Search results

  1. Ernesto Che

    Ukombozi Tanzania: Hongera Madereva na wafanyabiashara

    Miaka kadhaa ya nyuma ilizoeleka wanaharakati, walimu, wasomi vyuoni , wanasiasa ndio vinara wa kupambana na udhalimu wa CCM na serikali yake. Lakini ule msemo maarufu usemao "nature abhors vacuum" sasa unadhihirika kutokana na kada zote halo juu kushindwa kutekeleza majukumu take ipasavyo...
  2. Ernesto Che

    Ukombozi Tanzania: Hongera Madereva na wafanyabiashara

    Miaka kadhaa ya nyuma ilizoeleka wanaharakati, walimu, wasomi vyuoni , wanasiasa ndio vinara wa kupambana na udhalimu wa CCM na serikali yake. Lakini ule msemo maarufu usemao "nature abhors vacuum" sasa unadhihirika kutokana na kada zote halo juu kushindwa kutekeleza majukumu take ipasavyo...
  3. Ernesto Che

    Toyota Ipsum / Gaia inatakiwa

    Habari wakuu. Gari aina ya Toyota Ipsum au Gaia inatakiwa. iwe katika hali nzuri namba ya mawasiliano 0653 670322
  4. Ernesto Che

    Nasambaza Mahindi na Mchele toka mikoani

    Habari wana JF. Ninasambaza mahindi na mchele toka mikoani yenye quality standard nzuri. Pia vyakula vingine nina supply pia kulingana na mahitaji ya wateje. Kwa mahitaji piga simu namba 0784670322 au 0653670322 kwa huduma bora yenye uhakika
  5. Ernesto Che

    Zembwela katika Super mix

    Habari wakuu, Nimekuwa msikilizaji mzuri wa kipindi cha supa mix cha East africa Radio kuanzia saa 3 asubuhi mpaka saa 7 mchana. Kipindi hiki kinatangazwa na Zembwela (mchekeshaji wa zamani) na mwanadada mwingine. kinachonikera katika kipindi hiki ni upotoshaji mkubwa wa Zembwela, ambaye...
  6. Ernesto Che

    Rai Yangu kwa Usalama Wa Taifa

    Wadau. NIMEKAA nikitafakari utendaji wa idara yetu ya Usalama wa Taifa. Hii ni taasisi muhimu sana kwa usalama wa nchi na wananchi wake, nchi zote idara hii ina heshima kubwa ndani ya jamii. Kwa miaka mingi tangu uhuru wan chi yetu imekuwa na taasisi ya Usalama wa Taifa iliyo imara. Japokuwa...
  7. Ernesto Che

    Ujumbe Kwa CloudsFM na Gerald Hando

    WADAU. Nimekuwamsikilizaji wa kipindi cha asubuhi cha Clouds FM cha Power Breakfast, ambachoni maarufu sana siku hizi, siku za karibuni GERALD HANDO kupitia segment yakeya Jicho la Ng’ombe amedhihirisha dhamira yake hasi kwa taifa letu, dhamirailiyojaa unafiki mkubwa. HakikaGerald amejivika kuwa...
  8. Ernesto Che

    Anahihitaji Viwanja Majohe (Ilala District)

    Wadau, Kwa anayehitaji viwanja (mashamba) maeneo ya Majohe karibu na Chuo cha Ualimu cha West Dsm Teachers College, vinapatikana. Ukubwa ni mita 20x35, milioni 5 30x 70 milioni 7 20x20 milioni 2 Kwa anayehitaji mawasiliano ni 0784 670322, 0767 670322, 0715 670322.
  9. Ernesto Che

    Damu za Watanzania Hazitapotea Bure

    Wapendwa katika mapambano ya ukombozi wa Tanzania. Kila kukicha askari polisi wanazidi kuua raia wasio na hatia katika nchi yetu. Wamesahau Haki zetu za kuishi waka kuandamana kufikisha ujumbe, wao wanachojua ni kutuua tu. Nawasikitia kwa kuwa wanadhani wanatutisha kumbe wanazidi kutufanya tuwe...
  10. Ernesto Che

    Profesa Safari ang’atuka CUF

    ALIYEWAHI kupambana na Profesa Ibrahim Lipumba kwenye kinyang'anyiro cha kugombea nafasi ya mwenyekiti wa CUF, Profesa Abdallah Safari, amejivua uanachama wa chama hicho. Taarifa ambazo zilipatikana jana na baadaye kuthibitishwa na Profesa Safari, hazikubainisha sababu za kujitoa kwake kwenye...
Back
Top Bottom