Search results

  1. Aniko

    Imekuwaje magazeti yote ya leo kutumia picha moja?

    Mkuu hii picha imepigwa na na mpiga picha mmoja wa Ikulu,na ndiye ametuma kwenye hizo media nyingine yawezekana hawakuwa wapiga picha wa vyombo vingine,tatizo ni la mpiga picha kuwa na picha moja tu.
  2. Aniko

    Lema: Wachagga tuna msemo unasema "Siyo rahisi kumuona shetani anavyokuja bali utamuona shetani anavyoondoka"

    Acha chuki wewe bado tu mpaka leo unatafuta huruma ya uteuzi?wewe uliwahi kusema nini cha maana kulinganisha na Lema?
  3. Aniko

    Ni wakinga wachache tupo kwenye mambo ya Siasa, Siasa ni kazi ya ziada kwa wakinga

    Ni kweli ninyi Wakinga utajiri wenu ni wa masharti kwa asilimia kubwa?
  4. Aniko

    Polisi wakimbizana na Wamachinga Dar

    Unahisi Serikali watafanikiwa kwenye hili?
  5. Aniko

    Polisi wakimbizana na Wamachinga Dar

    Wacha tuone huko mbele ya safari ila watawala waelewe hili ni bomu wanalitengeneza.
  6. Aniko

    Neno la shukrani kwa wateja wetu wa TTCL

    Kama kuna kampuni ya simu mbovu basi ninyi ndio kilanja wao,najuta kusajili mtandao huu na suala la muda tu itakuwa kwenye pipa la takataka vipande vya sim card yenu.
  7. Aniko

    Vibanda vya wamachinga mtaa wa Msimbazi Kariakoo vyasambaratishwa

    Siku zilizoongezwa siyo yakuwa waendelee kubakia maeneo hayo wanatakiwa waondoke wasilewe na hizo taarifa.
  8. Aniko

    Fundi carry Suzuki injection

    Mpigie huyu 0652341134 tatizo lako litakwisha ni dogo sana kwake kwagari hizo.
  9. Aniko

    Waziri Makamba unaifahamu hujuma hii Dodoma?

    Sasa wawe wavumilivu kwa miaka mingapi mingine?wewe hapo kazini kwako ukiambiwa vumilia kwa miezi miwili mshahara wako utaweza kuvumilia?mbona majibu hayaendani na majibu kwa wana Msalato?
  10. Aniko

    Habari Njema: Kuchimba dawa kwa abiria sasa ni dakika 20

    Kwani awali ilikuwa dakika ngapi?
  11. Aniko

    Ikumbuke ahadi/nadhiri uliyoiweka

    Mkuu inahuzunisha lakini pia inafundisha kwenye maisha yetu ya duniani.
  12. Aniko

    Rais Samia amewasili Jijini Dodoma jioni ya Septemba 8, 2021

    Royal Tour ya mama wacha kazi iendelee
  13. Aniko

    Naishi lakini nina hofu

    Umejuaje kama haipati faida wewe ni muhasibu wa hiyo kampuni unajua unachofanya ndiyo maana unajihami sasa siyo?
  14. Aniko

    Hivi pantoni ni Meli au si meli?

    Khaaaa haya majibu unayopewa humu yavumilie tu mku kwa nia ya kujifunza utakacho.
  15. Aniko

    Shirika la Posta linazindua huduma ya Pamoja (One Stop Center)

    Uzinduzi uendane na kasi ya huduma wanazotoa.
  16. Aniko

    Dkt. Tulia Ackson: Mshahara wa Mbunge ni Tsh milioni 4.6 na sio vinginevyo

    Yeye mwenyewe mnufaika hawezi akakubali,lakini pia kama mchanganuo ndiyo huo kwanini zipitie kwa mbunge hata hizo ambazo siyo zake?mbona hatujawahi kufanya mkutano majimboni kuelezea matumizi ya hizo pesa?
  17. Aniko

    Ofisi za Sunda International zinapatikana wapi?

    Uko sahihi ukifika pale kwenye lile jengo la ubungo Business Park atawakuta Sunda pale.
Back
Top Bottom