Search results

  1. D

    ni kweli wanaume wenye asili ya tanga wabahiliiiii? hawajui kutunza wapenzi wao,

    Mamushka umenichekesha...hawajui kutafuta ela kumbe.....sa wanategemea nn??
  2. D

    ni kweli wanaume wenye asili ya tanga wabahiliiiii? hawajui kutunza wapenzi wao,

    Aisee pole ndugu, hii mianaume ya pande hizo sijui why.....kweli BIG NO to them, inaboaa, hata ukiifundisha nasikia haibadiliki
  3. D

    ni kweli wanaume wenye asili ya tanga wabahiliiiii? hawajui kutunza wapenzi wao,

    GFM, hii topic haiishi mpaka na wewe useme ukweli, au we mtanga pia nn, hahaaa
  4. D

    ni kweli wanaume wenye asili ya tanga wabahiliiiii? hawajui kutunza wapenzi wao,

    Bajabiri, huyo swaiba wako mtanga lazima kamba avutie kwake....mie sio mchaga wala mtanga, so niko neutral na naongea kutokana na experience, mwanaume wa kichaga keshanidate lkn mtanga bado, I wish ninge experience na hilo ili nijue ukweli.....tehe
  5. D

    ni kweli wanaume wenye asili ya tanga wabahiliiiii? hawajui kutunza wapenzi wao,

    Hahaaa, @Tama, nimekusoma ila mi nakerwa na wanaume wote ambao wanapenda tu malavidavi na misosi wanasahau kama mwezeshaji wa hayo mambo anatakiwa kutunzwa na kuenziwa......hata wanawake wanapaswa kuwacare wanaume lkn mwanaume ana role ya kipekee zaidi
  6. D

    ni kweli wanaume wenye asili ya tanga wabahiliiiii? hawajui kutunza wapenzi wao,

    Shost, wala sio kupenda kuhongwa! Mwanaume hayuko responsible huyo, yani nina mfano alisia kabsaa, mwanaume wa kichaga hata kama demu wake ana kazi lkn ana act kama baba kiukweli, atafanya kila awezalo kutake care home stuffs....sio kama nawatetea sana hapana, mwenye mwanaume mchaga aongee hapa...
  7. D

    ni kweli wanaume wenye asili ya tanga wabahiliiiii? hawajui kutunza wapenzi wao,

    Hushangai ukimtuma mwanaume wa kitanga anunue mahitaji ya nyumbani anakuja na nyanya 2, vitunguu 2, tunda moja au mawili, mafuta ya chakula yakupima kama ya jero hivi , loh nisitaje sana, kitoweo ndo kabsaaaa, mwanaume kama huyo nitampeleka wapi mie, halafu anapenda kula vizuri na sana tu, hivi...
  8. D

    ni kweli wanaume wenye asili ya tanga wabahiliiiii? hawajui kutunza wapenzi wao,

    First lady , yeah tungoje, @UPOPO kama sio wote lkn ndo zao sio, unajua mwanaume ambae hayuko responsible kwa dem au mke wake inaboa sana, hata kama mwanamke ni bilionare lazima mwanaume ndio akesh counter baada ya kujichana, hata kama anatumia ela ya mwanamke wake, kama ni kweli wanaume wa...
  9. D

    Ati Wachagga hawajui mapenzi?

    Pamoja na hilo la kuzaliana, wachaga wako juu, wasomi, wasafi, heshima, mchaga asipokuwa na mkewe au mmewe home basi wako kwene makulaji, pombe na nyama, so lovely, kwanza wachaga waaminifu sana, ushawahi kuona maskendo ya ajabu ajabu kwa wachaga? Na uchagani kuna mababy face balaa, tuseme tu...
  10. D

    ni kweli wanaume wenye asili ya tanga wabahiliiiii? hawajui kutunza wapenzi wao,

    Eti wanaume wa tanga mradi wakishapata malavidavi na kula vizuri baaaas! Hawajui kingine, wabahili, wanapenda kutafuta wamama wenye ela zao ili. Kukwepa majukumu au wasichana wenye kazi ili wasicare , wanakera hao, waige mfano wa wanaume wa kichaga bwana, atabalance mambo yake ili apate...
  11. D

    Ati Wachagga hawajui mapenzi?

    Aisee nyie watu mnachekesha, mwanamke wa kichaga kwanza msafi, heshima iko juu, mapenzi yake yanathaminika bana, anakumbeleza mpaka unasema bas mama, na kama ww mwanaume wa kichaga pia unayejua kucare unamtunza mpaka bas, yaan wanawake wazuri wa kuoa ni wachaga ....
Back
Top Bottom