Search results

  1. Shalom

    Tahadhari kwa UKAWA

    Labda vijiji vya watu wavivu tu. Hebu niambie vijiji vya Mwanza, Mbeya, Iringa, Njombe Arusha na kwingineko watu wa vijijini ndiyo wamehamasika kuliko hata wa mjini. Fanya home work yako vizuri!
  2. Shalom

    Hali za Wagombea Ubunge aa CHADEMA zikoje? Wasijekuvurugwa wakasahaulika!

    Mwanakijiji kambi moja na Le mutuz kwi kwi kwi!
  3. Shalom

    Swali kwa waliowahi kuanguka

    Mwanakijiji Two names come in my mind Mark Reckless and Douglas Carswell tena hawa walijua kabisa kuwa Tories wanaenda kushinda ila wakaondoka ili yaliyomo moyoni yaweze kupewa nafasi. Si uliona immigration ilivyokuwa ni siisue kwenye uchaguzi baada ya labour kuifanya none issue kwa takribani...
  4. Shalom

    Mpango wa MUNGU uliuofeli kabla ya kuanza

    Shoza Mwache Mungu na usimtumie kwa mizaa kabisa. Kusema kuwa jambo fulani ni mpango wa Mungu ni wewe mwenyewe ulivyokuwa na imani na unavyojiamini. Nitakupa mfano mmoja na kama ukiuelewa tubu haraka kabla ya kupatwa na dhuruba ya ya unaye mkejeli! Stefano alipopigwa mawe na kuuwawa na...
  5. Shalom

    Makao makuu CUF: Ufafanuzi kwa waandishi wa habari juu ya ushiriki wao UKAWA

    Huwezi kuamini nenda NEC kama utaona wameweka presidential results hata district level tu achilia mbali kituo kwa kituo!
  6. Shalom

    Makao makuu CUF: Ufafanuzi kwa waandishi wa habari juu ya ushiriki wao UKAWA

    UKAWA ilikuwa ni idea nzuri ila siyo lazima, CJHADEMA wanaweza kwenda solo kama CCM. CCM imehakikisha kuwa inakuwa vigumu kwa vyama kuungana. 2010 CHADEMA ilipata kura nyingi kuliko za CCM ila haikupewa haki yake. Mwaka huu tatizo sio kura bali ni jinsi ya kuzirinda. Ngoja Magufuri mania iishe...
  7. Shalom

    Kumekucha UKAWA: Lipumba kutoa msimamo wa CUF leo saa tano Asubuhi

    Ukawa ni muungano wa vyama vinne, kimoja kikitoka ukawa haifiki mwisho. Ukawa itafika mwisho tu ikiwa vyama vyote vitaamua kujitoa. Ukawa sio abbreviation ya hivyo vyama vinne kiasi kama kimoja kikiondoka basi vingine vinavyobaki kunakuwa hamna meaning. CUF pekee sio UKAWA na Chadema vile vile...
  8. Shalom

    Hivi wasomi wa watendaji wa CCM hawakujua kabisa haya wakati wanauza nyumba za Serikali?

    Nyumba ziliuzwa milion 60 sasa hivi samani yake ni billion 4 -6 kwa pesa ya madafu (USD 2.5). Eti watu wanamshamgilia magufuli du!
  9. Shalom

    The Party and the Pickle: Understanding CCM's Vulnerability Towards General Elections 2015

    This election will be run not by NEC nor CCM nor UKAWA but people themselves. enough is enough
  10. Shalom

    The Party and the Pickle: Understanding CCM's Vulnerability Towards General Elections 2015

    Mark my words! They did not get 75% of the votes in the local elections rather they use money and power to run unopposed in many areas and still numbers does not add up to 75%. Till today Ministry for Local government have not come out with official numbers and percentage - almost a year...
  11. Shalom

    Chaguo la Mchungaji: Mgombea Urais wa CCM

    Unajua utendaji wa Augustino Ramadhan. Alishakuwa judge Mkuu alishafanya nini? Kama huwezi ku manage taasisi utawezaje nchi. Kwa maoni yangu Augustino ndiye judge mkuu ovyo kuliko wote waliowahi kushika nafasi hiyo. Yes hali rushwa lakini ndiyo mwisho wake hapo.
  12. Shalom

    Gharama ya Kurahisisha Hoja: Tatizo Langu na Matamko ya Maaskofu na Mashehe!

    Mwanakijiji, Tafakari, ikiwa kama waliweza kuthubutu kusimamia jambo ambalo hata chama tawala hawakutegemea kuwa wangeweza kulisimamia wangeshindwaje hayo mengine. Ukiangalia kwa mawazo mapana sana utaona hofu ya watawala haikuwa kwenye serikali tatu au mbili ila hofu yao kubwa ilikuwa ni kuwa...
  13. Shalom

    Gharama ya Kurahisisha Hoja: Tatizo Langu na Matamko ya Maaskofu na Mashehe!

    Mwanakijiji, Ukiwa unaumba gari, kama engine ikfail basi nadhani utapoteza muda mwingi sana kuhakikisha kuwa unatatua hilo tatizo.Usukani na mataili na vitu vingine siyo kwamba sio muhimu ila vinafuata katika mtiririko wa umuhimu. Muundo wa serikali ulikuwa ni kipaumbele na kiliposhindikana...
  14. Shalom

    Pasco - Unawezaje kusema maneno kama haya ?

    Kama kweli pasco amesema hayo ni aibu kubwa sana kwake na kwa askofu mayala. Sijui kwa nini shetani anafuatikia sana kizazi cha watumishi. Ila kwa kifupi ni kwamba aliyewalinda Israel ndiye aliyemlinda pasco kwenye ajari ya piki piki Dom. It's the same God. Waisrel wangekuwa wiped na wewe...
  15. Shalom

    Tofauti kubwa kati ya CCM na Chadema, Lowasa atafanya harambee ya bodaboda, Slaa na gongo

    Hivi jamani hakuna jambo tunaloweza kufanya kumshikisha adabu huyu jamaa. Maana naona sasa ametoka kwenye siasa na amekwenda kwenye personal kabisa. huyu itabidi tumtafutie raia wa Uk ili aandikishe petition ya kuwa huyu ni muhalifu ili tumuweke kwenye macho ya serikali ya Uk. Hasa issue ya...
  16. Shalom

    Zitto kuchangia bungeni sasa na kutoa utetezi wake juu ya mabilion ya uswis

    Kwa sababu watu wengi hawawezi kutembea huku wakitafuna Big G, hivyo ni muhimu ashughurikiwe kabla ya kuendelea na mapambano. hulioni hilo ngoja awe kwanzan mdogo kama piliton
  17. Shalom

    Zitto kuchangia bungeni sasa na kutoa utetezi wake juu ya mabilion ya uswis

    Anasema ameshangaa kukutawaloficha pesa wengi ni CDM kuliko CCM kwa hiyo ikabidi awe mpole, lakini kwa sababu wamemchokoza ngoja aweke wazi.
  18. Shalom

    Zitto kuchangia bungeni sasa na kutoa utetezi wake juu ya mabilion ya uswis

    Du sentesi yake ya kwanza tu...... Du ameua mamaaaa wee. Aibu ameanza kusoma majina la kwanza.............
Back
Top Bottom