Search results

  1. Kitabu

    Jinsi ya ku instal Canon IR 2204 kwenye pc yenye window 10 pro 64 bit

    Nahitaji msaada wenu tafadhali, nimejaribu mara kadhaa ku install ir 2204 kwenye pc lakini ikifikia hatua ya kuunganisha waya, inakaa muda mrefu halafu inaandika imeshindwa kutambua devise niliyounganisha, nifanyeje???
  2. Kitabu

    Optoma ep 706 projector imezima ghafla

    Wakuu natumia Optoma 706 Projector, nilikuwa naitumia ikazima ghafla,na haitaki kuwaka.....taa ya standby inawaka, ukiwasha mashine ile taa inawaka na kuzima kama indicator....msaada tafadhali
  3. Kitabu

    Inawezekana kupaka rangi ya maji juu ya rangi ya mafuta

    Wakuu habarini za muda huu, nimehamia nyumba ambayo kuta zake zimepakwa rangi ya mafuta, bahati mbaya kuta ni nyeusi sana, either ni kutokana aliyekuwepo alikuwa anapikia ndani. Nimesafisha lakini ule uchafu hautoki. Sasa nauliza je nawezaje kupaka rangi ya maji juu ya huu ukuta wenye rangi ya...
  4. Kitabu

    Program ya kuandika wimbo kwa Notation na kutengeneza sauti

    Habari wakuu, Nahitaji program itakayonisaidia kuandika nyimbo kwa staf notation pamoja na kupangilia sauti kwenye kwaya. Msaada tafadhali
  5. Kitabu

    Mkataba wa DAWASA kwa mteja

    Habari wakuu, Ninahitaji sana mkata wa Dawasa unaohusu huduma kwa mteja,nimejaribu kutafuta kwenye website yao lakini nimekuta kurasa kumi tu na nyingine hawaja ziweka. Msaada tafadhali.
  6. Kitabu

    Naomba kuelimishwa kuhusu Money Maker pump

    Wadau naomba kuelimishwa kuhusu moneymaker Pump. Je, ina uwezo wa kusukuma maji umbali gani? Ubora wake ukilinganisha na hizi pump za laki tatu za Kariakoo? Naomba kujua na bei zake na wapi nitaipata kiurahisi kama nikiridhika kuwa ni bora zaidi.
  7. Kitabu

    Ubunifu wa mavazi

    Habari wakuu,binti yangu anataka kuwa mbunifu wa mavazi,elimu yake ni form six, je nimpeleke kozi gani itayomfaa??? Msaada tafadhali
  8. Kitabu

    Kunguru na Mwewe wanashambulia sana vifaranga wangu

    Wakuu kunguru na mwewe wanashambulia sana vifaranga wangu wa kienyeji. Je kuna mbinu yeyote ya kudhibiti? Msaada tafadhali.
  9. Kitabu

    Namna ya kuhamisha taarifa za whatsApp

    Wakuu naomba kuuliza,nimebadilisha simu baada ya simu yangu ya awali kukataa kuwaka,hivyo nimefungua account ya whatsApp kwenye hii simu mpya kwa namba ile ile ya kwanza,changamoto ni kuwa nimepoteza magroup ya awali na kumbukumbu zake zote, swali!! je kunauwezekano wa kurejesha ma group...
  10. Kitabu

    HP Deskjet 2130All-in-One Printer hai scan

    habari za muda huu wakuu,nina printer aina ya HP Deskjet 2130All-in-One,nina print kazi zangu vizuri tu, ila ku scan document ile app kwenye desktop haifunguki kabisa,na hii imenitokea kwenye printer kadhaa za hp, lakini canon hainisumbui kabisa,naomba msaada tafadhali.
  11. Kitabu

    Nahitaji madumu ya maji ya lita 12 iliniweze kumwagilia mipapai kwa urahisi

    Wakuu nimeanzisha kilimo cha mipapai. Nilitegemea nitumie mvua za masika ili kupunguza gharama za umwagiliaji, lakini kwa bahati mbaya mvua za mwaka huu si nyingi. Nimepata wazo la kuwa na madumu ya maji yale ya kuuzia maji, lita 12(mfano uhai na masafi) kwamba nikiyapata hayo najaza maji na...
  12. Kitabu

    Laptop yangu ina mwanga hafifu

    wakuu naomba msaada,nina laptop aina ya DELL Latitude e6400,kuna wakati inaonyesha vizuri ila kuna wakati mwanga unakuwa hafifu sana hata ni ngumu kuona kitu. Msaada tafadhali
  13. Kitabu

    Natafuta Fremu ya stationery

    Wakuu ninawazo la kufungua stationery eneo la gongo la Mboto DSM,japo Mmi ni mgeni kabisa, naomba kama kuna mzoefu na maeneo hayo,kuhusu bei za frem,je panalipa kwa biashara hiyo?na wazo jingine la kuboresha. Asante
  14. Kitabu

    Nahitaji cartridge namba H971 XL na H970XL

    Ninaprinter aina ya HP office jet pro X476 dw, nahitaji cartridge zake kwa Hapa tz,nitapata wapi???
  15. Kitabu

    Nashindwa kutumia inverter yangu

    Nina inverter aina ya Genus 800va, nimeambiwa inaweza kutumika kama back up sestem,kwamba Umeme unapokatika inajiwasha yenyewe. Betri ninazo ,shida ni namna ya kuunganisha,Mwenye ujuzi Tafadhali
  16. Kitabu

    LENS YA CAMERA YANGU IMEKWAMA

    Wakuu naomba msaada wenu, nikiwa natumia camera yangu aina ya Canon Powershot A1200,ghafla lens imekataa kuingia ndani, na yanakuja maandishi "lens error". Nifanyeje?????
  17. Kitabu

    ms Office 2007

    wakuu nahitaji microsoft office 2007, kwa mwenye nayo tafadhali msaada
  18. Kitabu

    Nimesahau password yangu ya Jamiiforums

    Wakuu naomba msaada wa namna ya kujua password yangu humu JF, au kuunda nyingine tafadhali
  19. Kitabu

    Msaada: PC yangu haina sauti

    Habari za muda huu, nimepatwa na tatizo na ninashindwa kulitatua, nilienda kwenye control Pannel na kufuta program zote za itunes kwa kuwa sizihitaji kwa sasa, lakini baada ya kufanya hivyo ninashangaa niplay audio au video yeyote haina sauti. Tafadhali naomba msaada wenu.
  20. Kitabu

    Naomba ushauri(betri za sola)

    wakuu ninatumia umeme wa sola kwa ajili ya umeme wa nyumbani, kwakuwa panel zangu ni za volt 24, na inverter ni ya volt 12, huwa kila siku asubuhi nina charge betri kwa mfumo wa volt 24(nina betri mbili), na jioni tukirudi home,nina disconect solar pannel halafu ninaunganisha inverter kwa mfumo...
Back
Top Bottom