Search results

  1. g vizy

    Salamu za asubuhi

    Amen
  2. g vizy

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Daaah ngoma ya wiz inanifanya nijihisi kama namfaham Mzee rest in peace mzee
  3. g vizy

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Inawezekana pia isiwe kweli pengine anaongea kutengeneza attention yake Ili awe nae karibu
  4. g vizy

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Sasa SI ulimwambia muajemi aplay smart naona Yuko sawa anafata ulichomuagiza
  5. g vizy

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Unaona utaaaam mwenyewe siku jamaa akiingiza dushe Kwa Lyn furaha zake so za nchi hii mana unasubiri Kwa hamu, Wanawake nyie Bana
  6. g vizy

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Huwezi amin hichi kipande mafisi tumekielewa kinyama, ilibaki kudumbukiza mtwangio Kwa kinu alafu unasepa na 💯 dadeki Mafisi oyeeere!!
  7. g vizy

    Amkimbia mume wake kisa kachoka kumuuguza, amuachia mtoto 'alilazimisha talaka'

    Mkuu ujafa ujaumbika hatuongei kiushabiki Ila hata yeye pia lolote linaweza kumkuta akitelekezwa kama ambavyo amemfanyia huyo atajiskiaje Lolote unalomtendea mwingine iwe Kwa kukusudia hama kwa kutokukusudia LINA MALIPO YAKE
  8. g vizy

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Wanawake sijui wakoje daaah ety naterminate mkataba kisa kumjua mkewe alitaka umle Ili msumbuane
  9. g vizy

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Pita vile kama unaona unachokisoma ukielewi Mi nashangaa mnateseka Nini wakati story ni ya uongo SI ufanye yako ukuze kipato chako unateseka bure
  10. g vizy

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Daah story ni tamu sana kuna vitu vingi sana nimejifunza your the best bro sema umekata Tamaa haraka sana Uwezi AMINI watu wengi wanafatilia huu Uzi ujui ni wangapi wanajifunza kutokana na hicho ulichoandika Usisitishe kile ulichokianza kama Kuna kitu umekusudia watu wajifunze endelea Tu...
  11. g vizy

    Mwenye link ya WhatsApp Plus version mpya anisaidie jamani

    Tumia telegram link una update chap
  12. g vizy

    Uzi wa vyakula tu

    Hutoboi mzee nimekaa pale
  13. g vizy

    Walikubaliana kuaona wakiwa hawana watoto kumbe mwanaume alikuwa na mtoto bila kujua, ndoa ikavunjika!

    Anajutia Kwa kua Kila mtu aNamlaumu ila Yuko sawa kabisa na baadae atakuja amshukuru Sasa hivi huyo dogo lako anaakili za kupepesa
  14. g vizy

    Walikubaliana kuaona wakiwa hawana watoto kumbe mwanaume alikuwa na mtoto bila kujua, ndoa ikavunjika!

    Atamshuluru baadae saiv hawezi ona kama alifanya kitu Cha maana na hata SI yeye aliyebaini mtoto wake mwenyewe angemtafuta baba yake ukubwani na ingefahamika mana SI wanafanana
Back
Top Bottom