Search results

  1. Ernesto Che

    Katika hili Makonda nimekukubali, Kubenea mtumie vizuri Dc huyu Ubungo wanufaike

    Lakini hilo tamko la Makonda ni LA kisiasa au huoni hilo? Ndio maana tunamponda mkurupukaji maarufu a.k.a Makonde. Hana hata moja analokuja nalo lenye tija ila kukurupuka. Sitoshangaa akipewa cheo zaidi kwakuwa awamu hii imejaa maigizo kutoka juu mpaka chini
  2. Ernesto Che

    Katika hili Makonda nimekukubali, Kubenea mtumie vizuri Dc huyu Ubungo wanufaike

    Hivi suala la madereva kupewa mikataba huyo Makonda aliishia wapi? Vipaji vya wasanii je?? Migogoro ya ardhi nayo?? Watanzania tunaendeshwa kwa maigizo kisha tunashangilia. Aibu yetu
  3. Ernesto Che

    Katika hili Makonda nimekukubali, Kubenea mtumie vizuri Dc huyu Ubungo wanufaike

    Inaonesha uwezo wako wa kufikiri ulivyo chini pale unaposhangilia kitu bila hata tathmini. Mabasi ni ya nani? Kodi zimepunguzwa? Walimu bure wanafunzi walipe huoni ni ujuha? Wewe ni mtanzania halisi kwa kuwa IQ yako uko chini mno
  4. Ernesto Che

    Yaliyojiri Ukumbi wa Hyatt Regency: Frederick Sumaye atangaza nia kugombea Urais

    Kwanini Magufuli asijibu mwenyewe si ndie aliyeuza!
  5. Ernesto Che

    Tetesi: Kamishna wa Madini Asimamishwa kimya kimya

    #maigizoyametuchosha
  6. Ernesto Che

    Tanzania ranked as the 8th most beautiful country in the WORLD!

    Uzuri huo hauko bayana. Au wa wanawake!
  7. Ernesto Che

    Ofisi za CCM Pemba zachomwa moto, CCM walaani hicho kitendo

    Bado movie ikikolea itahamia bandari salama. Yetu macho na masikio
  8. Ernesto Che

    Rais Magufuli atembelea Hospitali kuu ya Taifa Muhimbili, Amjulia hali Mufti Mkuu Tanzania

    Inakuaje hakuna vitanda kumbe hela yetu ya sherehe za Ukimwi zilipelekwa wapi. Magu mzee wa maigizo
  9. Ernesto Che

    Elections 2015 Mbowe kabadili gia angani, ndege inaanguka!

    we inakuuma nini chadema kupoteza au ndio mambo ya usengerema? kwanini usiijadili Chama Cha Majambazi yako yalioyoiba kura kila kona? Acha unafiki kujifanya unaijadili chadema kinafikinafiki #NAICHUKIACCMTOKAMOYONI
  10. Ernesto Che

    Maalim Seif akataa maamuzi ya ZEC, atoa tamko zito

    Natamani kiongozi mmoja wa UKAWA autangazie umma ili tumsaidie mapambano na washenzi wanaoitwa CCM ili tuikomboe nchi yetu. Haki haipatikane ila kwa ncha ya upanga
  11. Ernesto Che

    Mtatiro: UKAWA imeinyanyua CUF

    I salute Mtatiro, usijali bado ni kijana mwaka 2020 jimbo utalipata kirahisi sana, ni matumaini Chadema itakuomba radhi na kumchukulia hatua yule dada aliyekuhujumu na kusababisha UKAWA tupoteze jimbo na mbunge makini.
  12. Ernesto Che

    WanaCCM tuheshimiwe kwenye magroup Whatsapp

    CCM inachukiwa na nmamilioni ya Watanzania wala hilo halina kificho kabisa. Ndio maana hawataki tulinde kura zetu kwakuwa tabia ikiwa kama ngozi haijifichi hivyo wataiba kama kawaida YAO. Mungu na atupe nguvu zaidi za kupambana na haya mashetani ili ile Tanzania Mungu aliyoipa neema ya kila kitu...
  13. Ernesto Che

    Operesheni Zinduka 16: Tuwe tayari kuheshimu sauti ya Watanzania hata kama hatuipendi

    Njia ipi ya JF, unataka watu wampe heshima Mwanakiji ambaye kapoteza mvuto? Kanunuliwa na mafisadi CCM ambao miaka na miaka alikuwa anawapinga tukidhani ni mwenzetu kupigania haki kumbe naye ni msaka tonge. Binafsi nimemdharau kabisa namuona hana tofauti na wasaliti wa mapambano ya haki kama Dk...
  14. Ernesto Che

    CCM "Mene Mene Tekeli na Peresi" ....?!

    Ni neno la unabii, tunamshukuru Mungu wetu wa mbinguni utawala wa mashetani unafikia tamati hapo kesho. Wao hudai CHADEMA ni chama cha kikristo huku wakidai tena CUF ni chama cha Waislamu. Hii ni kwasababu wao CCM hawaabudu Mungu bali wanaabudu SHETANI wa makafara ya maalbino. Tuwaondoe ili...
  15. Ernesto Che

    Mtoto wa Kingunge, Kinje amtaka baba yake aache kutumiwa

    Jamani mkiona hivyo mjue CCM inavyotapatapa, sasa huyo Kinje tena yuko ACT sasa ana ushawishi gani katika siasa za Tanzania? Makubwa haya
  16. Ernesto Che

    Dr. Didas Masaburi njia nyeupe Bungeni

    Leo mbunge mteule Saed Kubenea amemaliza kazi, huyo makalio atakiona cha moto
  17. Ernesto Che

    Lowasa hana wa kumpigia Simu Dunia Hii!

    Watu kama wewe huuwawa mapema sana penye machafuko, kwa akili yako mbovu hiyo
  18. Ernesto Che

    Lowasa hana wa kumpigia Simu Dunia Hii!

    Kichwa chako kimejaa mavi matupu
  19. Ernesto Che

    UKAWA wakubali kuwa CCM itashinda kwa Tsunami

    Yamebaki masaa machache upuuzi wenu utaisha. Tunawanyoosha jumapili na kuweka historia Afrika
  20. Ernesto Che

    Dar YATAPIKA Mkutano wa Magufuli, NYOMI YA KUFA MTU

    Angalia ITV uone mkutano wa mbunge tu umejaa pale Mburahati ni mkutano wa mbunge wa Ubungo Saeed Kubenea
Back
Top Bottom