Search results

  1. Pukudu

    Miaka 5 baada ya kifo cha mzee Moses Kulola: EAG(T) inaangamia

    *WARAKA WA UAMSHO KWA WAUMINI WOTE WA KANISA LA EAGT TANZANIA* Nawasalimu wote katika jina la Bwana wa majeshi Yesu Kristo. Ambalo kwa jina hilo, kila goti litapigwa, na kila ulimi utakiri ya kwamba *YESU NI BWANA*. Neema na iwe kwenu nyote, na amani tele zitokazo kwa Mungu Baba yetu wa...
  2. Pukudu

    Msaada: Htc one M8 haisomi line

    Wakuu kama mada inavyojieleza hapo juu, nina simu yangu aina ya Htc one M8 nilikuwa naitumia kama kawaida. Mara ghafla ikawa haisomi line ukiweka line inasema "No Simcard". Nikapeleka kwa fundi wakaiflash haikufaa, wakasema labda ni kile kichuma kinachoshilkilia line walibadilisha lakini simu...
  3. Pukudu

    STADO Mzizima Rally

    Mwezi huu kuna burudani kubwa tena kwa wapenzi wa mchezo wa mbio za magari. Tar 20&21 Dar na Pwani kutakuwa na mashindano ya magari ... Unprovisional Entry List 1. Ahmed Huwell na Misam Fazal Ford Fiesta pronto 2. Davis Mosha na Aron John Subaru Impreza 3. Sameer Nahled na Raheem...
  4. Pukudu

    Updates: Mkwawa Water Rally Challenges Iringa

    Jamani kwa yeyote aliyepo Iringa atupe updates: mimi ntaleta picha na matukio kadri ntavyokuwa napata kutoka kwa watu walioko huko!! Mashindano haya ni magumu kwa kuwa undistiputed champion Gerald Miller "Babu" ategemea kupata ushindani toka kwa Ahmed Huwell mwenye ford Fiesta pronto. ...
  5. Pukudu

    Kilimanjaro Kobil Rally 5/3/2017

    Kwa wale wapenzi wa mashindano ya magari, kesho kuna mashindano ya magari Kilimanjaro karibuni tutakuwa tunapeana updates humu
  6. Pukudu

    Live Updates kutoka Kambarage Stadium: Stand Utd vs Mbeya City

    Kama kawa kama dawa mwana! Leo nawaletea live updates za mechi kati Stand Utd "chama la wana" na Mbeya City "Timu ya kizazi kipya" kutoka uwanja wa CCM Kambarage Shinyanga
  7. Pukudu

    TFF ina nini na Arusha??

    Tff kama wana ajenda ya siri na mpira wa miguu mkoa wa Arusha waweke wazi ila sio ukanjanja walioufanya... Katika ratiba ya ligi daraja la pili (SDL), TFF wamezipanga kwenye kundi moja timu za AFC, Madini, JKT Oljoro na PEPSI ya Karatu ... Lengo ni nini?? Au hamtaki timu zaidi ya moja ipande...
  8. Pukudu

    Kwa hili la Stand Utd Hongera Nape

    Hongera wazir wa michezo kwa kuirudisha timu ya Stand utd, chama la wana!! kwa viongozi na wamiliki halali wa timu. Baada ya udhamini wa Acacia iliibuka kamati ya uongozi illiyowekwa na mkuu wa mkoa, wakatubadilishia na jezi ma nembo.... Sasa timu imerudi nyumbani
  9. Pukudu

    Stand Utd Kumshitaki Msemaji wa Ruvu Shooting!

    Mwenyekiti wa timu Ya Stand Utd ametangaza kumshitaki msemaji wa Ruvu Shooting Masau Bwire kwenye kamati Ya nidhamu na uongozi Ya Ligi ,kutokana na maneno Ya chuki, na udhalilishaji dhidi Ya Stand Utd. Msemaji huyo mwenye maneno mengi amekuwa akiwaita stand kuwa ni wauwaji, wachawi! Pia akidai...
  10. Pukudu

    Stand Utd ikishuka lawama kwa Nani?

    Timu ya Stand Utd ya mkoani Shinyanga iko katika hatari ya kushuka daraja ikiwa na point 28. Na hii ni baada ya kupoteza mechi zke Tatu za ugenini za hivi karibuni. Stand Utd kama timu zingine zilizokuwa ligi kuu Zina changamoto nyingi kubwa ni kipato. Pamoja na udhamini wa BinSlum kupitia...
  11. Pukudu

    Mvua yavunja tena pambano LA Stand Utd na Mtibwa Sugar

    Leo katika uwanja wa CCM Kambarage kulikuwa na pambano LA Ligi kuu ya Vodacom, baina ya Stand Utd na Mtibwa Sugar. Mechi Hii ilisimamishwa katika dakika ya 34 baada ya mvua kubwa na kuzuia kuendelea kwa mechi. Ila hadi mpira unasimama Stand Utd Chama LA Wana!! Tulikuwa tunaongoza kwa goli...
  12. Pukudu

    Mvua yavunja mechi ya Stand Utd na Kagera Sugar

    Leo katika mechi YA Ligi Kuu Kati YA Stand United chama la wana! Na Kagera Sugar limeshindwa kumalizka kutokana na mvua kubwa iliyonyesha katika Uwanja wa CCM Kambarage hadi Mpira unasimama Stand UTD Ilikuwa inaongoza goli MOJA lililofungwa na Striker machachari Toka Nigeria Chidi Obare ...
  13. Pukudu

    Live: Mechi ya ligi daraja la kwanza kati ya stand utd na toto africa

    Leo ndio Leo katika uwanja wa CCM Kambarage Shinyanga baina ya Stand Utd na Toto Africa ya Mwanza. Hii ndio mechi ya mwisho ya Ligi huku Stand ikiwa inaongoza ligi kwa tofauti ya point moja dhidi ya Majirani zetu Mwadui. Hii ndo tiketi yetu Ligi kuu Yes! Yes! Yes! Yes! Yes!
  14. Pukudu

    Weekend ndo Hio Karibuni

  15. Pukudu

    Vurugu mechi ya Stand United na JKT Kanembo

    Leo kwenye uwanja Wa Kambarage kulikuwa na mechi ya Daraja la kwanza kati ya Stand Utd ya Shinyanga inayoongoza kundi kwa point 13 dhidi ya Kanembo Jkt ya Kigoma yenye point 12. Vurugu zimetokeoa baada ya refa kutoa penalt dakika za mwisho baada ya mabeki wa Kanembo Jkt kunawa mpira. Baada ya...
  16. Pukudu

    Brian umony atua azam

    Kwa habari toka kwenye Facebook account ya Azam FC na tweeter Yao ni Kuwa mshambuliaji wa Uganda Cranes Brian UMONY ametua Azam ingawa bado hawajaweka ni Mkataba wa muda gani na wa KIASI gani.... Je is this right move kwa Azam au yaleyale ya kuleta maproo mizigo?
  17. Pukudu

    Sad story ya Rah P

    Fahamu aliko na akifanyacho Rah P Did you know that she was jailed?
  18. Pukudu

    Dawa Ya Wazinzi Imepatikana

    Msiogope kunasana tena watu wananasua
  19. Pukudu

    Maneno ya kada wa CCM Cyprian Majura Musiba

    Ndugu wanahabari habari za leo Kwanza nawashukuru kwa kuitikia wito huu wa kukutana na kuzungumza nanyi kuhusu mambo mbalimbali yanayoendelea kuhusu chaguzi za CCM pamoja na malalamiko ya wanaccm na wananchi kwa ujumla mkiwemo hata nyie wanahabari wenzangu. Naomba nianze moja kwa moja,sababu...
  20. Pukudu

    Utendaji wa nmb manonga shinyanga ni mmbovu

    Kwa kweli ni kwa muda Sasa utendaji wa Bank ya NMB MANONGA imekuwa ni MMBOVU tumelalamika kwa branch manager lakini hamna lolote ambalo linafanyiwa kazi... Baadhi ya malalamiko ni Kama ifuatavyo FOLENI.. Hili ni tatizo Sugu katika bank hii, kutokana na sababu wanazojua wao branch hii inahudumia...
Back
Top Bottom