Search results

  1. G

    Iwapo CHADEMA haitawafukuza Wabunge Viti Maalum 19, nitajiondoa CHADEMA na kujiunga ACT Wazalendo

    Kuna dhana imejengeka kwa baadhi ya wana chama katika chama chetu cha chadema kuwa viongozi wamekijenga chama zaidi kuliko ya wanachama hii si kweli, chama chetu kimejengwa na kila mwanachama kwa kadili alivyojaliwa. Nikili kuwa Mimi ni mmoja ya watu walikijenga chama kwa nguvu zangu zote hadi...
  2. G

    USHAURI: Halima Mdee na wenzake wafukuzwe CHADEMA

    Nimeona Halima Mdee na kundi lake wakila kiapo kwa spika wa bunge kama wabunge wa viti maalumu CHADEMA, kama kweli wamerubuniwa na CCM na hatimaye kula kiapo bila kuwa na ridhaa ya chama wafukuzwe unachama Mara mmoja. Hii itasaidia kujenga nidhamu ndani ya chama. Ni bora kujenga chama upya...
  3. G

    Uchaguzi 2020 Niliyoyaona kwenye Uchaguzi huu yanatisha

    Nimekuwa msaidizi katika moja ya kituo cha kupigia kura katika moja ya wilaya mkoani Mara. Niliyoyaona ki ukweli yanatisha juu wizi wa kura. Kituo nilichosimamia kilikuwa mwambao wa ziwa Victoria, Tundu Antipas Lissu aliongoza kura katika kituo changu kwa kuapata kura 79 na Magufuli kura 31...
  4. G

    Nina zawadi maalum kwa wazazi wa Tundu Lissu

    Ki ukweli nimeandaa safari maalumu kutoka hapa misenyi kwenda kwao (nyumbani) kwa Tundu Lissu wilayani ikungi mkoani Singida ili tu nifike nijionee sehemu alipozaliwa huyu mwamba na vilevile niongee na wazazi, ndugu na majirani juu ya huyu mtu. Katika safari yangu hii nitabeba zawadi maalumu...
  5. G

    Uchaguzi 2020 Vijana wanaosadikiwa kuwa ni wa CCM kurusha mawe kwenye msafara wa Lissu ni njama ya kuwafanya CHADEMA wajibu mashambulizi ili waonekane wanavurugu?

    Ililipotiwa huko Kagera kuwa msafara wa mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Tundu Lissu kupigwa mawe pale alipokuwa akipita mbele ya Jengo la CCM akielekea uwanjani kwenye mkutano , mwanzo nilidhani ni propaganda tu za wana CHADEMA Jana akiwa Geita Mjini hali hiyo mbaya ya kutupa mawe...
  6. G

    Rais si vizuri kuwauliza maswali ya takwimu kwa kushitukiza wakurugezi n wakuu wa wilaya.

    Leo nimeshuhudia tukio la mh. Raisi kumuuliza mkurugezi wa wilaya ya sengerema swali ka takwimu tena kwa kushitukizwa bila kujiandaa, matokeo yake mkurugenzi ameshindwa kueleza kwa ufasaha, sababu za kushindwa kujibu ni 1. Maswali yote ya takwimu huwezi kukurupuka kuyajibu kwani huhitaji muda...
  7. G

    Hawa wanaojiita mula ni matapeli?

    Siku ya ijumaa nilinunua umeme kwa njia ya simu kwa kubonyeza *150*78# umeme ulikuwa wa shilingi laki moja, nilipata bahati ya kupata SMS kuwa kuna tatizo la mtandao hivyo nitatumiwa tokeni kwenye namba ya simu ya mkononi. Leo ni siku ya nne sijapata tokeni zangu nimejitahidi kuwapigia vodacom...
  8. G

    Nimeamini kweli wanaounga juhudi mkono wananunuliwa

    Awali sikuamini kuwa madiwani, wabunge na wenyeviti wa mitaa wanaotangaza kuunga juhudi za mh. Mkuu kuwa wananunuliwa lakini Leo ndipo nimeamini kuwa wananunuliwa. Diwani wa kata ya nyampulukano wilayani sengerema (CHADEMA) ndugu Mnwanis amejiuzulu nyazifa zake zote ndani ya chadema na...
  9. G

    Kumbe kweli wanasiasa wananunuliwa kwa Fedha ili kuunga jitihada za mh rais

    Jana niliitwa na mh. Vedastus KamanduCHADEMA) mwenyekiti wa mtaa wa kisima cha chumvi katika halmashauri ya Ssengerema. Lengo lilikuwa ni kunieleza jinsi alivyoitwa na mheshimiwa mkuu wa wilaya ya Sengerema Emmanuel Kipole ili ajiuzulu nafasi yake ya uenyekiti wa mtaa na ajiunge na chama...
  10. G

    Watumshi wenye elimu ya darasa la saba waondolewa rasmi katika utumishi wa umma

    Watumishi wenye elimu ya darasa la saba walio ajiliwa kabla ya mwaka 2004 nao wameondolewa rasmi katika mtumishi wa uma, awali katibu mkuu mtumishi alisema kuwa hawataondoa watumishi walioajiliwa kabla ya mwaka 2004 wenye elimu hiyo lakini sasa wameondolewa rasmi. Nimebahatika kuona barua...
  11. G

    Mheshimiwa Muhongo unalijua hili?

    Nimelipia fedha TANESCO ili niunganishiwe Umeme tangu tarehe 5.6.2016 na nilihahidiwa kuunganishiwa Umeme ndani ya siku kwa kuwa nguzo ipo karibu na Nyumba yangu. Leo ni Siku 78 bado sijapata Huduma hiyo, nimefanya jitihada za kufuatilia ninaambiwa hakuna vifaa stoo na hakuna maelezo ya ziada...
Back
Top Bottom