHAHARA DUNI NI JANGA LA TAIFA
  9. Mbugi

    Mbeya na majanga ya kutengenezwa tumeizoea ila haivuliki!!!!!!!

    Kuna taarifa za kuuawa kwa mtu mmoja na wengine kutoroka kutoka kata ya itagano mbeya mjini kwa tuhuma za kukutwa katika harakati za kutaka kuiba watoto wadogo na gari yao kupata ajali mbaya wakiwa ktk harakati za kukimbia. wenye taarifa kamili tunaomba mtujuze
  10. Mbugi

    Prof. Chachage ukweli wa maneno yake umetimia

    "Ukiona mtu nyumbani kwake kajenga ukuta mrefu na mageti mazito UJUE ni mwizi na kimsingi anahofu ya kuvamiwa na aliowazulumu haki yao" nenda msasani kwa mwalimu hana ukuta huo wala geti na kimsingi hakuwa na hofu na wala hakuwahi kuwazulumu watu. - prof chachage Katika moja ya kile ambacho...
  11. Mbugi

    MBARALI HALMASHAURI KWA CHAFUKA NI KUFUATIA SAKATA LA UFISADI WA ZAIDI YA SHS 2b

    Kwa taarifa za hivi karibuni ni kwamba halmshauri ya wilaya mbalali mambo si mambo tena kwani lile diri la kutumia zaidi ya shs bilion mbili za miradi kwa kugharimia posho limegeuka kuwa dirisha, baada ya PCCB na POLISI kuvamia offisi za halmashauri leo mida ya saa tano hivi na kuwachukua...
  12. Mbugi

    Vituko vya wakinga ktk biashara

    Ilitokea siku moja mkinga mmoja mfanyabiashara alipigiwa simu na ndugu yake aliyekuwa amesafiri kwenda mnadani kumtaarifu kuwa amepata "breakdown" ndipo huyu mfanyabishara (mtaarifiwa) anamjibu mwenzake kuwa kama hiyo breakdown inalipa aibebe asiiache.
  13. Mbugi

    "kazi ni nzuri kuliko mshahara"

    Kuna rafiki yangu aliitwa kwenye usaili na mara alipomaliza offisi iliona anafaa na hivyo kumwajili, siku ya kwanza tu ya kuriport kazi alipaswa kusema angependa alipwe sh ngapi kama mshahara wake. aliishia kusema anachojua yeye kapata kazi na kuwa haoni kipi kinazidi kazi na kuwataka mgt waamue...
  14. Mbugi

    Sikuja nyumbani kupambana na maskini nimekuja kupambana na umaskini - Dr Tibaijuka

    Jioni hii live tbc waziri tibajuka anena kiprofesa. Maneno ya nguvu kuwa "hakuja nyumbani kutoka un ili aje kupambana na maskini bali kaja kupambana na umaskini"
  15. Mbugi

    Nini tatizo haswa kwa halmashauri zetu kiasi cha kufikia kila mahali kugeuka kuwa mzigo?

    kupitia J/F ninaomba wataalam mtusaidie nini haswa tatizo kwa halmashauri zetu? kuendelea kuwa tatizo na hata baada ya reform kubwa ya kuanzia mwaka 1999 kufuatia local gvt reform policy ya 1998. kinachonifanya niendelee kuwa na wasiwasi ni kufuatia kushindwa kutimiza wajibu wake, kama vile...
  16. Mbugi

    Ccm mbeya mahakamani kwa utapeli

    Chama cha mapinduzi mkoa wa mbeya kimejikuta matatani baada ya kutumia nguvu na katika madhingira ya kutatanisha katika hatua yake ya kutaka kuwaondoa wapangaji katika jengo lake la ilipokuwa sukita mkabala na office za TRA mbeya. habari za kuaminika ni kuwa aliyekuwa katibu msaidizi na mhasibu...
  17. Mbugi

    Ahadi za diwani na mbunge wangu vipi?

    Naomba kupitia jukwa (jf ) kumbusha mbunge na diwani wangu juu ya ahadi zao ukuachana na ahadi za mh Rais (jk) kwa kuzingatia kuwa zilikuwa za kitaifa zaidi na za jumla jumla. Mimi ni mkazi wa kata ya Iganzo, mtaa wa Iganzo, Jiji la Mbeya, Mh. diwani wangu anaitwa F. Uswege na mbunge wangu ni...
  18. Mbugi

    Watanzania wanungunikia mvua zinazoendelea kunyesha kwa hofu ya mafuriko/MAAFA makubwa

    Nungunikeni kwa misingi ya kujiuliza tunajipanga vipi kwa siku za baadaye na si kutafutana kwa misingi ya kumlaumu mtu.
  19. Mbugi

    Sherehe baada ya kuteuliwa ukuu wa mkoa inaelekeza nini kwa wananchi haswa maskini?

    Ndugu zangu naomba maoni yenu kwa hali hii iliyokithili kwa wateule wa rais baada ya kuteuliwa kufanya sherehe ya kujipongeza wangali wakijua majukumu waliyopewa ni mazito na hasa ukizingatia matatizo ya wananchi waliombele yao.
  20. Mbugi

    Ni kweli jeshi letu la polisi ni la kikoloni ndiyo maana wanavaa makombati kama ya ...... - sugu

    Hivi karibuni wa mheshimiwa mr ii amekaririwa akifananisha jeshi letu la polisi na lile la mkoloni hasa kwa makombati wanayovaa, na amesema walistahili kuvaa kwa mfano wa dactari, air hostess, nk;
Back
Top Bottom