Search results

  1. M

    Kama JPM anazindua miradi yote, hili dude ni la nini sasa??

    Nadhani rais anatosha, hili dude linalozunguka huku Mikoani lizimwe na liwekwe makumbusho. #zimalimwengelenuhilo
  2. M

    Kuhusu utaratibu wa kukodi magari ya JWTZ

    Wasalamu, Wakuu Kama kichwa kinavyosema, Mimi ni mtanzania na siku kadhaa zijazo natarajia kuhama kutoka hapa nilipo. Nimekuwa nikiona jeshi letu Lina magari mazuri na Imara yanayofaa kwa shuguli za kuhamishia vitu toka sehemu moja kwenda nyingine.(Malori) Je, Kama raia wa kawaida naweza...
  3. M

    Serikali kugaramia mazishi ya Aquilina ni wajibu wake kisheria, sio offer.

    Ni katika kuweka record sawa tu. Kwa mujibu wa katiba za vyuo vyote vinavyomilikiwa na serikali, inapotokea mwanafunzi au mtumishi amefariki..... Hilo huwa ni jukumu la chuo kugaramia hospital, sanda, jeneza, usafiri (land cruiser, coaster kwa waombolezaji) na Kiwango flani cha pesa Kama...
  4. M

    Hivi kuna uhusiano kati ya umiliki wa gereji na ukorofi?

    Ni baada ya kutembelea gereji tofauti tofauti nimegundua hawa wamiliki wa gereji wanafanana sifa moja. Bila kujali asili ya mmiliki wa gereji wote wanafanana sifa ya ukorofi na utata. Swala la kutukana wafanyakazi wake wakati akiwapa maelekezo ni la kawaida sana. Kurushiana manispana, kumwagika...
  5. M

    Bomba la mafuta la tanga-Uganda

    Nauliza tu, Huu mradi umeishia wapi?? Mbona tumeshajipanga kuzichangamkia fursa jamani Msitufanyie hivyo.
  6. M

    Tanzania Postal Bank, kitengo cha Bima jirekebisheni.

    Wasalamu wakuu, Kwanza nipende kuwapa pongezi kidogo wafanyakazi wa hii Benk kwa jinsi wanavyojituma, japo Wengi ni wamama na wazee. Ni kweli kuwa hii Benk pekee ambayo Haina vimwana Wengi na wakuvutia lakini kikazi hawa vikongwe wanajitahidi. Kwa hiyo Kama unatafuta tabasamu na mapokezi...
  7. M

    Hofu: Kilimanjaro inaweza kutangazwa mkoa maalumu kwa sherehe za krismas.

    Salama wakuu, Ni hofu yangu tu nipo njiani kurudi nikitokea mgombani... Nimekutana na washkaji kibao ambao sio wachaga lakini naona swaga la kwenda kwetu kila krismas limewabamba. Pamoja na hayo wapo Jamaa kibao ambao wameahidi kushiriki krismas ijayo mkoani kili mwakani, baada ya kuvutiwa na...
  8. M

    Wachaga mwaka huu tunaenda kumshtaki kwa wazee wetu.

    Mambo hayawezi kuwa MAGUMU namna hii afu tumkalie kimya..... Mwaka huu tukienda ni kufungua mashtaka tu kwa bibi na babu zetu juu ya anayotufanyia huku mijini. Na swali la mwaka huu kwa bibi zetu ni lilelile: #unaijuabombardier??
  9. M

    Ushauri kwa Polepole, wabunge wa CCM na CCM kwa ujumla.

    WaSalamu, Nimewaza nikasema Hebu nishauri kitu hiki kwa jicho hili: Nimeona niseme hili kwa lengo la kuokoa jahazi ambalo Nadhani nahodha amshachoka na hajui kuwa limeshatoboka. Kwanza nianze kusema kuwa upinzani sio uadui hivyo unavyoona nyumba ya jirani inakaribia kuanguka ni vyema...
  10. M

    Ushauri wa kibiashara kwa Lulu michael. Nifikishieni

    Kwanza pole sana Lulu kwa matatizo, Ila ili upate uhuru wa moyo na nafsi nitakuomba utulize akili umalize time yako urudi nyumbani ili watesi wako wasipate sababu ya kukunanga tena. Ila sasa Wakati ukiwa huko gerezani, fanya hili: Wewe ni mtu maarufu na una jina kubwa katika sector ya Sanaa...
  11. M

    Nauliza tu, hivi Benny pol anailipa familia ya Remmy Ongala???

    Tunajua sasa hivi kuna wimbi kubwa la kufunguliana mikesi ya madai kwa watu maarufu. Na kwa miaka kadhaa sasa namuona bwana mdogo Ben Pol kila akipanda kwenye jukwaa la fiesta lazima aimbe wimbo wa marehemu Remy wa narudi nyumbani. Wimbo huu umekuwa maarufu sana na unampa milage kubwa kuliko...
  12. M

    Toa ya moyoni ukianza na Maneno "sisi wapigakura"

    Mfano: "Sisi wapigakura tulikosea sana 2015" Tiririka. #sisiwapigakura
  13. M

    Natafuta Magunia ya katani kwa ajili kubebea nafaka

    Wakuu Salam, Nahitaji magunia ya kubebea nafaka. Naomba kwa mwenye mawasiliano na kiwanda kinachozalisha haya magunia ya katani awasiliane na Mimi PM. Ni urgent mno wadau. Tafadhalini.
  14. M

    Madini yapo ardhini, unazungushaje ukuta huku juu?

    Madini yapo ardhini, unazungushaje UKUTA huku juu?? Au amesahau kuwa kuna kina El Chapo Guzmane.?? Naomba kueleweshwa........
  15. M

    Naomba Muongozo wakuu; nataka kuanza biashara ya silaha za jadi zilizoboreshwa

    Wasalamu, Wakuu maisha yamebana sana na kila mtu anatakiwa kujiongeza ili mambo yaende. Mimi nina kautalaam kidogo ka silaha za jadi ie: upinde, mishale, mikuki na kadhalika. Nilipata kuletewa zawadi ya upinde wa kisasa ambao ni tofauti kidogo na hizi za kwetu. Umeboreshwa na unampa mtumiaji...
  16. M

    Kwa usalama wako usinywe KITOKO

    Hii ni kwa wanywaji na wapenzi wa ulabu. Kuna pombe mpya imeingia mjini inaitwa KITOKO. Hii sio pombe ya kawaida ni hatarious mno. Ipo kwenye vifungashio vya makopo ya plastic yaliyopendekezwa na serikali, Ina rangi nyekundu na imeandikwa kuwa Ina kilevi cha 40%..... Ambao sidhan Kama ni...
  17. M

    Mauki unavyotufanyia wanaume wenye ndoa sio Fresh.

    Salama wakuu, Leo nimeona niseme tu ukweli maana inakuwa Kama ni desturi sasa.... Huyu brother ni Kama ndoa yake Haina changamoto na siku zote za mwaka yeye yupo peponi. Kitu ambacho naamini sio kweli coz hata baadhi ya manabii na mitume walikutana na mabalaa tofauti kwa kuishi na hawa...
  18. M

    January Makamba, lifanyie kazi hili: Karanga za Diamond hazina tofauti na pombe za viroba

    Mh. Waziri Ni ombi langu tu kuwa na jicho la tatu kwenye hizi Karanga zinaitwa Diamond. Huku mtaani mazingira yameharibika ghafla. Kila mahali kuna pakiti za karanga na ukizingatia ni pakiti za nyilon basi Hali ndo inakuwa mbaya kwelikweli.... Sio siri kwamba mapokezi ni mazuri na nampongeza...
Back
Top Bottom