Search results

  1. karimu mtila mohamedi

    MKOPO

    Hello wadau wa JF, mimi ni mwanafunzi wa chuo. Kuna suala nalifuatilia na ili ilkamilike kwa wakati inahitajika niwe na pesa kama milioni moja na laki mbili. But this time sina pesa kabisa.nimejaribu mbinu nyingi sna kutafuta fedha hiyonmeshindwa, nimeona bora nije humu labda naeza kupaa...
  2. karimu mtila mohamedi

    CHADEMA yamtaka Rais Magufuli azingatie sheria kwenye utumbuaji majipu

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji amemtaka Rais Magufuli apunguze utumbuaji majipu. Adai inadhalilisha Watumishi wa Serikali Alisema pamoja na kuwa CHADEMA wanaunga mkono kitendo cha kuwashughulikia mafisadi pamoja na watumishi wasio timiza majukumu yao ipasavyo lakini hawako tayari...
  3. karimu mtila mohamedi

    Chuo Kikuu cha Morogoro kinadidimia kitaaluma

    Hoja zako hazina mashiko Yalisemwa hayo tangu chuo kilipoanzishwa ile 2014,watu walisema kwamba hakitamaliza hata miaka miwili. But chuo bado kinasonga mbele na hadi sasa kina wanafunzi wa certificate,diploma na degree.masters iko njiani. So hizo ni kauli za kukikatisha tamaa chuo hiki. Elimu...
  4. karimu mtila mohamedi

    Usaili zimamoto

    Taaifa mpya nikwamba zimamotowametangaza kufuta lile zoezi la usaili,zaidi ingia kwenye hii link JESHI LA ZIMAMOTO LIMEFUTA ZOEZI LA USAILI LILILOPANGWA KUFANYIKA TAREHE 20/04/2016 | MTILAH BLOG
  5. karimu mtila mohamedi

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Mbona kwenye website yao halipo hilo tangazo,ww umelitoa wap
  6. karimu mtila mohamedi

    Usaili zimamoto

    Ni hard copy so kamaunataka kucheki jina weka jina lakohapa au nichek 0658303252 nitakuangalizia
  7. karimu mtila mohamedi

    Usaili zimamoto

    ZIMAMOTO WAMETOA MAJINA YA USAILI KWA WALE WLIOOMBA NAFASI MWAKA JANA,MAJINA WAMEWEKAKWENYE GAZETI LA UHURU LA IUJUMAA /LEO TR 08/09/2016
  8. karimu mtila mohamedi

    Natafuta sehemu ya kujifunzia kozi fupi ya Video Editing

    Nipo hapa maeneo ya bucha kama unaelekea mazimbu mkuu,naomba niwekee namba yako nikutafute, yangu 0658303252 0684855018
  9. karimu mtila mohamedi

    Haya sasa wapenzi wa media Dar es Salaam

    Mi niko moro but nataka unifundishe graphics&desing na video production,itawezekana
  10. karimu mtila mohamedi

    Jinsi ya ku-design Blog inayolipa (Part 1)

    Nashukuru sana hili somo limenisaidia sana hata kufanya designing ya kablog kangu,MTILAH BLOG
  11. karimu mtila mohamedi

    Natafuta sehemu ya kujifunzia kozi fupi ya Video Editing

    Vp unaweza kunipatia training ndogondogo ,kupitia cm na online kama ivi about that issue,
  12. karimu mtila mohamedi

    Natafuta sehemu ya kujifunzia kozi fupi ya Video Editing

    kweli kabisa,mungu amzidishie kila lakheri
  13. karimu mtila mohamedi

    Natafuta sehemu ya kujifunzia kozi fupi ya Video Editing

    Moro nipo hapa maeneo ya modeco, ofisi zako ziko maeneo gani brother,please niwekee namba yako nikutafute coz ninashida sana na hizo ishu, yangu 0658303252. 0684855018
  14. karimu mtila mohamedi

    Natafuta sehemu ya kujifunzia kozi fupi ya Video Editing

    Hellow guys, habari zenu wana JF, Jamani nimekuwa interested sana kujifunza masuala ya video editing na masuala mengine yanahusiana na designing, So naomba kufahamu kama kuna short course yeyote naweza pata kuhusu masuala hayo, hasa kwa hapa Morogoro ambapo nipo sasa. Hata kama online kuna mtu...
  15. karimu mtila mohamedi

    Video camera nzuri....

    Ha l hallow ninahitaji hiyo pinnacle ,nisaidie niipate
Back
Top Bottom