Search results

  1. evansGREATDeal

    Hofu yatanda Shkuba kutoroka Gerezani, Je atafanikiwa

    Habarini WATANZANIA, Kufuatia kuendelea kushikiliwa kwa kigogo anayedaiwa kujishughulisha na biashara ya madawa ya kulevya ‘unga’, Ali Khatib Haji ‘Shkuba’ katika gereza kuu la lindi, hofu imezidi kwamba, mfanyabiashara huyo yupo kwenye maandalizi ya kutoroka gerezani hapo. Hoja hii...
  2. evansGREATDeal

    Mradi wa DART waigwa tena kalenda

    Habarini wandugu, leo hii Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais anayeshughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, George Simbachawene amesema mradi wa Mabasi Yaendayo Kasi (Dart), unatarajia kuanza kazi rasmi Mei 10, mwaka huu,., Akizungumza kwenye majumuisho ya ziara ya Kamati ya Bunge ya Utawala...
  3. evansGREATDeal

    Serikali yajipanga kulipa madeni sugu,walimu njooni hapa na wazee

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Mh. Kassim Majaliwa amesema Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) , amefanya na anaendelea kufanya uhakiki wa madeni yanayodaiwa serikali na watumishi wa ndani na kubaini madudu kibao. Amesema madai mengine yameonyesha mashaka ambapo amewataka wakurugenzi...
  4. evansGREATDeal

    Kauli uchunguzi unaendelea/tumeteua tume ya uchunguzii

    Habari wandugu, kuna hili swala linalofanyika serikalini nashindwa kuelewa kabisa kwa mwenye uelewa tafadhali msaada maana linakera sana kulisikia kila kukicha ,.neno uchunguzi unaendelea au tumeteua tume ya uchunguzi,... juzi juzi wakati rais JPM alipoanza kutumbua majipu wale wote ambao...
  5. evansGREATDeal

    Nchi hii na hapa tulipo viongozi wa CCM wametufikisha hapa

    katika nchi zenye utajiri mkubwa wa rasilimali Africa Tanzania inautajiri mkubwa,... Mungu aliumba dunia na akaweka rasilimali mbalimbali kwa kila nchi kwa ajili ya raia husika wa nchi fulani zitumike sawasawa ktk kusaidia raia kuishi ktk mazngira na sehemu nzuri,.....alipoweka mafuta kwa wingi...
  6. evansGREATDeal

    Tanzanian president John Magufuli has condemned the killing of a British conservationist

    Briton Roger Gower, 37, was killed when his helicopter was gunned down by suspected poachers during a patrol of the Maswa Game Reserve in northern Tanzania, close to the world famous Serengeti National Park, on January 29. Gower, who worked for the Friedkin Conservation Fund, had been tracking...
  7. evansGREATDeal

    Serikali yatoa vipaumbele vyake kwa wananchi

    Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango na Mlipaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Servacius Likwelile alisema kuwa Serikali inajivunia kufanikiwa kutumia fedha za ndani kwa ajili ya miradi ya maendeleo na kulipa deni hilo la taifa ambalo ni...
  8. evansGREATDeal

    TRA Watoa namba za simu kusaidia wananchi wanaonyanyaswa na wafanyakazi wenye NYODO,....

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) yawaomba wananchi kutoa ushirikiano kwa kutoa taarifa za Maafisa wanaofanya kazi kinyume na maadili. Akiongea na mwandishi wa habari hii leo Jijini Dar es salaam Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi Richard Kayombo amesema kuwa TRA ina Idara Maalumu...
  9. evansGREATDeal

    CCM mjipange na hoja zenu uchwara za mihemko bunge la 11

    Kikao cha pili cha Bunge la kumi na moja (11) linalotarajiwa kuwa na ushindani mkali wa hoja kati ya wabunge wa vya upinzani vinavyounda UKAWA na wabunge wa CCM kimeanza leo mjini Dodoma huku mambo 8 muhimu yakitarajiwa kuibua mjadala mkubwa mjengoni humo,.. (1). Ni kujadili hotuba ya Rais John...
  10. evansGREATDeal

    Daraja la Kigamboni kuanza kutumika mwezi Machi mwaka huu

    Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano sehemu ya Ujenzi Eng. Joseph Nyamhanga amesema daraja la Kigamboni litaanza kutumika kuanzia Machi mwaka huu. Akizungumza mara baada ya kukagua hatua za ujenzi wa daraja hilo Eng. Nyamhanga amemtaka msimamizi wa ujenzi huo kuhakikisha hatua...
Back
Top Bottom