Search results

  1. Shalom

    kuitwa interview Chemonics

    wanabodi hawa jamaa wa Chemonics walitangaza kazi kama kuna mtu ameitwa kwenye intetview basi ni vema tutaarifiane. kama unavyojua usipofanikiwa hupewi taarifa hivyo taarifa yako itatupa habari kuwa tayari watu wameitwa. asante
  2. Shalom

    M4C leo Tabata Segerea

    makamanda segerea leo
  3. Shalom

    Aibu kubwa makampuni ya Simu za mikononi Tanzania ( Safaricom inasimamiwa na malaika?)!

    Aibu kubwa kwa nchi yetu inayoletwa na nyie nyie Airtel. Vodacom na Tigo kwa kukazania kuongeza minara Tanzania nzima huku mkiacha service yenu ikiwa mbovu kabisa. Huwezi amini kuwa ndani ya Dar hii maeneo mengi tu hupati kabisa reliable internet service. Hawa Vodacom ndiyo kituko kabisa eti...
  4. Shalom

    Watanzania wote tumsaidie ndugu Zitto na wabunge wengine kupata sahihi 70 za wabunge

    Ndugu watanzania, Mabibi na mabwana. Jambo alilianzisha Ndugu Zitto ni nafasi nyingine ya kurejesha uwajibikaji Serikalini kwa ajiri yetu na kizazi kijacho. Nafsi kama hii ilikuja 2008 na tukawaachia wabunge pekee kufanya maamuzi na mwishowe Ndugu Sitta na rafiki yake Mwakyembe wakatuchakachua...
  5. Shalom

    Wapiga picha Wa Cameroon wafukuzwa na doctor

    sky-news-video - Sky News Video Player
  6. Shalom

    Please Mr President usiende uwanja wa taifa (fainali) tunataka kushinda

    Inaonekana kila ukikanyaga tunafungwa sasa uamuzi ni wako kama unataka tushinde au ! Kumbukumbu za karibuni Tulifungwa mechi muhimu na msumbiji-Ulikuwepo, na Morocco ambako ulipiga kampeni na bila kusahau mechi ya ufunguzi!
  7. Shalom

    Elections 2010 Video: Alichosema Marando Jangwani

    Naona mpaka Judge Mkuu kaingia mkenge akizani video wanayo TBC peke yake. Sasa kwenye hii vieo kuna matusi gani jamani Wewe Tido Mhando ebu angalia? Makamba tuambie ni kipande ipi hapo ni matusi?
  8. Shalom

    Elections 2010 Mdahalo wa wagombea urais 2010

    :crying:Wapendwa, Kwa TZS 100,000 watu 100 JF tunaweza kuandaa mdahalo wa urais. Muda wa kupiga domo umekwisha je? Tunataka na mwaka huu kusiwe na mdahalo kama 2010? Je unadhani kuna mtu mwingine wa kuanzisha hili swala zaidi ya JF? Mimi nadhani haiwezekani. Basi kama unaona hili jambo ni...
  9. Shalom

    Budget ya UK ya mwaka 2007/08 ukifananisha ya yetu

    Nilikuwa napitia hii budget ya UK ya mwaka 2007/08. Kwa kweli kwa mwendo huu kujiona mapanzi ni sawa kabisa
  10. Shalom

    Elections 2010 Changia Maendeleo ya Tanzania - Changia Chadema

    Changia CHADEMA kwa kutuma neno "CHADEMA" kwenda 15710 (Zain na Voda tu) Hili si jipya jamani ila nimeona tukumbushane kidogo kuwa nguvu zetu zinahitajika hata kama ni kidogo kidogo kuweza. Naona siku za karibuni malaria na mwenzie wako busy sana na vyama vyao vya kijamaa! Makadirio ya...
  11. Shalom

    Tuandamane mpaka ikulu tarehe 30 August 2008

    Wana forum, Nimeshindwa kuvumilia njisi nchi inavyokwenda. nadhani sasa ni muda muafaka wa kwenda kumwambia mkuu kuwa tumechoka na tunataka nchi yetu irudi kuw kama nchi na sio genge la mauza uza. haya ni maandamano ya amani kabisa ambayo myu hatatakiwa hata kuwa na wembe. Ni nguvu ya umma tu...
  12. Shalom

    Hotuba inayonitoa machozi- WanaJF tusiogope!

    Speech given by British High Commissioner Philip Parham at the Queen's Birthday Party, Dar es Salaam, 7 June 2008 English Kasia and I are honoured and delighted to welcome you all here to celebrate the official birthday of Her Majesty Queen Elizabeth II. If any of us are still as active as...
  13. Shalom

    Mheshimiwa Peter Serukamba-uko na wananchi au mafisadi?

    Nimesoma humu JF na kwenye magazeti mbalimbali habari ninazo ziona kuwa si njema kuhusiana na Mheshimwa Peter Serukamba. Inaonekana huyu mbuge ambaye kwa kweli ni kijana ameamua kuwa upande wa mafisadi na si upande wa wananchi katika muda huu ambao nchi nzima ina kilio nao (anajiamini sana!)...
Back
Top Bottom