Search results

  1. game over

    Ushahidi: Tanzania inaongozwa na Viongozi Wasio na Sifa za kuwa viongozi

    Ndugu zangu, Nawasalimu. Kwanza nianze moja kwa moja kwa kuorodhesha baadhi ya sifa za mtu asiye na hadhi ya kuwa kiongozi. 1. Hulazimisha Kukubalika na kila mtu. 2. Hana maono . Tatizo kubwa sana hili 3. Hujipendekeza kwa Wanadamu. Hana msimamo, hajui anasimamia nini. Msimamo wake...
  2. game over

    Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

    Moja kwa moja kwenye mada; Wenyewe wanaita green city, hii sio kweli . Jina linatakiwa liwe Dusty City. Hivi pamoja na Hali ya hewa nzuri kitu gani kinazuia halmashauri ya mji kuwa na mipango ya upandaji wa miti ? Mji wa Mbeya ni kati ya miji mikubwa (Kwa eneo na idadi ya wakazi) Lakini maisha...
  3. game over

    Njaa Kenya, Maelfu ya Wakenya wajitokeza kupokea chakula cha msaada

    Majirani, poleni sana. Apparently English language proficiency is not working out for you guys.
  4. game over

    Hayati Magufuli miongoni mwa viongozi bora kuwahi kutokea katika historia ya Tanzania

    Moja kwa moja kwenye mada. Haya ni baadhi ya mafanikio hayati JPM aliyapata akiwa kama Rais wa JMT kwa awamu moja. 1. Ujenzi wa Miundombinu ya barabara, reli, viwanja vya ndege, vituo vya afya nk. Ujenzi wa bwawa la umeme la Mwl. Nyerere ulihitaji uthubutu wa hali ya juu hasa ukizingatia vita...
  5. game over

    TANESCO hii kero ya umeme kukatika hadi mara nne kwa siku haivumiliki

    Ndugu zangu, Itoshe kusema hii level ya incompetency inayojidhihirisha na TANESCO ni ya kiwango cha juu kabisa, Hii nchi ina watu Karibu 60m, huko kuna wasomi wengi mno na watu wenye uchu ni nia ya dhati kabisa kuitumikia nchi yao na hawajapata nafasi Kwanini uongozi wa TANESCO usikae pembeni...
  6. game over

    Mikoa 5 Tajiri Tanzania na Mikoa 5 maskini zaidi Tanzania 2020

    Mikoa Tajiri GDP per Capita in Thousand Tsh. 1. Dar es Salaam - 4,678,751 2. Iringa - 4,028,544 3. Mbeya - 3,788,604 4. Ruvuma - 3,396, 587 5. Kilimanjaro - 3,393,587 Mikoa masikini Tanzania 1. Kagera - 1,168,661 2.Kigoma - 1,479,389 3.Singida - 1,622,891 4. Dodoma - 1,759,347 5. Tabora -...
  7. game over

    Covid-19 : Kenya yaendelea kudhihirisha woga wake dhidi ya Tanzania

    Kenya imeweka vikwazo kwa wasafiri toka nchi kadhaa za afrika huku ikiruka Tanzania, Ikumbukwe Tanzania haijawahi jihangaisha sana na Huu ugonjwa japo matokeo ya maambukizi na Vifo kati ya Tanzania na kenya Hayana Tofauti, My take: Enyi wakenya wapumbavu, ni nani aliyewaloga ? Endeleeni na...
  8. game over

    Ndugu wawili waliofia mikononi mwa Polisi kwa kukiuka 'curfew' wazikwa

    So sad though. Police wa Kenya wanamaliza wakenya kuliko Corona yenyewe. Vijana wawili ndugu wa kuzaliwa (Embu brothers) Emmanuel Mutura 19 na Benson Njiru 23 years waliofikwa na umauti wakiwa mikononi mwa polisi hatimae wamepumzishwa kwenye nyumba Yao ya Milele. Vijana Hawa walifikwa na...
  9. game over

    Timu Namba 1 Kenya Gor Mahia haijalipa wachezaji miezi minne, haiwezi hata kuhudumia maji wakati wa mazoezi

    Ni wazi Tanzania ndiye Kinara wa Soka hapa Africa Mashariki, Kuanzia ngazi za vilabu, Viwanja hadi ligi yeyewe kwa ujumla, Wachezaji mahiri wa ukanda huu ndoto zao ni kucheza Vilabu vya Tanzania hasa Simba, Azam, Yanga NK, Kuna wakati Yanga aka Utopolo ilipitia wakati mgumu sana kiuchumi lakini...
  10. game over

    Uhuru Kenyatta state visit to Belgium: Hakuna hata Mzungu mmoja kwenye mapokezi yake

    Hii ni dharau kubwa sana kwa kiongozi wa nchi. Yaani rais anafanya ziara taifa lingine anapokelewa na dayaspora? Serious? Serikali ya ubelgiji imeshindwa hata kutuma mkuu wa wilaya ampokee rais wa nchi? Hii haikubaliki President Uhuru Kenyatta in Belgium for a two-day state visit...
  11. game over

    Drone - 1.1km Tanzanite Bridge construction progress

    Construction at 81% To be opened in December 2021 One of it's kind in the region, Dar es Salaam transforming to first world City
  12. game over

    Arusha City Drone Footage

  13. game over

    MATHARE SLUM NAIROBI- Kutana na Kikundi cha Kihalifu(Gangs) kinachofanya kazi ya Kudai kodi kwa wafiwa sugu

    Hivi hii Kenya ni Nchi au ni Genge la wahuni, Imagine unaletewa majamaa na mapanga na Visu kukudai kodi ma Serikali ipo.. Failed state, hovyo kabisa
  14. game over

    Kenya -Jengo la Hospitali ya fufaa laporomoka

    Incompetency of the highest level. What kind of Engineering is taught in that particular country? ======= Referral Hospital In Kenya Collapses Kloppeben20h Cases of incompetence have been reported not once or twice in Kenya pertaining the knowhow and experience of the engineers who are...
  15. game over

    Al-Shabaab waitawala Kenya, wadaiwa kukusanya kodi kwa Wakenya

    Pamoja na Vikosi vya Jeshi la ulinzi la kenya kuweweka Kambi nchini Somalia kwa takribani Muongo mmoja. Juhudi zao zinaonekana kuwa ni Kazi bure badala yake ni upotevu wa Muda, pesa za walipakodi maskini wa Kenya pamoja na Vifo vingi sana vya Wakenya wasio na Hatia pamoja na mamia ya...
  16. game over

    William Ruto aunda chama chake kipya cha siasa kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu Kenya 2022

    Baada ya kutoelewana kwa muda Mrefu kati ya Rais wa Kenya Uhuru Kenya na Makamu wake Wiliam Ruto hali iliyotokana na uhuru kuonesha wazi wazi kutomuunga mkono Ruto kujinyakulia urais 2022 na badala yake kuungana na RAO wa Upinzani kupitia Handshake, (Hand cheque) na BBI. sasa Bwana Ruto ameona...
  17. game over

    Nairobi: Wizi, Uporaji na Uchafu vyatajwa kuogofya watalii kutembelea Kenya

    Wizi, uporaji, insecurity na uchafu uliokithiri mjini Nairobi vimetajwa kuwa chanzo cha kufanya Watalii toka Ulaya na Marekani kuiepuka Kenya, Tazama hii Video.
  18. game over

    Picha za kusikitisha wakati wa Biashara ya Utumwa

    Share kwa wengine
Back
Top Bottom