Search results

  1. N

    Watoto Wapigana na Kuumizana Vibaya Maeneo ya Kinondoni

    Hao mapacha wachukuliwe hatu kwa vile mama yao ni kweli alivaa kichura CHURA
  2. N

    TANROADS na Halmashauri ya jiji la Arusha wekeni Zebra

    Naunga mkono hoja, ila napinga kurudishwa mistari ya parking iliyofutika pale Uhuru road, maana ilikuwa ni mtaji kwa wale jamaa wa wrong parking yaani ukikosea ukakanyaga kiduchu tu, gari yako inapigwa cheni na faini yake ni sh 50,000, yaani wale jamaa ni jipu na wezi waliokubuhu
  3. N

    Serikali yaahidi kupunguza gharama za usafiri wa ndege

    Tafadhali sana serikali yangu ya awamu ya tano, kama muna mpango wa kununua ndege bac safari hii mununue mpya, Tumezoea kuona awamu zilizopita wakisema ndege zile ni mpya lkn zikienda service hazirudi! Tumechoka na vitu used jamani, yaani kufuli used, boxer used, suruali used, T shirt used...
  4. N

    Pamoja na madhaifu yake, ICC(The Hague), inasaidia sana kuleta amani na haki Africa

    Naunga mkono hoja hii, japokuwa sasa ivi viongozi wetu wanatulazimishwa kuikataa mahakama hii kwa kisingizio kwamba wanawaonea viongozi wa africa, lkn ukiangalia upande wa pili ni kwamba viongozi wa kiafrica ndio wanaongoza kwa ukiukaji wa katiba zao na ukiukaji huo ndio unaleta fujo na...
  5. N

    Mnyama Mkubwa Zaidi Aliyewahi Kuishi Duniani aligundulika Tanzania mkoa wa Lindi

    Mleta mada ana maana ya mnyama kubwa wa aridhini na c wa majini, Na rekodi hiyo kwa sasa inashikilowa na tembo kuwa ni mnyama mkubwa wa aridhini, duniani
  6. N

    Mgogoro wa kufanya Mazishi Tegeta

    Majirani wako right kuwakataa ndugu wa marehemu kama walishindwa kumsaidia akiwa mgonjwa hao c ndugu tena, ata marehemu alishawakataa
  7. N

    Arusha imekuzwa kuliko ilivyo!! ( Overrated )

    Tuko bize tunapiga ela, we hujui huu ni msimu wa watalii, we are not ready2 discuss nosense isues like this
  8. N

    Mfahamu Carlos the Jackal: Gaidi tishio zaidi kuwahi kutokea duniani

    Katika maisha yake huyu jamaa alifanikiwa kupata watoto wangapi? Wako wapi? Kama wapo kuna hata mmoja amejaribu kufuata harakati za baba yao? Kuna utofauti gani kati ya Gaidi Carlos na magaidi wengine wa sasa ivi! maana naona historia inajionyesha kuwa Carlos aliungwa mkono na baadhi ya mataifa...
  9. N

    Serena Hotel na Ubaguzi wa Rangi!, Kwa Mzungu It is OK, Kwa Mswahili Hapana!

    Hapa ndio pale ninapomkumbuka usemi wa mbunge wangu shupavu Godbless Lema Anaposema [ haki ya mtu haiombwi bali hudaiwa,] Na ndio maama watu hupelekena mahakamani c kwa ajili ya kuomba haki bali ni kudai haki So pasco hapo ulipo dai haki yako uckubali kunyanyaswa haohao walinzi wakakuchulie...
  10. N

    Jamani jamani UKIMWI upo

    Jamani mtoa mada ametoa taadhali kuwa ugonjwa wa Ukimwi bado upo so tusijishau sana, wote wanaume na wanawake tuwakumbushe watoto wetu wanaochipukia kwnye mapenzi wawe makini, Huu ugonjwa unatambulika zaidi kwa jina hili la Ukimwi kwa hiyo transilation za kitaalamu hazina nafasi kwenye hii topic...
  11. N

    Utapeli mkubwa unafanywa na KAYENGA AUCTION MART

    Hili kundi la watu matapeli, wanojiita KAYENGA AUCTION MART, wanafanya minada ya vitu vibovu hapa Arusha na baadhi ya maeneo yanayozunguka Arusha. Huwatangazia wanainchi kuwa kwa niaba ya bank fulani watafanya mnada wa vitu vilivyokamatwa na wadaiwa sugu wa bank hizo, lakini kiukweli vitu hivyo...
  12. N

    Ajali ya Bodaboda Ubungo Kibangu: Dereva na mama wafariki, mtoto apona

    Aise wewe! Unasema umefarijika kusikia dereva bodaboda kafa! Duh cjawai kukutana na mtu wa ajabu kama wewe, yaani we unamhukumu bodaboda kabla hujajua chanzo cha ajali ni nini!, Ebu tengua kauli yako, coz huyo marehemu ni binadamu km wewe ana mke na watoto walikuwa wanamtegemea, ivi watajickiaje...
  13. N

    Umewahi kwenda kwa mganga wa kienyeji "Mtaalamu"? Ilikuwaje?

    Lkn huwa wanabahatisha kwa wateja ambao waume zao ndio wanamatatizo, wanawajaza mimba wamama hao then kujifanya eti dawa ndio imefanya kazi,
  14. N

    Mwili wa aliyekuwa Mchekeshaji, James Kinyambe wazikwa huko Makondeko, Kata ya Igawilo Mbeya

    Huyu marehemu alikuwa na kipaji cha kujibalisha sauti, macho kuwa makengeza, na sura yote kwa ujumla, Na ndio ilikuwa vipaji chake, kwa hiyo sura ya uigizaji iko tofauti kbsa na ile sura halisi.lkn jamaa alikuwa bonge la handsome kwenye pozi lake
  15. N

    SUKARI: Udhaifu - Sheria ya Uhujumu Uchumi

    Hawa hawataenda mahakani, bali wataenda jela moja kwa moja kwa vile mkuu ameagiza
  16. N

    Picha: Kanisa na Bar vyafunguliwa sehemu moja Dar

    Ndio maana mi nasema mwenye kuweza kuja mjini bac aje, coz mi cshangai kbs kuona milango ya kanisa na bar ikiangaliana kila moja ikitoa huduma kwa wateja wake, Hapa A town kuna muhubiri mmoja ivi anajiita Abadia, maubiri yake hufanyia kwenye bar, huwakumbusha watu kuacha kunya pombe, kuacha...
  17. N

    UTAFITI: Uingereza yaongoza kwa uume mdogo Ulaya

    Waarabu wa pemba wajuana kwa vilemba
  18. N

    Kwanini Maaskari na Wanajeshi hawafugi ndevu?

    Hayo ni mawazo ya kitoto tu ukikua utaacha, ebu tembea uone, maaskari c hao unaowana wewe tu, kuna vitengo tofauti vya maaskari kma vile wapelelezi wana minywele na madevu tu kama Osama vile
Back
Top Bottom