Search results

  1. carbamazepine

    Ni kweli kuto kusex miaka mitano kunarudisha bikra kwa mwanamke aliyezaa?

    Huyo mwanamke kakuona fala.si kwelikweli[emoji23][emoji23] Anyway hongera kwa kutoa bikra
  2. carbamazepine

    Ni kweli kuto kusex miaka mitano kunarudisha bikra kwa mwanamke aliyezaa?

    Kwamba mtumishi wake alimwambia bikra inaweza kurudi[emoji23][emoji23][emoji23] Dah!
  3. carbamazepine

    Ukiachwa unatakiwa usikilize nyimbo gani ili roho itulie

    Nikikutana na ex wangu nampakia mkongo[emoji444][emoji444][emoji444]
  4. carbamazepine

    Naomba msaada wa kutoa hela yangu kwenye Group Buying, nahisi nimeingia mkenge!

    Ama kweli ukitaka kutajirika tumia wajinga kama mtaji Huwa hamjifunzi tu? Weka laki 6 hiyo[emoji23]
  5. carbamazepine

    Jirani yangu anafanya kazi gani?

    Maisha yana siri nyingi sana
  6. carbamazepine

    Je, ukiwa unatumia dozi ya PEP unaweza kupata maambukizi ikiwa utakutana na mwenye maambukizi?

    Yaani yuko kwenye pep halafu anaenda kuchovya kwenye umeme[emoji23][emoji23] Vijana hawajipendi kabisa
  7. carbamazepine

    DOKEZO Mwanangu ameuawa kwa kupigwa na Mwalimu lakini kesi inazungushwa

    Yaani unampiga ngumi tumboni mtoto wa miaka 7??[emoji15][emoji15]aiseh Pole sana kwa familia
  8. carbamazepine

    Msanii Ali Kiba azindua Redio yake, inaitwa Crown FM

    Labda kwa wakati huu atakua amejifunza wapi alikosea kote huko. Tumpe muda kidogo
  9. carbamazepine

    Msanii Ali Kiba azindua Redio yake, inaitwa Crown FM

    Kila la kheri kwake Ila asijeifanya ikawa redio ya familia kama ile nyingine
  10. carbamazepine

    Unasikiliza wimbo gani muda huu?

    Same ol’ mistake-rihanna[emoji445][emoji445]
  11. carbamazepine

    Mc Pilipili: Sipo kwenye ndoa, mwanamke amenifilisi

    [emoji23][emoji23]kweli ivumayo haidumu
  12. carbamazepine

    Msaada: Mume wangu tukiwa pamoja ni sex tu, hanipi muda tukakaa tu na kuongea

    Mbona kama umekosea ku quote?? Hii comment haihusiani na niliyem quote
Back
Top Bottom