Search results

  1. Spark Gap

    Geostationary Satellite

    Wakuu hii ni aina ya satellite inayotumika katika Communication process kama Televisions kwann Sat hii iko fixed nashindwa ku imagine kuwa inatembea same speed na earth kiaje observer aione inaonekana fixed wakati iko kwenye mwendo? Je nini kina ipa Sat yoyote speed baada ya kukaa kwenye orbit...
  2. Spark Gap

    Umeme Wa mradi

    Habari za wasaa huu Nilikuwa naomba ufafanuzi kidogo Hivi hawa Wanaopitisha umeme wa Mradi yani Rea gharama za kuingiziwa umeme ni sh ngapi? Je nina uhitaji wa kwenda kuchukua kadi tanesco na kumuambia fundi wangu aandae mchoro na kutafuta contractor wa kusaini Hio kadi Au? Cc Koleba
  3. Spark Gap

    Kufa kwa uwezo wa kufikiri na uvumbuzi kwa wanafunzi

    Mionzi pekee inayoathiri body structure ya mwanadamu ni Gamma Rays hii ndio ina High Frequency Sambamba na x ray hii ya simu ni kidogo mkuu haina effect ya kuwwza kupunguza capacity ya mtu
  4. Spark Gap

    Kila Mtanzania angekuwa kama Flavian Matata, tungekuwa mbali sana!

    Hongera sana Mwanamitindo Flavian kwa kusaidia watoto wenye mahitaji maalumu kwani kufanya ivo kunasaidia kujenga taifa imara la kesho
  5. Spark Gap

    Unaelewa nini juu ya Israel? Anza na hizi dondoo za aina yake

    Ni taifa Lenye watu wenye jitihada ya kutafuta maarifa Ndio maana wakatuzunguka kwa kuqndika vitabu kuwa wamebarikiwa na ni Taifa teule. Hili halipo ni shauku ya kutafuta maarifa na kujifunza Mengi ndo kumewaweka Bora
  6. Spark Gap

    Natafuta kazi au kibarua cha muda mfupi

    Sawa Ndugu nashukuru sana
  7. Spark Gap

    Msaada wa kujiunga na chuo cha ufundi

    Mwaka jana ilikuwa watano, Ww pia ni miongoni?
  8. Spark Gap

    Msaada wa kujiunga na chuo cha ufundi

    Sawa mkuu kama ni hivo basi vuta subira mpaka mwezi wa tano vyuo vitakuwa open
  9. Spark Gap

    Natafuta kazi au kibarua cha muda mfupi

    Habari wana bodi, Mimi ni Kijana ninae subiri kusonga mbele kimasomo kwa wakati huu ambao niko Free ningeomba tempo popote ya Field yangu hii ya umeme kwani nina uzoefu nayo. Vitu ninavyoweza kwa ufasaha -Domestic Installation yani umeme wa majumbani wote _Planning and diagram preparation...
  10. Spark Gap

    Msaada kuhusu QT na Reseater

    Na mimi niongezee swali apa apq je mtu aki reset anapewa cheti kipya cha hayo masomo aliyo rudia? au kinatokq cheti kimoja kikijumuisha na masomo ya kile cha mwanzo
  11. Spark Gap

    Msaada wa kujiunga na chuo cha ufundi

    Pass marks kwa four zipoje upande wa science subiri mwezi wa tano Technical colleges watafungua milango kwa pre entry candidates ambapo ina take around wiki nane mpaka kumi ukipita apo uta join ordinary diploma Three years then degree Usikate tamaa ndugu
  12. Spark Gap

    Pitia Hapa mdau

    Asante ndugu
  13. Spark Gap

    Unamuitaje Mume wa Shangazi?

    Mume wa shangazi Ni Uncle mke wa mjomba ni Aunt
  14. Spark Gap

    Pitia Hapa mdau

    Kuhusu cheti?
  15. Spark Gap

    Pitia Hapa mdau

    Wakuu gharama zipoje kwa wanaorudia paper ya form four Mfano anaetaka kupiga paper mbili au tatu na je cheti cha mara ya kwanza na hiki inakuwaje apo vinaungwa au unakuwa na viwili?
Back
Top Bottom