Search results

  1. Gangongine

    Kamati kuu CHADEMA yatoa karipio kali kwa viongozi wake waliomsema Lowassa hadharani

    Lowassa ni mwenye Chama.Hakuna wakumkemea!!
  2. Gangongine

    Hii ndiyo CHADEMA: Lowassa ajiandae kujieleza mbele ya Kamati Kuu, akileta blah blah analiwa kichwa

    Kamati Kuu gani? Iliyokana Sera ya Ufisadi na kufunga mkataba na Shetani Kwa Tamaa ya kwenda Ikulu? Rubbish!
  3. Gangongine

    Godbless Lema ampa za uso Lowassa baada ya kutoka Ikulu na kumsifia Rais Magufuli

    Who is Lissu? Is he greater than Tanzania? Stupid!
  4. Gangongine

    Kyela: Diwani wa CHADEMA atimiza ahadi zote , wananchi wampongeza

    Wewe jifanye zuzu lakini ukweli ni kwamba Mfumo wa Halmashauri hautoi na nafasi kwa Diwani binafsi kutekeleza ahadi zake bila kuwashirikisha wengine. Wewe endelea na upunguani wako na ubaki hivyo hivyo.
  5. Gangongine

  6. Gangongine

    Kyela: Diwani wa CHADEMA atimiza ahadi zote , wananchi wampongeza

    Kwenye Ilani ya CCM yote hayo yapo ila wanatekeleza mwaka hadi mwaka. Wewe unajitoa akili kwa kudanganywa diwani mmoja anaweza kutimiza ahadi zake kupitia Mfumo wa uendeshaji wa Halmashauri. Pumbavu mkubwa!
  7. Gangongine

    Kyela: Diwani wa CHADEMA atimiza ahadi zote , wananchi wampongeza

    Hizo sio kazi za Diwani mmoja mmoja. Masuala hayo hujadiliwa kwenye Kamati ya Huduma za Kiuchumi, Afya na Elimu na kuwekewa Maazimio. Uhamasishaji wa Vyoo ni kazi za Maafisa Afya na Watendaji wa Kata,Vijiji na Mitaa. Sioni diwani mmoja mmoja anavyoweza kufanya kazi hizo. Nimekuwepo Halmashauri...
  8. Gangongine

    Kyela: Diwani wa CHADEMA atimiza ahadi zote , wananchi wampongeza

    Wewe ndiye lofa ambaye hufahamu kuwa Bajeti za Halmashauri zinatengenezwa kwa kuzingatia Ilani ya Chama Tawala na siyo ahadi binafsi ya Diwani wa Upinzani. Taarifa za Utekelezaji wa Ilani hutolewa kwa vipindi Maaalum. Inaonekana una elimu ndogo sana ya uendeshaji wa Serikali. Jaribu kujielimisha.
  9. Gangongine

    Kyela: Diwani wa CHADEMA atimiza ahadi zote , wananchi wampongeza

    SERIKALI NA ILANI INAYOTEKELEZWA NI YA CCM. YEYE ANATEKELEZEA WAPI HIYO YA CHADEMA. AU KATOA FEDHA MFUKONI MWAKE?
  10. Gangongine

    Tetesi: Kumbe TRA bado wanamfuatilia Askofu Kakobe

    NYUMBU WA KANISA LA KAKOBE WE!!
  11. Gangongine

    Kwa hili la makubaliano na Barrick, Serikali litoleeni ufafanuzi

    UNA UHAKIKA GANI NA HUO UNAOITA "UNABII" WA LISSO?
  12. Gangongine

    Mkurugenzi wa mji wa Kahama unachofanya siyo haki kwa wafanyabiashara

    Baba yako na mama yako wanaipenda. Wewe ukiacha bangi utaipenda tu
  13. Gangongine

    CHADEMA wakipata Mwenyekiti mpya wanaweza kufanya mabadiliko mazuri na kushinda uchaguzi

    CHADEMA KUSHINDA UCHAGUZI LABDA KARNE IJAYO. 2055 LABDA NA SIJUI KAMA ITATOKEA
  14. Gangongine

    Serikali kununua ndege nyingine ya Boeing 787

    siyo kwa ukosoaji wa kilofa kama wenu!
  15. Gangongine

    Serikali kununua ndege nyingine ya Boeing 787

    BWANA YULE HANA HATA CHEMBE YA UZALENDO KWA NCHI YAKE. MBAYA ZAIDI HATA ADABU KWA VIONGOZI HANA KABISA!
Back
Top Bottom