Search results

  1. Mbugi

    Tamko la Serikali: Hakuna fedha tasilimu ya shilingi trilioni 1.51 iliyopotea, ni madai ya wasiolitakia mema taifa letu

    CAG alichoandika ni sahihi ila watafisiri wanatulidisha Kule kwenye cash based na kimsingi accrual accounting ni ngumu kuielewa kwa asiye mhasibu.
  2. Mbugi

    Waraka wa Maaskofu KKKT: Tunasikitishwa na matukio ya kupotezwa watu, kubanwa kwa Uhuru wa Mahakama, Bunge na Tume ya Uchaguzi...

    Ukisikia udicteta ndiyo huu watu 27 wamekaa na kuja na waraka unaopingana na matakwa ya wanyonge ambao wamekuwa wakinyonywa mda wa miaka nenda rudi. Watu hawa wamefanya haya kwa nafasi zao ili hali tunaona kanisa likikengeuka, Manisa limegeuka daraja LA kuvushia madawa na uasi was ikiwemo...
  3. Mbugi

    Mawakili wa Joseph Mbilinyi(Sugu) wajipanga kukata rufaa

    DUU!!! VIDUCHU NOMA
  4. Mbugi

    Mkuu wa Mkoa hana mamlaka ya kusimamisha shughuli za kimahakama (Mabaraza ya Kata)

    Yericko Nyerere Kaka Yeriko usitumie nguvu sana kimsingi Sheria no 7 hiyo uliyoitaja ni kwa halmashauri za Wilaya na imejikita zaidi kwa Ardhi ya Vijiji na ndiko mabaraza haya ya kata yanakopaswa kuwapo na suyo katika urban council kwa mama ya manispaa, miji na majiji. Kwa misingi hijo mh...
  5. Mbugi

    Nairobi, Kenya: Tundu Lissu aituhumu Serikali ya Tanzania kwa jaribio la kutaka kumuua na Bunge kutomhudumia Matibabu

    ukiwa rais lazima uwe na ngozi ngumu lawama zote ni zako ingawa roho ya manuguniko kwa wapinzani inayoendela inakera
  6. Mbugi

    Meneja wa TBA Kigoma atiwa mbaroni kwa kushindwa kukarabati shule,Tume yaundwa kumchunguza

    Possible hiyo fedha ililipwa makao makuu TBA Kwa uzoefu wangu
  7. Mbugi

    Dkt Mlundwa: Zitto atofautishe Uchumi na Uhasibu

    Kaka aliyeandika hapo juu ni CPA (T) Kwa maana ya kuwa ni authority
  8. Mbugi

    Hivi katika Jimbo lako Mbunge wako kasaidia nini kwa Umma?

    Kasaidia kulalamika na kunungunika
  9. Mbugi

    Mishahara ya wabunge itathminiwe upya

    Roho hií ya wabunge wetu ya kujilimbikizia na kujipangia maslahi makubwa ikiachwa iendelee hakika italiangamiza taifa
  10. Mbugi

    Yanayojiri nchini kwa sasa ni laana. Damu ya Lissu inaanza kuitia nuksi nchi

    Unamaanisha Damu ya Yesu au lisu? Kazi kweli kwani kila mtu ana akili zake
  11. Mbugi

    Marcus Cicero: Yeyote anayejaribu kuongoza nchi kwa kutumia hofu ni mwehu

    Na anayeongoza kwa mapepo kama wewe ni nani?
  12. Mbugi

    Enyi Watumishi wa Mungu Rais Magufuli hana dhambi yakutubu 1Samw8:4-22

    haya Mambo uliyoongea ni makubwa mno utwasikia wakina cha upepo muda si mrefu na mitusi yao maana hata Iweje husafiria akili za vyama na viongozi wao
  13. Mbugi

    Jinsi ya kuondoa mawazo ya kuachwa na mpenzi

    shukuru Kwa sasa kuachwa ni kudogo
  14. Mbugi

    Rais Magufuli asema ana taarifa kuna kiasi cha dola bilioni moja zimekamatwa uwanja wa ndege Dsm!

    si tatizo kuingiza au kutoa tatizo ni utaratibu na sababu
  15. Mbugi

    Dongo la Mbatia kwa Dr. Tulia!

    Hii mizengwe ya hawa wazee itaisha lini? "mpambanaji hajisifu kwani kujisifu ni jukumu la wasiojulikana"
  16. Mbugi

    Msigwa: Serikali inatuwinda kutuua akiwemo Lema, Mbowe & Mdee. Wote tunafuatiliwa na Serikali ya kidikteta

    Msigwa kwa uongo huu na mitusi hii ndiyo maombi??? Acha upuuzi mwenzako kaumia sana nilitaraji utakuwa mfariji ktk kipindi hiki kigumu lkn naona wewe umepata jukwaa LA kuongea siasa ulizozoea
Back
Top Bottom