Search results

  1. U

    UTEUZI: Rais Magufuli amemteua Jaji Wambali kuwa Jaji Kiongozi

    Now we are talking. Hongera sana.
  2. U

    Rais Magufuli kafanya uamuzi sahihi. Haikuwa sawa Kairuki kujilipa posho ya TSH 25M kwa mwezi

    Hahaha uzalendo my foot. Yaani wewe unaambiwa hatuna scale za namna hiyo unaendelea kusubiri raisi akupe ruhusa urudi??? Kama ni uzalendo ungekubali hicho kidogo kuisaidia nchi yako badala yakutaka more. Kwanza the most angemvumilia mzee wa Msoga for 2 months then quit. Eti ndio mtu yuko...
  3. U

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji (TIC), Bi. Juliet Kairuki atenguliwa

    Huwezi kutoa ufafanuzi wa kisheria kama huna all the facts. Naona anayeweza kufanya hivyo kwasasa ni mwanasheria wa serikali na huyo dada. Kuna vitu vimeachwa kwenye taarifa hiyo kwa sababu maalumu.
  4. U

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji (TIC), Bi. Juliet Kairuki atenguliwa

    Mshahara upi Sasa na yeye aliukataa ule wa mwanzo akabaki kwenye negotiations for 3yrs. Kama hakusaini pesa zozote je mshahara wake ni upi hasa? Na kama alikuwa anasafiri, anahudhuria vikao, etc alikuwa anachukua hiyo posho?
  5. U

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji (TIC), Bi. Juliet Kairuki atenguliwa

    Nafikiri limeandikwa hivyo kwa makusudi fulani ( wanayoyajua wao).
  6. U

    Hakuna ufisadi wowote katika Mkataba kati ya LUGUMI na Jeshi la Polisi

    Toka issue ya muitaliano amekuwa kimya. Naona amegundua asirushe mawe Kwanza Kwani nyumba yake ni vioo tupu.
  7. U

    Harry Kitilya, Sioi Sumari na Shose Sinare wafikishwa mahakamani

    Exactly na Mgimwa Junior alivyoulizwa kuhusu Ile rripoti ya Waingereza akasema yeye hajui "baba"ndio aliyekuwa anajua. Sasa sijui alishinikizaje papers ziwe signed Bila kujua details.
  8. U

    Harry Kitilya, Sioi Sumari na Shose Sinare wafikishwa mahakamani

    Hapana mtoto wa Mgimwa ametajwa kwenye taarifa Ile ya Waingereza pamoja na Shose. Sio sikuona Jina lake Lakini anaweza kuwa amehusishwa kwenye uchunguzi zaidi. Ila mtoto wa marehemu waziri wa fedha ni Mgimwa na Sio Sioi.
  9. U

    Dr. Ramadhan Dau, Asharose Migiro na Mathias Chikawe wateuliwa kuwa Mabalozi

    Sidhani kama hilo Lita kaa litokee. Kwakipindi kirefu sana Mama Asha ameonekana kama ngazi zote alizopita alibebwa "viatu v ilikuwa vi kubwa mno kwake". Je uteuzi huu ndio umetili seal ya lile lililokuwa mioyoyoni kwa watu au ni uchaguzi wake mwenyewe. So far namuona Migiro kama Mwalimu mzuri...
  10. U

    Dr. Ramadhan Dau, Asharose Migiro na Mathias Chikawe wateuliwa kuwa Mabalozi

    Sidhani kama watu hawajui hilo; nafikiri most comment zina-reflect what you said indirectly. Ni uwakilishaji tu wa ujumbe unatofautiana na sio kushindwa kufikiri. Wengi wamejiuliza; kama ni swala la utumishi basi angerudi kufundisha. At the end of the day, yeye ndio anajibu la uhakika kwanini...
  11. U

    Dr. Ramadhan Dau, Asharose Migiro na Mathias Chikawe wateuliwa kuwa Mabalozi

    Mkuu wakujilaumu ni yeye mwenyewe. Si aliweza kuikataa hiyo post? Kwanini amekubali sijaelewa kabisaa.
  12. U

    Dr. Ramadhan Dau, Asharose Migiro na Mathias Chikawe wateuliwa kuwa Mabalozi

    Kwa mtizamo wangu vijana wanaupungufu sana kwenye "people skills" ingawaje ni wazuri kwenye :working skills" . Mfano Makonda ni mchapa kazi (hard worker) lakini hana (people skills) ndio maana anakwaruzana na watu often. Sidhani kama anafanya makusudi. I think yeye na vijana wengi tu wanaitaji...
  13. U

    Dr. Ramadhan Dau, Asharose Migiro na Mathias Chikawe wateuliwa kuwa Mabalozi

    Exactly! Kwa namna nyingine tutasema mtu anakuambia "You are not good enough this is what you deserve " na wewe unakubali. Simlaumu Magufuli; labda kweli anaona Asha Rose uwezo wake ni wa kuwa balozi. But Asha Rose Kwakweli kukubali hiyo post kunazua maswali sana. Sijajua ni legacy gani hasa...
  14. U

    Dr. Ramadhan Dau, Asharose Migiro na Mathias Chikawe wateuliwa kuwa Mabalozi

    Hii ya Asha Migiro naona bado anazidi kuwa demoted kutoka post aliokuwapo mpaka ubalozi? Kwakweli naona kama angeweza ku-apply kazi at international level akapata. Sijajua shida ni kutojiamini au ni nini hasa? Bado hana umri wa kustaafu. Mama Migiro you can do better, usisubiri kuteuliwa...
  15. U

    USHUHUDA: Hivi ndivyo mafuta yanavyoibiwa Bandarini Dar...

    Inawezekana mkuu, lakini kila tip ni muhimu kuifuatilia, ufanyike uchunguzi wa kina then kama niuzushi we loose nothing. Better to be safe than sorry. Kila tip ni muhimu ikafanyiwa kazi.
  16. U

    Upotevu wa Mafuta bandarini: Mtendaji Mkuu WMA, Meneja Vipimo wasimamishwa kupisha uchunguzi

    Mmh yasije yakawa ya Chande wa Usalama wa Taifa na Jaji Mkuu Chande. Interesting!
  17. U

    Upotevu wa Mafuta bandarini: Mtendaji Mkuu WMA, Meneja Vipimo wasimamishwa kupisha uchunguzi

    Huyu mama alikuwa ana report kwa nani miaka yote? Na kama alikuwa si mtendaji mzuri kwanini wakubwa wake walimu acha miaka yote? Je ni sababu alikuwa anashirikiana nao vizuri kwenye uhujumu? Maswali ni mengi mno kuliko majibu.
  18. U

    Jaji Mkuu ajiandaa kutumbua majipu

    Mmh yeye mwenyewe jipu.
  19. U

    Nyalandu vs Maghembe: Nani nafuu kwa Wizara ya Utalii?

    Hakuna ni afadhali ampe mwingine mwenye uzalendo hata kama hana uzoefu. Hao wawili wote wa binafsi na sio wazalendo.
Back
Top Bottom