Search results

  1. g vizy

    Special thread: Tushirikishane magonjwa mbalimbali ya watoto na tiba zake

    Wakuu ni siku nyingine tena Watoto wadogo hasa wa umri kuanzia miaka 0 mpaka 5 wanakua wanapitia changamoto ya kupata maradhi ya mara Kwa mara na Kwa kua ni wadogo hawawez kuzungumza basi wanakua na hali ya kunyong'onyea na Kulia wakati wote na pengine usijue tatizo hasa ni kitu Gani Wakati...
  2. g vizy

    Ushauri: Nisaidieni namna Bora ya kutibu tatizo linalomuandama mama yangu

    Habari wakuu poleni na majukumu mbalimbali ya Kila siku Mama yanguamekumbwa na tatizo ambalo hata sisi binafsi kama watoto wake tumeshindwa kumuelewa Labda nianze Kwa kusema mama ni mwathirika wa virusi vya ukimwi Kwa Muda mrefu na amekua akitumia vidonge vya ARVS Kwa Muda mrefu sana...
  3. g vizy

    Mpenzi mwenye tabia ya kupanic panic ovyo ovyo unamvumiliaje?

    Unapokuwa na mwenza mwenye tabia ya kuchukia chukia kila wakati yaani jambo dogo ameshakasirika wakati mwingine ni jambo la kawaida tu lakini yeye amechukia/amenuna hataki umsemeshe kuvimba yaani ni taflani. Na sio mara moja yaani mara kwa mara tabia hiyo amekua nayo mpaka kuna wakati ladha ya...
  4. g vizy

    Hivi mkeo huwa anachukulia vipi unapokuwa katika kipindi kigumu cha kukosa fedha?

    Habari wakuu. Unapokuwa katika kipindi kigumu cha kukosa pesa mkeo nyumbani uwa anakutazama vipi huwa anaikubali hiyo hali mnaishi nayo au ndo mtu wa kuzila na kukusanya vilago kama huyu wa kwangu make naona subira yake ipo kwenye vingine sio pesa. Hebu tupe mtazamo kwa huyo wa kwako.
  5. g vizy

    Nahitaji aina hizi za penseli kwa ajili ya kuchorea,

    hizi penseli zinaitwa perican coloured pensil ni nzuri kwenye kufanyia nakshi unapokua unachora picha zako kwa karikoo naweza zipata wapi
  6. g vizy

    Eneo la kujenga nidhamu ya fedha hasa kwenye utoaji. Hii kitu imekaaje kwenu?

    Ni eneo la muhimu sana la kudhibiti utumiaji kwenye utoaji wa pesa ambazo wakati mwingine unakuta hakuna ulazima wa wewe kufanya hivyo kwa sababu ya kukuza nidhamu yako ya uwekaji wa kipato chako kwa ajili ya kesho yako Swali ni je linapokuja swala la kutoa fedha kama mtu anakuomba na unafahamu...
  7. g vizy

    Msaada wa kuactivate window

    My PC inataka kuactivate window but nikitumia window loader kuactivate inazingua sana inaniletea Maelezo mengi kwenye ile notepad sasa nimeshindwa kuelewa nifanyeje msaada wakuu nafanyaje
  8. g vizy

    Nielekezeni namna ya kuongeza salio kwenye maxmalipo kwa line ya halotel

    Hellow mawakala wa maxcom Kama kichwa kinavyojieleza naomba namna ya kuongeza Salio kwa kutumia lain ya halotel Sent using Jamii Forums mobile app
  9. g vizy

    Nahitaji hii clip ya audio kama kuna mtu anayo anitumie

    Ni clip flan ambayo ina maneno flani ya kusisimua sana kuhusu mapenzi na imetamkwa kwa lugha ya kiingereza Huwa inaanza hivi:- Its hard to love someone and not to be loved and return but what more painful is to love someone and never find the courage to let that person know how you feel May...
  10. g vizy

    Share with us your cool wallpaper

    Kama una wallpaper nzuri na kali jaribu kushare nasi ili tupambie screen zetu Mimi ya kwangu hyo hapo
  11. g vizy

    Hizi ajira mpya za Ualimu zilizotoka hazikufuata haki na hata kama wataendelea kutoa watafata mtindo waliouanzisha

    Wakuu habari zenu Kusema ukweli mtindo walioutumia serikali kuajiri walimu wapya haukufuata haki kabisa hili lazima niliseme mchana kweupe kuna walimu wengi sana wamemaliza mwaka 2015 waliosomea ualimu wa primary na kuhitimu hao ni zaidi ya elfu 10 na kitu lakini pia kuna walimu wa sekondari...
  12. g vizy

    Naomba kujua utofauti uliopo kati ya mono na stereo

    Habari wakuu Naomba kujuzwa utofauti uliopo kati kati ya mono na stereo nimekuwa nikikutana nayo Ila nimeshindwa kuyaelewa Natanguliza shukrani
  13. g vizy

    Producers mnaofanya music production pitieni hapa mnipe ushauri kijana wenu

    Hellow habari zenu Nimeanza kujifunza kutengeneza beat miezi kama mitatu iliyopita nimetengeneza beat kadhaa zikiwemo hizi ebu nipeni ushauri wenu kitu gani kinamiss kufanya beat ikawa poa zaidi mana bado sijajua vitu vingi Mnakaribishwa kwa maoni mubashara
  14. g vizy

    Nimedownload kaspersky antivirus inahitaji .net framework 4.0 , nifanyeje kuipata?

    Wakuu habari Nimedownload kaspersky antivirus hivi punde sasa inaniambia niistall tena .net frame work 4.0 baada ya hapo ndo ipogress sasa nimeidownload imefika mahala imestack aiendelei tena nimesubiri na kusubiri naona iko pale pale Alafu hii so Mara ya kwanza kuna baadhi ya software...
  15. g vizy

    Baba mzuri ni Yule anatambua thamani kijana wake na kumsaidia kufanya maamuzi ya busara

    BAADA YA KUTOA USHAURI KWA BINTIE, BABA HAKUMUACHA NYUMA KIJANA WAKE WA KIUME ALIMPA BUSARA ZIFUATAZO KATIKA KUTAFUTA MKE. Mwanangu kwa unyenyekevu mkubwa napenda niwe mkweli kwako. Usiweke kipaumbele kuoa mwanamke kwa kuangalia size ya makalio yake au size ya maziwa yake ila jali sana size ya...
  16. g vizy

    msaada wa serial key za fl studio 12

    habari wakuu kama kuna yeyote atakayekuwa na serial key za fl studio 12 anisaidie nimeidownload jana imekuja kama demo version inahitaji key naipenda sana hii program coz napenda sana kujifunza utengenezaji wa beats natanguliza shukrani za dhati
  17. g vizy

    Tamthilia ya Beintehaaa

    Kwa wale wanaofatilia tamthilia hii kupitia azam too, binafsi nimetokea kuipenda sana tamthilia hii ya kiindi kwani ina mafunzo mengi juu ya maisha ya ndoa hasa mwanamke kuwa mvumilivu katika mahusiano aijalishi unapitiA changamoto gani Aaliya mwanamke jasiri, mvumilivu, mcha mungu na mwenye...
  18. g vizy

    Mchezo wa draft

    Habari zenu wana jf wote Hv unapokuwa unacheza mchezo wa draft inafaa kuzingatia vitu gani ili uweze kuziteka vizuri kete za mwenzako
  19. g vizy

    Nisaidien Namna ya kuinstall Bluetooth kwenye computer

    Natumia desktop Acer nahitaji kuinstall Bluetooth niwe naitumia kwenye kuplay nyimbo kwa kutumia sub woofer ambayo na yenyewe ina Bluetooth nimejaribu kudownload nimeistal nkaja kugundua ile ni ya laptop za lenovo ikashindwa kuonekana Nisaidieni namna ambavyo naweza kufanya ili kuinstal...
  20. g vizy

    Nawezaje kuzuia app ambazo zinazojidownload automatically bila kuziruhusu

    Habari zenu wakuu Simu yangu imekuwa na tatizo ya kudownload up automatically alafu zinahitaji Uzi install ukicancell zinarud tena nifanyaje kuzuia hili lisijitokeze manake zimekuwa zikinimalizia bando langu la mawazo natumia HTC M8 Kingine ni matangazo matangazo ya ajabu ajabu yan mpaka...
Back
Top Bottom