Search results

  1. Kinkajou

    Malori ya mizigo kurudi Dar tupu kutoka Mikoani ni hatari sana.

    Kiwandani kwetu mpaka sasa mzigo umeshindwa kutoka kwa sababu ya bei ya ushafirishaji kua juu ,tunazalisha ila mzigo hautoki
  2. Kinkajou

    Looking for lifetime partner

    Im 29 jobless, pagan living mwanz but i have a dream too having educated patner like you
  3. Kinkajou

    Wachungaji kutaka fungu la kumi kwa lazima

    Dah ndo maana hua nasema kanisa zilipe kodi ni nyumb za biashr now days
  4. Kinkajou

    Nimeibiwa till ya mpesa

    Lain ya wakala wa mpesa
  5. Kinkajou

    Nimeibiwa till ya mpesa

    rejea mkuu jamaa alisepa na till cha ajabu bdo linapga kazi ila namb za jamaa hazpatikani
  6. Kinkajou

    Makarani wa sensa, kuna nini kwenye zoezi hili?

    Shida inakuja kupeana kaz kwa kujuana watu weng wenye ueledi na kazi hawakupa nafasi etc unaweza usiwe na academic certs na ukafanya vzr zaidi ya mwenye anazo e.g msajili laini anaweza kufanya kazi kwa 100% next time serikal ichunguze kwa makini binafs sina academic certs kwa sababu mnakumbuka...
  7. Kinkajou

    Simbachawene: Kijana wangu Mshugulikieni hadi awe na adabu kwa mujibu wa Sheria

    Hapo hakuna kesi uyo mchan yupo kituon usiku analala kwao kam uongo nenda kituon usiku kamchek ukimpata niite mbwa nko paleee
  8. Kinkajou

    Nimeibiwa till ya mpesa

    asante sana
  9. Kinkajou

    Nimeibiwa till ya mpesa

    sawa voda wataitaji nn? a
  10. Kinkajou

    Ni basi gani uliwahi panda ukajuta na ukasema hutokaa ulipande tena?

    Batco safari code name KENYA Wanafanya safari ya mwanza-sirare poor customer care wanamajib ya ovyo sana na kukaripia wateja
  11. Kinkajou

    Nimeibiwa till ya mpesa

    Naombeni msaada au mwongozo tafadhali , mwaka 2019 nilimwajir rafk yang wa kijjn kwenye mpesa yangu hapo kijjn kwet nikaondok kwenda nje ya nchi ila cha ajabu mwaka huu mwez wa 4 wamefanya tukio kijjn kupelekea kutaftw na polis akaondok na kila kitu changu cha mpesa na lain bdo inatumik...
  12. Kinkajou

    Wakristo na Waislamu ni watu waliopotea njia hasa kwa Afrika, kiufupi hawajielewi

    Kwa vitu vinavyotendeka kanisani naweza kubaliana na wewe
  13. Kinkajou

    Series (Special thread)

    Deep balaaa movie zenye akili
  14. Kinkajou

    Series (Special thread)

    Kuna Series mbili kali kinyama haina mchawi CRISIS BREAKING BAD
  15. Kinkajou

    Msaada mwenye uelewa upande wa Till ya M-PESA

    Lain ya wakala Mpesa Sent using Jamii Forums mobile app
  16. Kinkajou

    Msaada mwenye uelewa upande wa Till ya M-PESA

    Kila documents zipo sawa hakuna kosa Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Kinkajou

    Msaada mwenye uelewa upande wa Till ya M-PESA

    Nili apply TILL ya M-Pesa mwaka jana mwezi wa 6 kwenye duka la Vodacom desk nikaambiwa baada ya miezi mitatu kutokana na umbali wa duka nlienda kuangalia kama tiari nianze biashara nkaambiwa wamegoma Vodacom HQ (MAKAO MAKUU) wanataka utumie kitambulisho cha taifa. Mimi sikua nalo ikaabidi...
  18. Kinkajou

    Makocha waliojijengea "image"na Timu zao kwa muda wote!

    Kwa guadiola barca sio kweli barca ina image ya frank rigkadd
Back
Top Bottom