Search results

  1. Askari Kanzu

    Kipigo cha Polisi, Halima Mdee apima na kukuta kavunjwa mkono wake wa kulia

    Hii picha imeibiwa www.health24.com. (Bofya). Huo sio mkono wa Halima Mdee.
  2. Askari Kanzu

    Kipigo cha Polisi, Halima Mdee apima na kukuta kavunjwa mkono wake wa kulia

    Jaribu kufanya propaganda zenye tija kwa chama chako. Hebu angalia hii picha. 9 May 2017 Gene therapy might someday help mend badly broken bones This experimental method combines gene therapy, stem cells and ultrasound Chanzo: www.health24.com
  3. Askari Kanzu

    Niliaibika nilipoambiwa nifungue kwa sala kwa Kiingereza mkutanoni Ughaibuni

    Ni ujinga na ulimbukeni uliopitiliza kuona aibu kutojua kusali kwa Kiingereza.
  4. Askari Kanzu

    Niliaibika nilipoambiwa nifungue kwa sala kwa Kiingereza mkutanoni Ughaibuni

    Kwa hiyo hata ukienda mbinguni Mungu atatumia Kiingereza kukuhukumu. Huu ulimbukeni na upumbavu utakwisha lini?
  5. Askari Kanzu

    Je, Samatta atafanya makubwa EPL?

    Nenda wewe kacheze basi.
  6. Askari Kanzu

    Tujifunze Kenya kabla hatujachafua nchi yetu

    Jibu swali, Wailes Primary, Temeke ipo Senegal au?
  7. Askari Kanzu

    Tujifunze Kenya kabla hatujachafua nchi yetu

    Hujakosea. Temeke ipo Gambia au?
  8. Askari Kanzu

    Tujifunze Kenya kabla hatujachafua nchi yetu

    Hebu nikuulize kidogo, ulikuwa wapi Feb. 1965 wakati Pio Gama Pinto anauawa Nairobi? Nakuuliza hivyo kwa sababu mimi nilikuwa darasa la tano pale Wailes Primary Temeke na bado namkumbuka mmoja ya walimu wangu Mama Mtiule. Nakuuliza hivyo ili angalau uelewe unaongea na nani. Kwa kifupi mimi sio...
  9. Askari Kanzu

    Tujifunze Kenya kabla hatujachafua nchi yetu

    Sifanyi hivyo. Usitake kunilisha matango pori tafadhali. Hao wakenya wako wanapaswa wajifunze mengi tu kutoka Tz. Umesikia?
  10. Askari Kanzu

    Tujifunze Kenya kabla hatujachafua nchi yetu

    Hao wakenya hivi sasa wanaelekea kusiko. Fuatilia vizuri, sio kuja na kakipande kamoja ka video na kufanya hitimisho.
  11. Askari Kanzu

    Nchi za Afrika zinazotarajiwa kufanya uchaguzi mkuu 2020

    Jamaa bado hajui ukabila ulivyokithiri Ethiopia.
  12. Askari Kanzu

    Dodoma: Mmiliki wa Shule na Mkurugenzi Islamic Foundation akutwa ameuawa kinyama ofisini kwake

    Hayo ni mawazo yako; au tuseme hiyo ndiyo habari unayotaka kuisikia.
  13. Askari Kanzu

    Nyie Tekaneni hapa Molde Norway XMass yangu Imeisha hivo

    Usinilishe maneno tafadhali.
Back
Top Bottom